Medix Hospital

Medix  Hospital Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Medix Hospital, Medical and health, Dar es salaam, Dar es Salaam.

22/01/2026
🛑BAADHI YA DALILI ZA FANGASI UKENI▶️kuwashwa sehemu za siri▶️Kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa▶️Kuhisi kuwaka moto ...
22/01/2026

🛑BAADHI YA DALILI ZA FANGASI UKENI

▶️kuwashwa sehemu za siri
▶️Kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa
▶️Kuhisi kuwaka moto sehemu za siri
▶️Kupata vidonda
▶️Kupata michubuko ukeni
▶️Maumivu wakati wa kukojoa
▶️Kutokwa na uchafu wa rangi mweupe ukeni usio wa kawaida
▶️Mdomo wa uke kuvimba na kuwa na rangi nyekundu

⚠️Kama una dalili kati ya hizo chukua hatua sasa

🔴Sisi hatutulizi tatizo bali tunakinga,tunazuia,tunadhibiti na kuponya kabisa
🔴Kwanini unateseka na tatizo linalodhibitika?

ILI KUPATA na MATIBABU ya Matatizo ya Ngozi

USIKATE TAMAA, SULUHISHO NA TIBA YA TATIZO LAKO

Contact
0752308814

KUTOKWA NA KINYAMA NJIA YA HAJA KUBWA (BAWASIRI)○ Changamoto ya kutokwa na kinyama sehemu ya haja kubwa (bawasiri) imeku...
22/01/2026

KUTOKWA NA KINYAMA NJIA YA HAJA KUBWA (BAWASIRI)

○ Changamoto ya kutokwa na kinyama sehemu ya haja kubwa (bawasiri) imekuwa ni tatizo kubwa sana katika jamii.

○ Kutokana na vyanzo mbali mbali ambavyo watu hawana uelewa navyo hupelekea tatizo hili kushamiri kwa kiasi kikubwa mno. Hivyo basi vifuatavyo ni vyanzo vinavypelekea changamoto hiyo;

●Kuwa na uzito mkubwa
●Kujisaidia choo kigumu au kuharisha kwa muda mrefu
●Kuwa na kitambi
●Kubeba ujauzito
●Kurithi
●Kubeba vitu vizito mara kwa mara
●Kuingiliwa kinyume na maumbile
●Kukaa kitako kwa muda mrefu

♢ Sababu zilizotajwa hapo juu hupelekea mgandamizo mkubwa katika njia ya haja kubwa hivyo kupelekea kutuna kwa mishipa ya damu na kupelekea kuvimba kwa baadhi ya vinyama katika njia ya haja kubwa.

♢ Kutokana na hivyo, watu wengi wamehangaika kutafuta suluhisho la kudumu bila mafanikio, wengine wametumia garama kubwa bila suluhisho na wengine wamefanyiwa hadi upasuaji na tatizo likajirudia.

✅Fika katika hospitali zetu kupata suruhisho Bora na kumali tatizo hilo kabisa

Contact
0752308814

SULUHISHO LA VIDONDA VYA TUMBO✔UTAPIMWA1:MFUMO MZIMA WA MMENG'ENYO WA CHAKULA2:WINGI WA UZALISHAJI WA SUMU MWILINI K**A ...
22/01/2026

SULUHISHO LA VIDONDA VYA TUMBO✔

UTAPIMWA

1:MFUMO MZIMA WA MMENG'ENYO WA CHAKULA

2:WINGI WA UZALISHAJI WA SUMU MWILINI K**A UMEONGEZEKA

3:SABABU ZA KUPATA CHOO KIGUMU NAKUPELEKEA KUPATA BAWASIRI

4::CHANZO CHAKUPATA VIDONDA VYA TUMBO

5:AINA YA VIDONDA ULIVYONAVYO NA KWANINI HAVIPONI

6:UWEZO WA MWILI WAKO NA KWANINI UNAPATA UCHOVU

Vidonda vya tumbo ni michubuko au vijitundu vilivyoko katika kuta za utumbo mwembamba au katika kuta za mfuko wa tumbo na kuta za ndani za viungo vingine vya mfumo wa uyeyushaji wa chakula.

Vidonda vya tumbo hutokea baada ya kuta zenye utando wa uteute unaolikinga tumbo unapopungua,hivyo husababisha tumbo huathiriwa na tindikali mbalimbali zinazo tengenezwa ndani ya mwili na zinazo liwa na binadamu kutoka katika vyakula mbalimbali.

SABABU ZA KUPATWA NA VIDONDA VYA TUMBO

1.Bacteria waitwao helicobacter pylori

2.unywaji wa dawa zakupunguza maumivu (diclopa,asprin diclophenac, Panadol)

3.Urithi

4.Pombe Kali, sigara,tumbaku,soda zenye gas nyingi

DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO

1.tumbo kuwaka moto au maumivu makali ya tumbo

2.Kukonda au kupungua uzito

3.Kichefu chefu na kutapika

4.Chembe ya moyo(maumivu makali k**a kuwaka moto kifuani)

SULUHISHO LA CHANGAMOTO YAKO

1:TIBA AMBAYO ITAKUFAA BAADA YA VIPIMO

2:KUPONA KWA URAHISI ZAIDI

3:NAMNA YAKUZUIA CHANGAMOTO IISHE NA ISIJIRUDIE TENA.

VIDONDA VYA TUMBO VINATIBIKA KABISA....!

Contact👇
0752308814

FULL BODY CHECK UP👇👇Tuna toa ofa ya upimaji wa mwili mzima kwa Tsh 30,000/=✔  TIBA KWA MARADHI/MAGONJWA K**A 👇👇✅Uvimbe✅s...
22/01/2026

FULL BODY CHECK UP👇👇

Tuna toa ofa ya upimaji wa mwili mzima kwa Tsh 30,000/=✔

TIBA KWA MARADHI/MAGONJWA K**A 👇👇
✅Uvimbe
✅stroke
✅Bawasiri
✅pumu
✅Mifupa
✅Homa ya ini
✅uzazi
✅Nguvu za kiume
✅Madonda ya tumbo

Tunapatikana Dar es salaam na mikoa yote ✔ Kumuona daktari na ushauri ni bure✔

Contact
+255752308814

KARIBU UMALIZE TATIZO LA P.I.DTambua dalili za PID itakusaidia kufahamu PID inakuwaje👇👇👇👇👇👇👇👇👇*UGOJWA WA P.I.D NA TIBA Y...
22/01/2026

KARIBU UMALIZE TATIZO LA P.I.D

Tambua dalili za PID itakusaidia kufahamu PID inakuwaje👇👇👇
👇👇👇👇👇👇
*UGOJWA WA P.I.D NA TIBA YAKE*
👇

*Pelvic Inflammatory Disease*

*Ni maambukizi katika via vya uzazi. Wanawake wengi husumbuliwa na tatizo hili kulingana na sababu zifuatazo*-:

✔*Matumizi ya antibiotics Kwa wingi, kimsingi matumizi haya huuwa bacteria wote, hivyo wanapokufa unakosa ulinzi wa bacteria wa kupambana na maambukizi* .
✔*Kadhalika ujauzito ikiwa ni pamoja na kujifungua .
✔Pia sababu nyingine ni matumizi ya condoms na kufanya ngono zembe* .

*DALILI ZA UGONJWA WA PID*
✅Kutokwa na uchafu mzito sehemu za siri, yawezekana ukawa ni mweupe, njano, au maziwa*
✅Kuwashwa sehemu za siri*
✅ Uke kutoa harufu mbaya*
✅ Maumivu ya tumbo chini ya kitovu*
✅ Uke kuwa wa ulaini sana*
✅Maumivu wakati wa tendo la ndoa*
✅Kuvurugika Kwa hedhi
✅Kutokwa majimaji* *ukeni* *kupita kiasi*
✅Maumivu wakati wa kukojoa na wakati wa choo kubwa*
✅Homa, uchovu,kizunguzungu na kukosa hamu ya kula*
*MADHARA YA PID*
• *Ugumba*
• *Kansa ya shingo ya kizazi*
• *Mirija ya uzazi kuziba*
• *Majeraha kwenye* *mirija* *ya uzazi*

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Medix Hospital posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share