Dr. Odinga Bone Health Clinic

  • Home
  • Dr. Odinga Bone Health Clinic

Dr. Odinga Bone Health Clinic ACID REFLUX CONSULTANT
TUNATIBU MAGONJWA YA KOO, TONSILS STONE, ACID. PHARMACEUTICAL SUPPLEMENTS
USHAURI NA TIBA
TANZANIA, DAR
+255747717125.

13/08/2026

USIKATISHWE TAMAA HUWEZI PONA ACID REFLUX, INAWEZEKANA KABISA .

13/08/2026

DELIVERY 📦

K**A PIA UPO GAIRO AU JIRANI NA GAIRO NIPIGIE NIKUPATIE MWONGOZO WA KUPATA TIBA HUKO ULIPO. 0747 717 125
12/08/2026

K**A PIA UPO GAIRO AU JIRANI NA GAIRO NIPIGIE NIKUPATIE MWONGOZO WA KUPATA TIBA HUKO ULIPO.
0747 717 125

KUPONA ACID REFLUX INAWEZEKANA
12/08/2026

KUPONA ACID REFLUX INAWEZEKANA

11/08/2026

LPR

31/07/2026

Hakuna dawa inayoweza kufidia lishe isiyofaa.

Sio Kila kinachoingia mdomoni ni Salama kwa afya ya mwili wako, kuwa na tahadhali mpendwa

29/07/2026

Watu wengi wanchanganyikiwa sana , lakini tatizo linaanzia tumboni

29/07/2026

Silent Reflux (LPR) ni nini?

Silent Reflux au Laryngopharyngeal Reflux (LPR) ni hali ambapo tindikali ya tumbo (na wakati mwingine pepsin na bile) hupanda kutoka tumboni hadi kwenye koo (pharynx), kisanduku cha sauti (larynx), na hata puani. Tofauti na GERD, watu wengi wenye LPR hawapati kiungulia (heartburn), ndiyo maana huitwa silent reflux.

Dalili za kawaida

* Kuhisi kuna kitu kimesimama kooni (globus sensation)
* Kukohoa kwa muda mrefu bila sababu nyingine
* Kusafisha koo mara kwa mara
* Sauti kuwa nzito au kupotea hasa asubuhi
* Maumivu, kuwasha au ukavu kooni
* Kumeza kwa shida au kuhisi chakula kinakwama
* Ladha chachu au uchungu mdomoni
* Mucus nyingi kooni
* Harufu mbaya ya mdomo kwa baadhi ya watu

Sababu

* Kulegea kwa mfuniko wa chini wa umio (Lower Esophageal Sphincter – LES)
* Kula milo mikubwa au kula usiku karibu na muda wa kulala
* Uzito mkubwa
* Vyakula na vinywaji vinavyochochea reflux (mfano vyakula vyenye mafuta mengi, pilipili kali, pombe, kahawa kwa baadhi ya watu)
* Kuvuta sigara

Inawezaje kuathiri?

Isipotambuliwa na kudhibitiwa vizuri, LPR inaweza kusababisha:

* Kuvimba kwa kisanduku cha sauti
* Mabadiliko ya sauti ya kudumu kwa baadhi ya watu
* Vidonda kwenye larynx
* Kuongezeka kwa hatari ya matatizo ya koo kwa watu wachache, hasa ikiwa reflux ni ya muda mrefu na kali

+255747717125

29/07/2026

Lengo la kula si kushiba tu, bali kuupa mwili lishe inayouhitaji ili ufanye kazi vizuri na kubaki na afya.

28/07/2026

DAWA PEKEAKE HAIMALIZI TATIZO PASIPO KUZINGATIA MZIZI AU CHANZO CHA TATIZO

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr. Odinga Bone Health Clinic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

  • Want your business to be the top-listed Health & Beauty Business?

Share