10/01/2026
☢️ ALAMA ZA ONYO LA MIONZI
• Alama za onyo la mionzi zipo kwa ajili ya kukulinda.
Usiingie eneo lenye mionzi bila ruhusa.
Fuata maelekezo yote yaliyowekwa.
Alama za onyo huokoa maisha.
☢️