G-Cat Nutrition &Care

G-Cat Nutrition &Care Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from G-Cat Nutrition &Care, Medical and health, Gongo la mboto, Dar es Salaam.

15/03/2026
KARIBU UBORESHE AFYA YAKO KWA NJIA YA ASILI NA BORA KWA AFYA YAKOWASILIANA NASI KWA NO.07625069800612547301
27/02/2026

KARIBU UBORESHE AFYA YAKO KWA NJIA YA ASILI NA BORA KWA AFYA YAKO
WASILIANA NASI KWA NO.
0762506980
0612547301

Kwa kawaida MELATONINI ni homoni ambayo huzalishwa na ubongo . Tafiti zinaonyesha kwamba Melatonin ina uwezo wa kudhibit...
26/02/2026

Kwa kawaida MELATONINI ni homoni ambayo huzalishwa na ubongo . Tafiti zinaonyesha kwamba Melatonin ina uwezo wa kudhibiti mifumo yote ya mwili wakati unapokuwa usingizini .
Mfano, udhibiti wa msukumo wa damu,joto la mwili,mfumo wa upumuaji,.
Kadiri mtu anavyozeeka kiwango cha cha kuzalisha Melatonin hupungua mwilini. Hali hii inaweza kusababisha mtu kupoteza usingizi,kulala na kupata ndoto kali na kusababisha moyo kupiga kwa kasi. Pia mtu huweza kupoteza kumbukumbu na umakini wa mambo.,msongo wa mawazo
MATUMIZI SAHIHI YA MELATONIN, Husaidia kurekebisha kiwango cha msukumo wa damu kwa wagonjwa wa hypertension, dawa hii inasaidia kurekebisha matatizo ya usingizi au Insomnia
Wasiliana nasi kwa namba
0762506980
#:Dr. Mayoja

Protini ni chakula muhimu sana katika mwili wa binadamu. Lishe hii ya protini inatokana na unga wa soya,ngano ,imeongeze...
26/02/2026

Protini ni chakula muhimu sana katika mwili wa binadamu. Lishe hii ya protini inatokana na unga wa soya,ngano ,imeongezewa madini ya calcium. Inafaa kutumiwa na watu wa rika zote ,kundi lenye mahitaji maalumu ni akina MAMA WAJAWAZITO, WANAONYONYESHA ,WATOTO WADOGO, WAZEE NA WAGONJWA
INASAIDIA KWA WENYE MARADHI YA MOYO,WALIOATHIRIWA NA UPUNNGUFU WA MADINI, NI DAWA BORA NA SALAMA KWA AFYA YAKO.

Tunapatikana kwa namba
0762506980
#: Dr Mayoja

26/02/2026

Bidhaa hii ni lishe maalum ya ISOMALTO Oligosaccharide, inasaidia kuondoa sumu zinazotokana na maji,hewa,chakula,pamoja na matumizi ya madawa mwilini. Inasaidia kwa matatizo ya VIDONDA VYA TUMBO, TUMBO KUJAA GESI,inasafisha mfumo wa chakula hasa tumbo,inaimarisha kinga ya mwili unakuwa k**a kijana wa miaka 20.inaonyesha matokeo baada ya siku 1-3

ISOMALTO Oligosaccharide!Suluhisho la uhakika kwa afya ya mfumo wako wa mmeng’enyo wa chakula.Unasumbuliwa na choo kigum...
24/02/2026

ISOMALTO Oligosaccharide!

Suluhisho la uhakika kwa afya ya mfumo wako wa mmeng’enyo wa chakula.

Unasumbuliwa na choo kigumu?
Gesi tumboni?
Au mwili kuchoka mara kwa mara?

ISOMALTO husaidia kuondoa sumu mwilini,
kusafisha tumbo na utumbo,
na kuboresha mmeng’enyo wa chakula kwa ufanisi zaidi.

Hupunguza gesi na uvimbe tumboni.
Huondoa ukavu wa choo.
Na huimarisha kinga ya mwili kwa kukuza bakteria wazuri tumboni.

Inafaa kwa watu wa rika zote —
wanaotumia dawa muda mrefu,
wenye kinga dhaifu,
na wanaotaka kuishi maisha yenye afya bora.

ISOMALTO Oligosaccharide.
Afya njema huanzia tumboni.

Chagua ISOMALTO leo —
na anza safari ya mwili wenye nguvu na ustawi kamili!

Address

Gongo La Mboto
Dar Es Salaam
2+255

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when G-Cat Nutrition &Care posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share