09/07/2026
Dalili za Tezi Dume (hasa kuongezeka kwa tezi dume)
Kukojoa mara kwa mara, hasa usiku.
Kuanza kukojoa kwa shida au kusubiri mkojo utoke.
Mkojo kutoka kwa nguvu ndogo.
Kuhisi kibofu hakijaisha mkojo baada ya kukojoa.
Kukojoa kwa maumivu au kuungua (wakati mwingine).
Kukatiza-katiza kwa mkojo.
Dalili za Hernia
Uvimbe au kitundu sehemu ya kinena, korodani au tumbo.
Uvimbe kuongezeka unapokohoa, kuinua vitu vizito au kusimama kwa muda mrefu.
Maumivu au uzito sehemu yenye uvimbe.
Hisia ya kuvuta au kuchomachoma sehemu ya kinena.
Wakati mwingine kichefuchefu na kutapika ikiwa hernia imeziba utumbo (hali ya dharura).
Tofauti Kuu
Tezi dume huathiri zaidi mfumo wa kukojoa.
Hernia huonekana zaidi k**a uvimbe au kitundu kwenye kinena, korodani au tumbo.0761922621