AFYA NI UHAI

AFYA  NI UHAI AFYA YAKO NI KIPAUMBELE CHETU
KARIBU SANA KWA USHAURI NA MATIBABU

JINSI YA KUONGEZA UWEZEKANO WA KUPATA UJAUZITO KWA MUDA MFUPIJe, unapata changamoto ya kushika ujauzito?Huenda una mtoto...
04/04/2026

JINSI YA KUONGEZA UWEZEKANO WA KUPATA UJAUZITO KWA MUDA MFUPI

Je, unapata changamoto ya kushika ujauzito?

Huenda una mtoto mmoja hadi watatu, lakini imekuwa vigumu kupata mtoto mwingine.
Au unasumbuliwa na fangasi, PID, UTI, au changamoto za homoni zinazokwamisha uzazi.
Au unahisi dalili za ujauzito lakini majibu yanakuwa hasi.

K**a hii inakuhusu, ujumbe huu ni kwa ajili yako.

Naitwa Dr HADIA, mtaalamu wa afya ya uzazi.
Nimewasaidia wanawake wengi kupata mwanga wa tatizo lao na kuongeza uwezekano wa kupata ujauzito kupitia uchunguzi na mwongozo sahihi wa kitaalamu.

Kupitia mwongozo huu utajifunza:
• Chanzo cha changamoto yako ya uzazi
• Dalili muhimu usizopaswa kupuuza
• Namna ya kuboresha afya ya uzazi kwa usahihi
• Hatua za kuongeza nafasi ya kushika mimba kwa haraka
Wasiliana nasi kupitia WhatsApp
📞 0715014445

Mwenye kujali afya yako,
Dr HADIA

👩‍⚕️ Dr HADIA – Mtaalamu wa Afya ya UzaziUnapitia changamoto za kiafya? Usijali, suluhisho lipo. Tunatoa ushauri na mati...
07/03/2026

👩‍⚕️ Dr HADIA – Mtaalamu wa Afya ya Uzazi
Unapitia changamoto za kiafya? Usijali, suluhisho lipo. Tunatoa ushauri na matibabu ya kitaalamu kwa wanawake na wanaume.
✅ Kushindwa kupata ujauzito
✅ Mbegu nyepezi kwa wanaume
✅ PID na fangasi
✅ Homoni kutokuwa sawa (Hormone Imbalance)
✅ Uvimbe na magonjwa mbalimbali ya uzazi
💬 Pata ushauri wa kitaalamu kwa faragha na usalama.
📲 Wasiliana nasi sasa kwa ushauri na vipimo.
Afya yako ni kipaumbele chetu.
Karibu sana kwa ushauri na matibabu

VIPIMO VYA MWILI MZIMA kwa 20,000 TSH tu!+ Kuonana na Daktari BURE!+ Ushauri wa kiafya BURE!+ Punguzo la 10% kwa dawa!+ ...
04/03/2026

VIPIMO VYA MWILI MZIMA kwa 20,000 TSH tu!
+ Kuonana na Daktari BURE!
+ Ushauri wa kiafya BURE!
+ Punguzo la 10% kwa dawa!
+ Huduma za ziada zikiwemo!
+ Huduma ya kuondoa Sumu mwilini kwa Mashine za kisasa
+ Huduma ya masaji inapatikana pia,

Kwa nini usafiri hadi nje ya nchi kutafuta tiba, wakati sasa wataalam bingwa wa afya wapo TANZANIA, wakitoa huduma bora kwa kutumia virutubisho asilia vinavyosaidia mwili kujijenga na kupona?

GCAT INTERNATIONAL HOSPITAL sasa ipo karibu yako, ikiwa na matawi mengi nchi nzima!
Tunatibu kwa umahiri magonjwa yasiyoambukiza k**a:

Vidonda vya tumbo

Shinikizo la damu

Kisukari

Tezi dume

Moyo, figo na ini

Gazi na miguu kuwaka moto

Matatizo ya macho, meno, kinywa

U.T.I sugu, PID, Typhoid

Matatizo ya ngozi

Magonjwa ya mgongo, kupooza/stroke

Afya ya uzazi kwa wanawake na wanaume..na mengine mengi!

Usikubali mateso ya ugonjwa yaendelee. Fika GCAT leo, pata tiba yenye suluhisho la kudumu!
Wasiliana nasi kupitia Simu namba :0715014445

JINSI YA KUPONA MARADHI YOTE MFUMO MZIMA WA UZAZI KWA MWANAMKE/MWANAMME NA JE? WW NI MIONGONI MWAO KARIBUMwanamke unaosu...
08/02/2026

JINSI YA KUPONA MARADHI YOTE MFUMO MZIMA WA UZAZI KWA MWANAMKE/MWANAMME NA
JE? WW NI MIONGONI MWAO KARIBU

Mwanamke unaosumbuliwa na kutokwa na uchafu wa ukeni, fangas zisizokoma, uvimbe kwenye kizazi, au matatizo mengine ya mfumo wa uzazi?

Mwanaume unaosumbuliwa na tatizo la kufika kileleni, uume kuwa mlegevu wakati wa tendo, tezi dume, au manii kushindwa kufika yai, na hivyo kuathiri kupata mtoto?

Ujumbe huu ni kwa AJILI YAKO.

Mimi ni Dr. HADIYA mtaalamu wa masuala ya uzazi kwa wanawake na wanaume. Nimeshasaidia zaidi ya watu 200 kupata mwongozo wa jinsi ya kutatua matatizo yao ya uzazi, na wengi wao sasa wana familia zao.
Mwongozo wangu una:
✅ Elimu kamili kuhusu mfumo wa uzazi
✅ Vipimo vya kugundua chanzo cha matatizo
✅ Njia salama na za asili za kutatua matatizo

Jifunze bure! Nimeandaa darasa la bure, lakini nitaweza kuwasaidia watu 30 pekee, ili niweze kuzingatia kila mmoja kwa makini

Wahi mapema! Idadi ni ndogo na hatutakubali wengine baada ya kufika.

Kwa kuzingatia afya yako,
Dr. HADIYA
📞 0715014445

Wengi wanapitia changamoto za afya ya uzazi kimya kimya 😔sababu kubwa 👉 kuogopa kuzungumza au kuchelewa kupata ushauri s...
08/02/2026

Wengi wanapitia changamoto za afya ya uzazi kimya kimya 😔
sababu kubwa 👉 kuogopa kuzungumza au kuchelewa kupata ushauri sahihi.
👉 K**a unapata:
Uchafu usio wa kawaida
Kuwashwa au harufu
Maumivu ya tumbo la uzazi
Kukosa ujauzito kwa muda
Kushuka kwa nguvu za kiume
💡 Jua kuwa changamoto nyingi zinaweza kutatuliwa
ukipata ushauri sahihi mapema.
Tunatoa ushauri wa afya ya uzazi
kwa wanawake na wanaume
kwa njia ya siri, heshima na uelewa.
📩 Bonyeza Message / Inbox
uandike AFYA
upate maelekezo kulingana na hali yako.
🔐 Faragha zako zimezingatiwa 100%



Address

Tanzania �
Dar Es Salaam
1122

Telephone

+255715014445

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AFYA NI UHAI posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share