Gcat health care

Gcat health care Tunatoa huduma ya vipimo na matibabu.

KITUO CHA AFYA - Gcat health care internationalNi taasisi inayomilikiwa na Wachina ambapo ina madktari waliobobea na vif...
16/02/2026

KITUO CHA AFYA - Gcat health care international
Ni taasisi inayomilikiwa na Wachina ambapo ina madktari waliobobea na vifaa vya kisasa wanatoa huduma ya vipimo kwa gharama nafuu sana.30,000tu
Pia wanatibu magonjwa yafuatayo:
✅Matatizo ya hedhi kwa wanawake
✅Kutoshika mimba
✅Mimba kuharibika
✅Chango la uzazi
✅Vimbe aina zote
✅PID & UTI
✅Kuzibua mirija ya uzazi
✅Vidonda vya tumbo
✅Tezi dume
✅Nguvu za kiume
✅Bawasiri
✅Matatizo ya moyo
✅Matatizo ya mifupa
✅Ngiri
✅Matatizo ya kibofu cha mkojo
✅Aleji
✅Bandama
✅Homa ya Ini
✅Kiharusi/Stroke
✅Pumu
✅Miguu Kuwaka Moto
✅Uzito mkubwa
Pia tuna dawa maalum kwa wagonjwa wa
✅Presha
✅Sukari
✅VVU
Tupo Tegeta nyyukiDar es salaam, Mwanza,Arusha,Dodoma, Mbeya,tupigie simu utapokelewa
Wasiliana nasi kwa namba
0676019780
https://wa.me/message/Q6WMX7QP2EFCI1

KITUO CHA AFYA - Gcat health care internationalNi taasisi inayomilikiwa na Wachina ambapo ina madktari waliobobea na vif...
22/12/2025

KITUO CHA AFYA - Gcat health care international
Ni taasisi inayomilikiwa na Wachina ambapo ina madktari waliobobea na vifaa vya kisasa wanatoa huduma ya vipimo kwa gharama nafuu sana.30,000tu
Pia wanatibu magonjwa yafuatayo:
✅Matatizo ya hedhi kwa wanawake
✅Kutoshika mimba
✅Mimba kuharibika
✅Chango la uzazi
✅Vimbe aina zote
✅PID & UTI
✅Kuzibua mirija ya uzazi
✅Vidonda vya tumbo
✅Tezi dume
✅Nguvu za kiume
✅Bawasiri
✅Matatizo ya moyo
✅Matatizo ya mifupa
✅Ngiri
✅Matatizo ya kibofu cha mkojo
✅Aleji
✅Bandama
✅Homa ya Ini
✅Kiharusi/Stroke
✅Pumu
✅Miguu Kuwaka Moto
✅Uzito mkubwa
Pia tuna dawa maalum kwa wagonjwa wa
✅Presha
✅Sukari
✅VVU
Tupo Tegeta nyyukiDar es salaam, Mwanza,Arusha,Dodoma, Mbeya,tupigie simu utapokelewa
Wasiliana nasi kupitia namba
0676019780
https://wa.me/message/Q6WMX7QP2EFCI1

☠️☠️ *SUMU mwilini inaweza kuwa na dalili mbalimbali kulingana na aina ya sumu na kiwango cha maambukizi. Hapa kuna baad...
03/12/2025

☠️☠️ *SUMU mwilini inaweza kuwa na dalili mbalimbali kulingana na aina ya sumu na kiwango cha maambukizi. Hapa kuna baadhi ya dalili za kuwa na sumu mwilini:*

1. Maumivu ya tumbo - Hii ni dalili ya kawaida ya sumu zinazoshambulia fumo wa chakula.

2. Kichefuchefu na kutapika - Sumu k**a za chakula au kemikali zinaweza kusababisha hali hilout
ARTHRITIS

3. Kichwa kuuma - Baadhi ya sumu zinaweza kusababisha maumivu ya kichwa.

4. Uchovu mkubwa - Sumu inaweza kusababisha mwili
kujisikia uchovu na udhaifu.

5. Kupumua kwa shida - Sumu k**a za hewa au kemikali zinaweza kuathiri njia za kupumua.

6. Mabadiliko ya rangi ya ngozi - Kwa mfano, ngozi inaweza kuwa na rangi ya buluu, kijani, au njano.

7. Kutetemeka au mishtuko - Hali hii ni dalili ya sumu inayoshambulia mfumo wa neva.

8. Macho kujaa maji A Hii linaweza kuwa dalili ya sumu inayohusiana na mfumo wa macho au hewa.

9. Nguvu za Mwanaume - Kupoteza uwezo wa tendo la ndoa, pia kushindwa kurudia tendo au uume kusimama kwa ulegevu.
Ikiwa unashuku kuwa una sumu mwilini, ni muhimu kuanza

Program ya DETOXIFICATION PHASE

Kongosho Ni Nini?...Ni sehemu ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula ambayo hutoaInsulin hormone ambacho ni kichocheo Au homo...
03/12/2025

Kongosho Ni Nini?...

Ni sehemu ya mfumo wa mmeng'enyo
wa chakula ambayo hutoa
Insulin hormone ambacho ni kichocheo Au homoni ambayo kazi yake ni kuondoa glucose katika damu na kuingiza katika misuli, seli za mafuta na ini na hutumika k**a nishati mwilini....

Kwa Maan Nyingine Kongosho ni Organ Ambayo huusika na regulation au Kuratibu Sukari Mwilini ...

Kongosho hutoa Chemical iitwayo Insulin Hormone Ambayo huusika na Kubalnce sukari mwilini....

Hivyo changamoto ya kisukari Huaanzia Pale insuline hormone inapotolewa kwa uchache kwenye mwilini...

Okey Subiri Nikuonyeshe Kiundani hii huwa Ndani ya kongosho kuna Aina mbili ya cells Ambazo ni beta cells Na alpha cells...

Mara nyingi Kinachotokea Nini Cells hizi hushindwa kufanya kazi vizuri Na mara nyingi kupelekea kiasi cha insuline hormone kuzalisha kwa kiasi kidogo kwenye kongosho...

Twende Kiundani zaidi👇

Beta cells are cells that make insulin, a hormone that controls the level of glucose (a type of sugar) in the blood...

Maan yake Ni kwamba Beta cells kwa asilimia kubwa ndiyo Muhusika mkuu wa Kusaidia uzalishaji wa insuline hormone kutolewa kwa Ufasaha...

Swali Je ni kiasi gani Cha insuline hormone kinachoitajika kutolea na kongosho?...

Kitaalamu kiasi cha Insuline kinacho hitajika kutolewaa na kongosho kwa siku ni 0.2- 0.5 U/Kg/day Yaan kila siku...

Hapo Huenda Hujanielewa sana ila Hicho kiwango mara nyingi ukiwa na changamoto ya kisukari Huwa Akifikiwi na Huwa chini Apo....

Sasa Unapoenda kutibu Kongosho Maan yake ni Nini...

Ni kwamba Unaenda kusaidia uzalishaji wa Beta cells kwa Wingi kwenye kongosho....

Kila Mtu Atakuambia Nakupa Dawa Yakutibu kongosho Ebu muulize kutibu kongosho kwa Namna Gani...

Hapo Ndipo Tofauti huanza Wewe Mwenye ni shahidi ulipewa Dawa ya kutibu kongosho lakini mtaalamu Aliyekupa iyo dawa hakukupa maelekezo Akinifu ila alikuambia Inatibua kongosho Tumia utanipa majibu mwenywe....

Tuelewe ili Siyo kila Dawa ni kwaajili ya kutibu kongosho Jaribu ili unapataka Kuchukua Dawa kabla ya kutumia au kununua msikilize Vizuri mtu Anayekupa iyo Dawa na Maelezo yake....

Nafikiri Nimekupa mwanga kidogo jinsi kongosho Linavyofanya kazi....

mwisho kabisa Mimi nipo Apa kukusaidia wewe kuondokana na changamoto Kisukari Kwa Kutibu Kongosho Lako...

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Gcat health care posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share