AFYA NI MTAJI

AFYA NI MTAJI Dawa za asili Eternal.Afya yako ni Furaha yetu

UJUE UGONJWA WA VIDONDA VYA TUMBOVidonda vya tumbo ni tatizo linalotokea baada ya kuta za tumbo au utumbo mdogo kuwa na ...
26/02/2026

UJUE UGONJWA WA VIDONDA VYA TUMBO

Vidonda vya tumbo ni tatizo linalotokea baada ya kuta za tumbo au utumbo mdogo kuwa na vidonda, hii hutokea ni baada ya kuharibika kwa ukuta wenye ute unaozuia kemikali za kuyeyusha chakula unaoitwa mucus. Kemikali ambayo ni acidi inayozalishwa mwilini kiasili husaidia kuyeyusha chakula na kuua wadudu tumboni, k**a ukuta wenye ute ukiharibiwa na kushindwa kufanya kazi basi kemikali (acid) itaathiri tumbo au utumbo na kuruhusu bakteria kuendelea kusababisha vidonda vya tumbo.

Vidonda vya tumbo vinatibika kirahisi ila vikicheleweshwa bila kutibiwa huweza kusababisha tatizo kubwa. Ni tatizo linalotesa sana na kuwanyima raha watu wengi, linahitaji umakini na pia husababisha magonjwa mengine k**a kansa, amoeba (amiba), homa, kupungua uzito.

AINA ZA VIDONDA VYA TUMBO

Kuna aina zipatazo mbili za Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers)

Vidonda vya tumbo kubwa (Gastric ulcers) – Hivi ni vidonda vya tumbo vinavyotokea ndani kwenye tumbo kubwa
Vidonda vya utumbo mdogo (Duodenal ulcers) – Hivi ni vidonda ambavyo hutokea kwenye utumbo mdogo (hasa juu)

CHANZO CHA VIDONDA VYA TUMBO

Vidonda vya tumbo vina vyanzo tofauti ili vyote ni vile vinavyohusiana na mmeng’enyo, vyanzo hivyo ni;

Bakteria waitwao Helicobacter pylori (H. pylori)
Matumizi ya dawa za kupunguza maumivu k**a asprin, (NSAIDs), (Advil, Aleve, na zingine)
Kuwa na mawazo mengi
Kula vyakula vinavyozalisha acid kwa wingi
Kunywa pombe na vinywaji vikali
Uvutaji wa sigara
Kuto kula mlo kwa mpangilio

DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO

Dalili za vidonda vya tumbo hujitokeza baada ya kula au kabla ya kula, ila mara nyingi wengi huwa wanazipuuzia na endelea kukuza tatizo, vidonda vya tumbo vinadalili k**a;
Kupata maumivu ya tumbo yanayokuwa k**a ya moto (kuunguza) baada na kabla ya kula
Kupatwa na kiungulia karibu na chembe ya moyo
Tumbo kujaa gesi na kuvimbiwa
Kichefuchefu na kutapika tena yawezekana kutapika damu
Kupata haja kubwa ya rangi kahawia au nyeusi yenye harufu mbaya sana, pia haja yaweza kuchanganyikana na damu
Kupoteza hamu ya kula na kupungua uzito
Kushindwa kupumua vizuri

JINSI YA KUEPUKANA NA VIDONDA VYA TUMBO

Kunywa maji mengi
Punguza mawazo, fanya mazoezi yatakupunguza na mawazo
Punguza (balansi) kiwango cha halemu (choresterol)
Usivute sigara
Punguza au acha kunywa pombe
Kula vizuri vyakula bora hasa asilia na sio vyakula vyenye kemikali
Lala vizuri kwa muda mzuri – masaa 7 hadi 9

DAWA YA VIDONDA VYA TUMBO

Tuna dawa ya kutibu Vidonda vya tumbo ambayo ni ya asili isiyo na kemikali ambayo hufanya mtu kupona na kuimarika kabisa. Dawa hiyo hutibu kwa mda kulingana na mda wa tatizo, tatizo halirudi tena maana huondoa chanzo pamoja na ugonjwa sio kituliza maumivu, ukianza kutumia baada ya wiki moja mgonjwa huanza kupona na huonesha mabadiliko, pia mgonjwa anapewa mfumo wa maisha ambao inatakiwa autumie kwasababu kuna mtindo wa maisha unaendelea kuongeza tatizo pia kuna mtindo unapunguza hatari ya ugonjwa.
Kwa msaada zaidi wasiliana nami kupitia simu namba 0611517343

TAMBUA SABABU KWANINI UNATUMIA DAWA NYINGI NA HUPATI MATOKEO✍️       🍏kumekua na watuwengi wakitafuta suluhisho la MAGOJ...
26/02/2026

TAMBUA SABABU KWANINI UNATUMIA DAWA NYINGI NA HUPATI MATOKEO✍️
🍏kumekua na watuwengi wakitafuta suluhisho la MAGOJWA lakini wanatumia dawa nyingi bila matokeo
Sababu kubwa wengi wanatumia dawa bila kufanya vipimo hii sababu imewaghalimu watuwengisana,
✍️halihii imepelekea watu kupata MATATIZO makubwa hasa ya uzazi

K**a unasumbuliwa na MAGOJWA K**a haya usitumie TIBA yeyote bila kufanya vipimo vya mfumo mzima wa uzazi
➡️P I D
➡️Hormone imbalance
➡️Uvimbe kwenye kizazi
➡️Maumivu wakati wa tendo la ndoa
➡️Mirija kuziba
➡️Harufu ukeni
➡️Kushidwa kubeba mimba
➡️ Fibroids
N.k
🍏N.b
Epuka kutumia kila dawa bila kufanya vipimo hii itahatarisha zaidi afya yako
Wasiliana nasi
📞0611517343

  YA_KUSAMBAZA_TAARIFAWanahitajika watu watakao fanya kazi ya kusambaza taarifa za kampuni ya Eternal International Comp...
10/02/2026

YA_KUSAMBAZA_TAARIFA
Wanahitajika watu watakao fanya kazi ya kusambaza taarifa za kampuni ya Eternal International Company Limited

Taarifa za huduma inayotolewa na kampuni kwa kutumia simu yako ya mkononi/ Smart phone.
NOTE:
* Nilazima uwe na simu kubwa/ Smart phone
* Uwe Dar es salaam tu
* Uwe na bidii ya kazi
* Elimu kuanzia Darasa la Saba ,kidato cha nne mpaka chuo

MALIPO
* Malipo yapo ya aina mbili (Malipo ya kila siku na kila mwisho wa mwezi) yote utapata.
* Kima cha chini kwa malipo ni (Kwa siku 15,0000/= na kwa mwezi ni 350,000/=)

Wote mnakaribishwa, Ofisi zetu kwa upande wa Mjini Tunapatikana karikoo machinga Dar es salaam Tanzania mawasiliano zaidi piga simu namba
0611517343 ☎️

Je, umekuwa ukihangaika na kitambi, mwili kulegea, au mafuta sugu yanayogoma kuondoka? 😩Habari njema ni kwamba mwili wak...
08/02/2026

Je, umekuwa ukihangaika na kitambi, mwili kulegea, au mafuta sugu yanayogoma kuondoka? 😩
Habari njema ni kwamba mwili wako unaweza kubadilika ndani ya siku 10 tu bila mazoezi makali au njaa ya kupitiliza! 💯

Tunakuletea

Choma Mafuta – Ondoa Kitambi Tea, chai maalumu yenye nguvu kubwa ya:

✅ Kuyeyusha mafuta kwa kasi na kwa kiwango kikubwa zaidi
✅ Kupunguza uzito kwa speed ya kushangaza
✅ Kuondoa unene uliopitiliza bila kukutesa
✅ Kuondoa nyama uzembe & kulainisha mwili
✅ Kutoa sumu mwilini na kuufanya mwili kuwa mwepesi

Na uzuri zaidi ➝ matokeo huanza kuonekana ndani ya siku 10 tu! 🔥🔥

Hii chai ni salama, haina madhara, na imetengenezwa kwa viungo vya asili vinavyofanya kazi moja kwa moja kwenye:
➡️ Mafuta ya tumbo
➡️ Kitambi
➡️ Kichakacho cha mwilini
➡️ Uzito unaosumbua

Kwa Budget Ndogo tu! Unapata boksi moja ambalo linatosha kukupa matokeo ya kueleweka kabisa 🤝
Na k**a unavyoona kwenye poster, hata wateja wengi wamelithibitisha – kabla na baada ni tofauti k**a usiku na mchana! 🌙☀️

# # # 💰 BEI: 70,000/= TU

# # # 📞 Fanya order sasa: 0611517343 (WhatsApp / Call)

Usiache mwili wako uendelee kuteseka wakati suluhisho liko hapa.
Jipe nafasi ya kuonekana vizuri, kujisikia vizuri na kuvaa nguo zako bila aibu!

"TIBU TATIZO LA NGUVU ZA KIUME KWA UHAKIKA!Dawa yetu ya asili inatibu:- Udhaifu wa kiume- Kumalizika haraka- Kuongeza st...
07/02/2026

"TIBU TATIZO LA NGUVU ZA KIUME KWA UHAKIKA!
Dawa yetu ya asili inatibu:
- Udhaifu wa kiume
- Kumalizika haraka
- Kuongeza stamina & hamu

Piga/Tuma ujumbe 0611517343 sasa!
"

"Karibu kituo cha AFYA Eternal📍 Machinga Complex, Dar es SalaamTunasolve matatizo sugu:- Uzazi & Nguvu za Kiume- Vidonda...
07/02/2026

"Karibu kituo cha AFYA Eternal
📍 Machinga Complex, Dar es Salaam

Tunasolve matatizo sugu:
- Uzazi & Nguvu za Kiume
- Vidonda vya Tumbo& Matatizo ya kinywa
- Magonjwa sugu yote

Ushauri & Dawa za uhakika 😉
Wahi sasa! Piga/Tuma ujumbe [0611517343]

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam
12101

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AFYA NI MTAJI posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share