afya na uremb

afya na uremb Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from afya na uremb, Cosmetics Store, sinza Madukani, Dar es Salaam.

🛑 ACHA KUHARIBU NGOZI YAKO!​Kuchubua ngozi hakukupi urembo, bali kunaharibu ulinzi wa asili wa ngozi na kuacha madoa meu...
20/07/2026

🛑 ACHA KUHARIBU NGOZI YAKO!
​Kuchubua ngozi hakukupi urembo, bali kunaharibu ulinzi wa asili wa ngozi na kuacha madoa meusi na ngozi kuungua.
​Urembo wa kweli ni ngozi yenye afya, unyevu, na inayong'aa (glowing) bila kemikali kali! ✨
​🌿 RUDISHA AFYA YA NGOZI YAKO LEO!
Pata bidhaa salama kutoka kwa Cathy_essential zitakazosaidia kuondoa madoa, kurudisha afya, na kulinda ngozi yako.
​📲 DM au WhatsApp [Namba Yako] kupata ushauri wa bure na bidhaa sahihi kwako!
ya ngozi

Unasumbuliwa na vipele au mzio kwenye ngozi k**a huu? Usihangaike tena! Pata suluhisho la haraka na la uhakika linalorud...
20/07/2026

Unasumbuliwa na vipele au mzio kwenye ngozi k**a huu? Usihangaike tena! Pata suluhisho la haraka na la uhakika linalorudisha muonekano wako wa asili. DM au piga [0692019998] kupata yako leo! ✨ Karibuni Cathy_essential leo upate suluhisho

Je, ulishawahi kupata changamoto ya ngozi kuwa nyeusi kuliko mwanzo baada ya kutumia cream fulani? 💔​Hali hii inaitwa Ex...
20/07/2026

Je, ulishawahi kupata changamoto ya ngozi kuwa nyeusi kuliko mwanzo baada ya kutumia cream fulani? 💔
​Hali hii inaitwa Exogenous Ochronosis, na mara nyingi inasababishwa na matumizi ya Hydroquinone iliyomo kwenye vichubuzi vikali.
​Badala ya kuharibu ngozi yako na kemikali kali, badilisha routine yako leo! Bidhaa zetu ni salama, hazina vichubuzi vikali, na zinasaidia kurudisha muonekano wako wa asili kwa afya na amani. ✨
​💬 DM kwa ushauri wa bure wa bidhaa zitakazofaa aina ya ngozi yako! Cathy_essential

AFYA YA NGOZI KWANZA! 🛑​Kutumia bidhaa za kuchubua (skin bleaching) zenye steroids husababisha ngozi kuwa nyembamba mno....
20/07/2026

AFYA YA NGOZI KWANZA! 🛑
​Kutumia bidhaa za kuchubua (skin bleaching) zenye steroids husababisha ngozi kuwa nyembamba mno.
​Madhara yake:
✅️​Ngozi kuwa nyepesi na kuonekana wekundu
✅️​Michubuko na makovu ya haraka
✅️​Kupata maambukizi (infections) kwa urahisi
​Tunza na penda ngozi yako ya asili kwa bidhaa salama. ❤️
​📲 Tutumie DM / WhatsApp kupitia....0692019998 ushauri wa ngozi salama!

Achana na mahangaiko ayaa 😂😂😂😂 karibu Cathy_essential  upate utulivu..
20/07/2026

Achana na mahangaiko ayaa 😂😂😂😂 karibu Cathy_essential upate utulivu..

Pumu ya ngozi inatibika kwa  kutumia virutubisho bila kutumia biambata sumu..Kaeibu Cathy_essential uweze kupata suluhis...
20/07/2026

Pumu ya ngozi inatibika kwa kutumia virutubisho bila kutumia biambata sumu..
Kaeibu Cathy_essential uweze kupata suluhisho la kudumu
Call/watsaap
0692019998
ya ngozi

Kwa changamoto yeyeto ya ngozi wasiliana nasi #0692019998
30/06/2026

Kwa changamoto yeyeto ya ngozi wasiliana nasi
#0692019998

Maradhi ya ngozi yamekua mengi sana kutokanana mtindo wa maisha...Tutafute   upate suhulisho la kudumu
30/06/2026

Maradhi ya ngozi yamekua mengi sana kutokana
na mtindo wa maisha...Tutafute upate suhulisho la kudumu

*"Wanawake wengi wanadhani kuwa mweupendiyo kuwa na ngozi nzuri -- lakini huo ni uongo mkubwa wakarne!"*Ngozi nzuri ni i...
30/06/2026

*"Wanawake wengi wanadhani kuwa mweupe
ndiyo kuwa na ngozi nzuri -- lakini huo ni uongo mkubwa wa
karne!"*
Ngozi nzuri ni ile:
lliyosafi
Isiyo na chunusi
Yenye unyevu na mng'ao wa asili
Inayojitunzwa kwa upendo, si kemikali
*Rangi ya ngozi haipimi uzuri.*
Afya ya ngozi yako ni bora kuliko kuifuta ili ufanane na wengine
*Penda rangi yako, itunze, itaangaza yenyewe!*

Kwa suuhishu la kudumu wasiliana nasi ...0692019998
25/06/2026

Kwa suuhishu la kudumu wasiliana nasi ...0692019998

Address

Sinza Madukani
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when afya na uremb posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share