Saydris Foods & Wellness

Saydris Foods & Wellness Saydris Foods & Wellness 🌿
Bidhaa asilia, vitafunwa, chakula na afya kwa kila siku. Afya yako ni mtaji. WhatsApp sasa πŸ“²

04/04/2026

πŸ‘‰ Watu wengi wanaishi na hali hii kila siku… lakini wanaona ni kawaida πŸ˜”
Unajisikia:
❌ Tumbo haliko sawa
❌ Unakosa choo vizuri
❌ Unajisikia mchovu mara kwa mara
❌ Ngozi imepoteza nuru yake
⚠️ Ukweli ni huu:
Hizi ni ishara mwili wako unahitaji kusaidiwa kutoka ndani
Mwili unapokuwa safi ndani,
ndipo nguvu, afya na mwonekano mzuri hurudi πŸŒΏπŸ’š
Mimi nipo kusaidia yeyote anayehitaji mwongozo wa kurejesha afya yake kwa njia sahihi
πŸ‘‰ Natafuta watu wachache serious wanaotaka mabadiliko ya kweli
πŸ“² Niandikie WhatsApp moja kwa moja:

02/04/2026

πŸ‘‰ Kuna siku unajisikia mwili umechoka…
lakini hujui ni nini hasa kinachosababisha?
πŸ‘‰ Kuna wakati tumbo haliko sawa…
lakini unaamua kupuuzia?
πŸ‘‰ Au ngozi yako imepoteza nuru yake taratibu…
⚠️ Ukweli ni huu:
Mwili hauanzi kuumwa ghafla β€”
huanza na dalili ndogo ndogo unazozipuuzia kila siku.
πŸ’š Ukianza kujali mwili wako mapema, unaepuka matatizo makubwa baadaye.
🌿 Mimi nipo kusaidia yeyote anayehitaji mwongozo wa kurejesha afya yake kwa njia sahihi
πŸ‘‰ Niandikie WhatsApp moja kwa moja:
πŸ“²

🌿 Unasumbuliwa na gesi au kukosa choo?Hii mara nyingi ni ishara kuwa mfumo wa chakula haupo sawa.✨ Suluhisho:Edmark Shak...
31/03/2026

🌿 Unasumbuliwa na gesi au kukosa choo?
Hii mara nyingi ni ishara kuwa mfumo wa chakula haupo sawa.
✨ Suluhisho:
Edmark Shake Off + Edmark Splina Chlorophyll
πŸ“² +255 715 774 711

⚠️ DALILI 5 ZINAZOONYESHA MWILI WAKO UMEJAA UCHAFUWatu wengi wanaishi na dalili hizi bila kujua chanzo chake:❌ Mwili kuc...
13/03/2026

⚠️ DALILI 5 ZINAZOONYESHA MWILI WAKO UMEJAA UCHAFU
Watu wengi wanaishi na dalili hizi bila kujua chanzo chake:
❌ Mwili kuchoka haraka
❌ Harufu mbaya ya mdomo
❌ Kukosa choo vizuri
❌ Tumbo kujaa gesi mara kwa mara
❌ Ngozi kupoteza nuru yake
Usipuuzie dalili hizi… mara nyingi ni ishara kuwa mwili wako unahitaji kusaidiwa kusafishwa kutoka ndani.
🌿 Hapo ndipo Edmark Splina Chlorophyll pamoja na Edmark Shake Off vinakuwa msaada mzuri kwa afya ya mwili na mfumo wa chakula.
✨ Watu wengi wameanza kuona mabadiliko baada ya kuanza kujali afya ya tumbo na mwili wao.
πŸ“² WhatsApp: +255 715 774 711
πŸ’š Usisubiri mpaka mwili ukulazimishe – anza kujijali leo.

12/03/2026

⚠️ USIUPUUZE UTUMBO WAKO

Watu wengi wanaishi na dalili hizi kila siku bila kujua kuwa mwili wao unahitaji kusaidiwa:
❌ Kukosa choo kwa siku kadhaa
❌ Tumbo kujaa gesi mara kwa mara
❌ Kujisikia tumbo limejaa muda mwingi
❌ Harufu mbaya ya mdomo hata baada ya kupiga mswaki
❌ Mwili kuchoka bila sababu
❌ Ngozi kupoteza nuru yake

Wengi hudhani ni mambo ya kawaida… lakini ukweli ni kwamba mfumo wa mmeng'enyo wa chakula unapokuwa haupo sawa, mwili mzima huathirika.

πŸ‘‰ Ikiwa unajiona kwenye dalili hizi, mwili wako unaweza kuhitaji kusaidiwa kusafisha mfumo wa chakula na kurejesha usawa wa mwili.

🌿 Hapo ndipo Edmark Shake Off pamoja na Edmark Splina Chlorophyll vinaweza kusaidia kuimarisha afya ya mfumo wa chakula.

✨ Wengi waliokuwa na changamoto za tumbo wameanza kujisikia nafuu baada ya kuanza kujali afya ya utumbo wao.

πŸ“² Kwa maelezo zaidi au kuagiza:
WhatsApp: +255 715 774 711

πŸ’š Usisubiri mwili wako utoe ishara kali zaidi – anza kujijali leo.
SWALI:
πŸ‘‰ Ni dalili ipi unayo kati ya hizi?

Baada ya futari, usisahau kila glasi ya maji πŸŒ™πŸ’§Weka Edmark Sprina Chlorophyll – ladha safi, nguvu kwa mwili, detox ya af...
21/02/2026

Baada ya futari, usisahau kila glasi ya maji πŸŒ™πŸ’§
Weka Edmark Sprina Chlorophyll – ladha safi, nguvu kwa mwili, detox ya afya ✨
Kwa mwezi huu wa Ramadhani:
βœ”οΈ Kusaidia mwili kuondoa uchovu
βœ”οΈ Kuimarisha ngozi na mfumo wa mmeng’enyo
βœ”οΈ Kufanya mwili kushikilia maji vizuri
πŸ’š Furahia kila glasi, furahia afya yako!
πŸ“² Order sasa – nitakuletea Sprina yako hadi mezani: WhatsApp +255 715 774 711οΏ½

Futari ya leo πŸŒ™β˜•Baada ya siku ndefu ya mfungo, mwili wako unahitaji faraja na nguvu.Anza futari yako kwa kikombe cha kah...
21/02/2026

Futari ya leo πŸŒ™β˜•
Baada ya siku ndefu ya mfungo, mwili wako unahitaji faraja na nguvu.
Anza futari yako kwa kikombe cha kahawa tamu cha Edmark, chenye ladha murua na harufu ya kuvutia ✨
πŸ’š Faraja + Ladha + Afya – yote kwenye kikombe kimoja!
πŸ“² Order yako sasa – nitakuletea kikombe chako hadi mezani

Tumekaa kimya kidogo, lakini tumerudi πŸ’šπŸŒΏSaydris Foods & Wellness ipo kwa ajili ya afya yako.Karanga, korosho, tende, mbe...
21/02/2026

Tumekaa kimya kidogo, lakini tumerudi πŸ’šπŸŒΏ
Saydris Foods & Wellness ipo kwa ajili ya afya yako.
Karanga, korosho, tende, mbegu za maboga na zaidi zinapatikana.
Karibu uagize leo 🀝

14/01/2026

Habari za wakati huu wapendwa πŸ’š
Karibu kwenye Saydris Foods & Wellness.
Hapa tunakuletea vyakula asilia vya afya na bidhaa za kujijali.
Ukihitaji ushauri wa afya ya chakula au bidhaa zetu, niandikie tu πŸ“²
Karibu sana 🌿✨

Address

Sinza
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Saydris Foods & Wellness posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share