Doctor Mkoe

Doctor Mkoe Mtaalamu wa Afya ya Uzazi kwa Wanaume
Bingwa wa TEZIDUME & Matatizo ya Mkojo
Ninasaidia kurejesha afya ya mwanaume kwa njia salama na bila upasuaji.

"Afya ya mwanaume ni heshima yake."
📍Rejesha HESHIMA yako Leo Kwa kuwasiliana nasi via
📞+255 695 543 545

24/07/2026

24/07/2026

🇺🇸

23/07/2026




23/07/2026

Hakikisha pamoja na kuwa bize na majukumu yako , mwenza wako Awe sehem ya ubize wako.





22/07/2026

Ukitumia hizi mbegu utakuwa katika hali salama ya kutopata shida ya TEZIDUME kwenye maisha yako




22/07/2026

Hizi na dalili za kuwa una shida ya TEZIDUME




🇺🇸

19/07/2026

Dalili hizi zina ashiria kuwa uvimbe wa tezidume umefika hatua mbaya zaidi



🇺🇸

19/07/2026

Uzito kupita kiasi huchochea kupunguza uzalishwaji wa homoni ya kiume (testosterone hormone) na hivyo huathir mfumo wako wa uzazi na hatima yake hukupelekea kuwa na udhaifu kitandani



14/06/2026

Shida ya TEZIDUME Imeendelea kuwa chanzo cha vifo vya wanaume wengi sana

K**a wewe ni mmoja ya watu ambao umekuwa ukihangaika kutibia shida hii kwa dawa mbali mbali na hata umefikia HATUA ya kufanya UPASUAJI lakin mpaka sasa unaona DALILI zile za awali zimerudi

● unakojoa mara kwa mara USIKU
●Unapata SHIDA kwenye kuanzisha mkojo
●MKOJO wako unakatika katika (haumaliziki
Kwenye KIBOFU)
●PRESHA yako ya mkojo imekuwa ndogo
●MKOJO kuna muda unaziba hautok kabisa
●kuna muda unashindwa KUDHIBIT Mkojo
(Unajikojolea)
●uwezo wako kitandani umekuwa GUMZO

FAHAM :- Ya kuwa KWELI shida yako imejirudia

"KWANINI NA KATI NIMETIBIWA ":- sababu ya shida yako kujirudia ni kuwa TIBA uliyopatiwa haikuwa na UWEZO wa kudhibiti chanzo cha TATIZO LAKO

"Kwani SHIDA ya TEZIDUME chanzo chake ni nini?":- shida ya UVIMBE Kwenye TEZIDUME huchochewa na uzalishwaji wa kichocheo cha kiume ambacho ni very active kiitwacho Dihydro Testosterone Hormone (DTH)
Ambayo huchochea uzalishwaji wa seli nyingi kwenye TEZIDUME yako na ndio hatimae tezi yako inatanuka na ndio tunaitia hyperplasia
(BPH/uvimbe wa tezidume)

Kwa msaada wa TIBA maalum yenye uwezo wa kumaliza kabisa changamoto yako ya TEZIDUME na kudhibiti chanzo cha shida yako na kukurejeshea UWEZO wako na TABASAM lako KITANDANI

WASILIANA NASI kupitia
Nambari :- +255 695 543 545

Kwa "TIBA NA MATOKEO YA UHAKIKA."







Veriafya
Doctor Mkoe
Dr. William Li

09/06/2026

K**a ulishawahi kujarib kutibia changamoto yako ya tezidume kwa njia ya UPASUAJI , Lakin baada ya muda unahis DALILI zile za awali za shida ya TEZIDUME
ZIMEJIRUDIA
●Bado unaenda kukojoa zaidi ya mara 3 USIKU
●Unapata UGUMU kuanzisha mkojo na muda mwengine mkojo hautok kabisa
●Unapata Maumivu wakati unakojoa
●Mkojo wako unakatika katika
●Nyumban TENDO la NDOA ni GUMZO

ni KWELI kuwa shida Yako imerudi TENA

SABABU ya kurudi kwa shida hii baada ya upasuaji ni ukweli usiofahamika kwa wengi kuwa chanzo cha tatizo hili hakijaondolewa kwa njia hiyo ya Tiba uliyopatiwa

Kumaliza CHANGAMOTO yako kabisa unaweza kuwasiliana nasi kwa msaada zaidi

TUMEKUANDALIA "TIBA MAALUM " Yenye uwezo wa kuondoa UVIMBE bila upasuaji na kudhibit CHANZO Cha TATIZO lako na shida hii haitowez kujirudia TENA
baada ya kutumia TIBA yetu kikamilifu

♧WANAUME wengi wamerudisha FURAHA zao na kurudisha HESHIMA ZAO 💪 majumban mwao baada ya kutumia TIBA Hii ...wewe UNASUBIRI nini ???

Call us : + 255 695 543 545

{ POPOTE ulipo TIBA yetu ITAKUFIKIA }




🇺🇸

Address

Ilala , Dar Es Salaam
Dar Es Salaam
12101

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Doctor Mkoe posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share