Gcat hospital Tz

Gcat hospital Tz Tuna toa ushauri wa virutubisho lishe

28/04/2026
*_TATUA CHANGAMOTO YA GESI, ACID NA VIDONDA VYA TUMBO  KWA MUDA MFUPI KABISA.* _ Tafiti zinaonyesha ni hatari  sana kuen...
21/04/2026

*_TATUA CHANGAMOTO YA GESI, ACID NA VIDONDA VYA TUMBO KWA MUDA MFUPI KABISA.*
_
Tafiti zinaonyesha ni hatari sana kuendelea kuvumilia (kutokuchua hatua) za haraka dhidi ya changamoto zinazojitokeza kwenye mfumo wa mmeng'enyo wa chakula.

Hii ni kwa sababu muda wowote inaweza kukupelekea kupata kansa ya tumbo au hata kupoteza maisha kabisa.

Kulingana na tafiti za kisayansi kwa sasa kuna ongezeko kubwa sana la kansa ya tumbo na hata ongezeko la vifo vitokanavyo na changamoto hizi.

Hizi ni mojawapo ya dalili mbaya katika Mfumo wa Mmeng'enyo wa chakula na zisizopaswa kuvumilika:👇👇.

*Kutoa Arufu Mbaya Kinywani.
*Kutapika kila unapokula.
*Tumbo Kujaa Gesi.
*Tumbo Kuwaka Moto na Kupata maumivu Makali sehem za Mgongoni Na mbavuni na hata kifuani.
*kukoswa Hamu ya Kula.
*Kukoswa au Kupata Choo Kigumu.
*Kupata Kinyesi Chenye Damu.
*Bawasiri ya Ndani au ya nje.
Na dalili nyingne nyingi..

Hizi ni baadhi ya dalili ambazo wengi waliozivumilia waliishia kupatwa na changamoto kubwa katika mfumo wa Mmeng'enyo wa chakula na hata kupoteza maisha.

Pata Suluhisho la haraka na la Kudumu kwa matumizi sahihi ya VIRUTUBISHO Bora kutoka China kupitia Vituo vyetu vya usambazaji vilivyopo nchi nzima hapa Tanzania.

Hivi ni VIRUTUBISHO bora zaidi vinavyosaidia kuimarisha na kurudisha uimara wa mfumo wa mmenyenyo wa chakula.

Hii ni pamoja na kusaidia na kuondoa kabisa swala la GESI na ACID tumboni na changamoto nyingine zinazoambatana na mfumo wa Mmeng'enyo wa chakula kwa muda mfupi sana.

Kwa sasa tumetoa OFA maalum ambapo VIRUTUBISHO hivi utavipata kwa gharama nafuu kabsa. Katika vituo vyetu.

Ofa hii itadumu kwa muda wa wiki moja tu. Karibu sana usaidiwe changamoto yako kwa muda mfupi kabsa.

ILi kukutana na wahudumu kwa sasa piga 0755912740 au bonyeza link ya whatsap 👇

https://wa.me/message/QKYRT5YPD4XBB1

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam
255

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Gcat hospital Tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share