23/05/2026
HUU NI MFAGIO WA ASILI UNAMBAMBO MENGI NA UNAPATIKANA POPOTE LEO NAKULETEA FAIDA ZAKE KWENYE SWALA LA MAGONJWA NA MAISHA YETU KILA SIKU YA UTAFIUTAJI WA RIZIKI
mfagio wa asili unatibu tatizo la mifupa kuuma k**a unasumbuliwa na sikoseli ya mifupa inasagana au kuuma na mwili kuishiwa nguvu tumia mfagio wa asili utakuwa sawa kabisa
jinsi ya kuandaa dawa yako chuma mfagio wa asili pamoja na mizizi yake osha vizuri uchemshee
Kwa dakika 20- 30 kisha utatumia kunywa glasi moja asubuhi na glasi moja jioni kwa muda wa siku 7 hadi 14
K**a unasumbuliwa na matatizo nyoga kuumaa kiuno kuumaa miguu kuuma magoti kuuma au kutafuna mifupa kusagana na kukosa uroto wa magoti tumia mfagio wa asili utaleta mrejesho
Jinsi ya kuandaa dawa yako chuma mfagio wa asili pamoja na mizizi yake uwoshe vizuri kisha utachemsha kwa muda wa dakika 20-30 kisha utatumia ikiwa ya vuguvugu utakunywa glasi moja asubuhi glasi moja jioni kwa muda siku 7 hadi 14
FAIDA YA MFAGIO KWENYE UPANDE WA RIKIZI NA KUFUNGUA VIFUNG,OO
K**A unataka kujisafisha mwili wako kupata mvuto nyota yako kuwaka na upendwee na kila mtu na kufungua vifungo ulivyo fungwa basi leo nakuletea dawa hii yenye mvuto na nguvu za kuuwa uchawi kuondoa nuksi na husda za binadamu
Njisi ya kuandaa dawa yako chukuwa majani ya mfagio na mauwa yake osha vizuri
Chukuwa chumvi ya mawe
Chukuwa pemba au udong'o / wanao tuma wanawake kula
Matumizi chukuwa majani ya mfagio na mauwa yake changanya na chumvi ya mawe weka na ile pemba moja au mbili kisha utachemsha ukiona umesha chemka na kuwivaa utajifukiza asubhn kabla jua alijawakali kisha utajifukiza na jioni baada ya jua kuzama siku itayo fatia asubuh utajifukiza ukimaliza kujifukiza utaenda kuiogaa hiyo dawa hapo utakuwa umeuwa vidungo vyote vya kichawi
Afya yako ni mtaji wako asili uponyaπ³π³π³π³π³π³
Kwa ma maelezo na ushauri kwa changamoto za kiafya unaweza kupigaa simu
Number 0622050126