Gcat Hospital

Gcat Hospital Tunatoa huduma ya vipimo na matibabu

04/04/2026

K**a una chango mito hizi piga 0670207555 tukusaidie

Abari za mchana wapenda natumaini wazima wote napenda kutaarifu kuwa siku ya juamaa mosi taleee 28 na 29 tutakuwa naofa ...
26/03/2026

Abari za mchana wapenda natumaini wazima wote napenda kutaarifu kuwa siku ya juamaa mosi taleee 28 na 29 tutakuwa naofa ya vipimo kwa bei ya ofa iyoapo chini ndani ya dalesilamutuuu tunapatikana segeleya mwisho karibuni wote kwa msaada piga 0670207555 au 0750674765

26/03/2026
TEZI DUME (Prostate) – Usipuuze Dalili Mapema!Tezi dume ni tatizo linalowapata wanaume wengi hasa kuanzia miaka 40 na ku...
20/02/2026

TEZI DUME (Prostate) – Usipuuze Dalili Mapema!
Tezi dume ni tatizo linalowapata wanaume wengi hasa kuanzia miaka 40 na kuendelea. Ukiona dalili hizi, chukua hatua mapema:
πŸ”Ή Kukojoa mara kwa mara hasa usiku
πŸ”Ή Mkojo kutoka kwa shida au kwa kukatika-katika
πŸ”Ή Maumivu wakati wa kukojoa
πŸ”Ή Kuhisi kibofu hakijaisha mkojo
πŸ”Ή Maumivu ya chini ya tumbo au mgongoni
πŸ”Ή Kupungua nguvu za kiume
Usisubiri hali iwe mbaya! Fanya uchunguzi na upate ushauri wa kitaalamu mapema ili kuepuka madhara makubwa.
πŸ“ Tunapatikana Dar es Salaam na mikoa yote Tanzania
πŸ“ž Piga simu: 0750674765
Afya yako ni mtaji wako – chukua hatua leo!

10/02/2026

Chai hii ni maalum kwa ajili ya kusaidia afya kwa njia ya asili. Inafanya kazi zifuatazo:

1. *Husaidia mzunguko wa damu* – Hasa kwa watu wenye shinikizo la damu (presha) ya kupanda.
2. *Hulaza vizuri* – Inasaidia watu wenye changamoto ya kukosa usingizi au kuchoka mara kwa mara.
3. *Husafisha ini na figo* – Husaidia watu wenye matatizo ya ini, figo au sumu mwilini.
4. *Husaidia ganzi ya miguu au mikono* – Kwa wanaopata ganzi mara kwa mara.
5. *Hutibu mfumo wa mmeng’enyo wa chakula* – Kwa wenye gesi tumboni au choo kigumu (constipation).
6. *Husaidia kwa watu wanaotumia vilevi* – K**a pombe au wanaoishi kwenye mazingira yenye hewa chafu.
7. *Hufanya detoxification ya mwili* – Huviondoa sumu na kuimarisha afya kwa ujumla.
8. *Huongeza kinga ya mwili (Immunity)* – Inafaa hata kwa mtu asiye mgonjwa ili kujikinga.
9. *Inafaa kwa mtu aliyeathirika tayari kiafya* – Husaidia kurejesha mwili kwenye hali nzuri.
10:inapunguza uzito &kitambi
*Namna ya kutumia:*
P**i 1 asubuhi na p**i 1 jioni kwa siku 20 mfululizo.
Tumia na *maji ya uvuguvugu bila kuongeza chochote.*

Mawasiliano 0750674765

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam
255

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Gcat Hospital posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share