Dr Ashura - Tiba Lishe

Dr Ashura - Tiba Lishe Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Dr Ashura - Tiba Lishe, Nutritionist, Dar Es Salaam, Dar es Salaam.

HIZI NI BIDHAA ZA UREMBOBIDHAA HIZI ZIMETOKANA NA MIMEA YA ASILI AMBAPO MTU YEYOTE ANAPO ZITUMIA HUMPA MATOKEO MAZURI KA...
28/12/2025

HIZI NI BIDHAA ZA UREMBO

BIDHAA HIZI ZIMETOKANA NA MIMEA YA ASILI
AMBAPO MTU YEYOTE ANAPO ZITUMIA HUMPA MATOKEO MAZURI KABISA HAPA TUNA

% SABUNI YA MAJI
Ambapo sabuni hii inatumika sehemu tatu , kwa 1.kuogea mwilini,
2.kuoshea nywele k**a shampoo pia inatumika kwa
3.kuoshea uso kwa kuondoa chunusi, tangotango mabaka ya ngoz, harara, makunyanzi usoni na kuzui kuzeeka kwa uso kiujumla.

%AMINO ACID
Hii hutumika kuondoa Acid uso ambapo husababisha chunusi usoni

%ROSHION
Haya ni mafuta ya maji kwaajili ya kuweka sawa ngozi yako ya uso yaani iwe na mafuta, iwe kavu
Zote zitakua sawa maana inafanya kazi ya kurekebisha pale penye tatizo, pia kuondoa makunyanzi na kuzui kuzeeka kwa ngozi

%PAFYUMU
Hii ni aina ya pafyumu yenye harufu nzuri sana haina kemiko maana hata mtoto mdogo inaweza kumfikia katika nguo na asipatwe na mafua pia unaweza ukaitumia kwa kutibu maumivu ya kichwa kwa kupaka na kutibu mafua kwa kupaka chini ya tundu za pua.

Kwa mahitaji zaidi
Call na Dr ASHURA SHOMARI
0741 752 322

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam
15113

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr Ashura - Tiba Lishe posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category