afya vipimo na tiba

afya vipimo na tiba Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from afya vipimo na tiba, Medical and health, Majumba sita Airport, Dar es Salaam.

MMENG'ENYO NA MLO BORA NI CHANZO CHA AFYA BORA KWA MWANAUME.UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.Ni hali inayotokea kwa mwanaume p...
20/01/2026

MMENG'ENYO NA MLO BORA NI CHANZO CHA AFYA BORA KWA MWANAUME.
UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.
Ni hali inayotokea kwa mwanaume pale ambapo uume wake unashindwa kusimama kabisa au kutoweza kuendelea kusimama vyema na kukamilisha tendo la ndoa.
Mwanaume unapata tatizo hili oale ambapo
1. Uume hausimami kabsa
2. Uume unasimama legelege
3. Uume unasimama vyema lakin baada ya mda mfupi unarudi chini.
SEHEMU KUU 4 ZA MWILI WA MWANAUME ZINAZO ATHIRIKA NA KUSABABISHA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
1. Mishipa ya fahamu inayozunguka uume kuto fanya kazi vizuri
2. Mzunguko wa damu kwenye uume kuto kua wa uhakika
3. Damu kito kuhifadhiwa ndani ya uume
4. Kukosa hisia kutoka kwenye ubongo
JE NISABABU ZIPI HUCHANGIA HALI HII
A. SABABU ZA KISAIKOLOGIA
1. Stress
2. Mahusiano mabaya na mpenzi wako
3. hofu.
4. huzuni/sonona
5. Kujichua
B. SABABU ZA KIFIZIOLOJIA
1. Sigara
2. Pombe kupita kiasi
3. Magonjwa k**a
. Magonjwa ya moyo, presure kushuka, cholesterol nyingi, kisukari, uzito kupindukia, mishipa ya damu kua migumu, ajari, matumizi ya dawa ya muda mrefu, bawasiri, vidonda vya tumbo
4. Lishe duni

MADHARA YA UPUNGUFU WA NHUVU ZA KIUME KWA MWANAUME.
1. Mwanaume kukosa kujiamini
2. Kukosa hamu ya kufanya temdo la ndoa
3. Ugomvi kwenye mahusiano
4. Kushindwa kutungisha mimba.
5. Stress
6 sonona
7. Kuachana.
IKIWA UNAPITIA CHANGAMOTO HII NA HUJUI NINI UFAMYE BASI USIJIONE MMNYONGE, NA USIKAE NA CHANGAMOTO NA KURUHUSU IKUMALIZE TARATIBU, NA IKIWA UNATAKA KUJIFUNZA, USHAURI AU MATIBABU PAMOJA NA NAMNA BORA YA ULAJI NA VYAKULA IMARA
USISITE KUTUTAFUTA @ AFYA BORA
0754655910
KUJIUNGA NA GROUP
https://wa.me/message/EHZNFWNEPCJNN1
# mmeng'enyo bora
# afya bora
# mwanaume imara.

20/01/2026

Address

Majumba Sita Airport
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when afya vipimo na tiba posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share