TIBA na Ushauri

TIBA na Ushauri Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from TIBA na Ushauri, Medical and health, Dar Es Salaam, Dar es Salaam.

Umechoka na maumivu ya muda mrefu? πŸ˜”
Tunakusaidia kupambana na magonjwa sugu kwa njia asilia 🌿
Afya bora inaanza leo
πŸ“ž 0755160939
Usikubali kuishi na maumivu kila siku πŸ’”
Tiba lishe inaweza kubadilisha maisha yako πŸ’š
Wasiliana nasi leo
πŸ“ž 0755160939

❗ UNASUMBULIWA NA MAUMIVU YA TUMBO CHINI?Inaweza kuwa ni PID (maambukizi ya mfumo wa uzazi)Usipuuzie dalili hizi:⚠ Maumi...
17/03/2026

❗ UNASUMBULIWA NA MAUMIVU YA TUMBO CHINI?
Inaweza kuwa ni PID (maambukizi ya mfumo wa uzazi)
Usipuuzie dalili hizi:

⚠ Maumivu wakati wa tendo la ndoa
⚠ Uchafu usio wa kawaida
⚠ Maumivu wakati wa kukojoa
⚠ Homa au mwili kuchoka
⚠ Kichefuchefu au kutapika
πŸ‘‰ PID inaweza kuathiri uzazi wako k**a haitashughulikiwa mapema!

βœ… SULUHISHO LIPO
Tunatoa ushauri na tiba lishe salama kusaidia: βœ” Kusafisha mfumo wa uzazi
βœ” Kupunguza maumivu
βœ” Kuboresha afya ya mwili kwa ujumla
πŸ“ž Wasiliana nasi sasa:
0755160939
πŸ“ TIBA na Ushauri

πŸ”₯ UNASUMBULIWA NA MAUMIVU YA MIFUPA AU VIUNGO?Usipuuzie dalili hizi:❌ Maumivu ya magoti❌ Maumivu ya mgongo❌ Viungo kukak...
10/03/2026

πŸ”₯ UNASUMBULIWA NA MAUMIVU YA MIFUPA AU VIUNGO?
Usipuuzie dalili hizi:

❌ Maumivu ya magoti
❌ Maumivu ya mgongo
❌ Viungo kukak**aa
❌ Mwili kuchoka haraka
❌ Upungufu wa Calcium mwilini

Sasa kuna suluhisho la asili kupitia virutubisho lishe bora:

βœ… Antilipemic Tea – Husaidia kupunguza mafuta mabaya mwilini na kuboresha mzunguko wa damu.
βœ… Calcium & Protein Powder – Husaidia kuimarisha mifupa na kuongeza nguvu mwilini.
βœ… Natural Liquid Calcium – Husaidia kuongeza kiwango cha calcium na kuimarisha mifupa na meno.

πŸ’ͺ Virutubisho hivi vinaweza kusaidia:
βœ” Kuimarisha mifupa dhaifu
βœ” Kupunguza maumivu ya viungo
βœ” Kuboresha afya ya mifupa kwa ujumla
βœ” Kuongeza nguvu na uimara wa mwili

πŸ“ž Pata ushauri wa bure sasa!
Wasiliana nasi leo tukusaidie kupata suluhisho sahihi.

TIBA na Ushauri
πŸ“± 0755160939

⚠️ Usisubiri hadi maumivu yaongezeke. Chukua hatua mapema kulinda afya ya mifupa yako!

Save post hii maana Haina muda mwingi itaondoka hewani

🌿 VIDONDA VYA TUMBO VINAKUNYIMA AMANI?Unasumbuliwa na:❌ Maumivu ya tumbo mara kwa mara?❌ Kiungulia kisichoisha?❌ Kichefu...
04/03/2026

🌿 VIDONDA VYA TUMBO VINAKUNYIMA AMANI?

Unasumbuliwa na:
❌ Maumivu ya tumbo mara kwa mara?
❌ Kiungulia kisichoisha?
❌ Kichefuchefu na kujaa gesi?
❌ Maumivu yanayoongezeka ukiwa na njaa?
❌ Usingizi kukatika kwa sababu ya maumivu?

Usikubali kuishi na maumivu kila siku πŸ˜”

Kupitia TIBA na Ushauri, tunakuletea msaada wa lishe unaosaidia:

βœ… Kupunguza maumivu na kiungulia
βœ… Kulinda ukuta wa tumbo
βœ… Kuboresha mfumo wa mmeng’enyo
βœ… Kurejesha utulivu wa tumbo kwa njia ya asili

🌿 Suluhisho la asili kwa afya ya tumbo lako.

Wateja wengi wamepata nafuu na kuanza kula bila hofu ya maumivu.
Sasa ni zamu yako kuchukua hatua.

πŸ“ž Wasiliana nasi leo: 0755160939
TIBA na Ushauri

⚠️ Tunatoa ushauri binafsi kabla ya kuanza matumizi ili kuhakikisha unapata mwongozo sahihi.

Wanawake katika kipindi cha ujauzito wanapenda kitu chochote chenye kuwafurahisha ndo maana wengine wanapenda vitu vya a...
25/02/2026

Wanawake katika kipindi cha ujauzito wanapenda kitu chochote chenye kuwafurahisha ndo maana wengine wanapenda vitu vya ajabu k**a kula udongo, wengine hupenda kukaa karibu na choo, au kunusa soksi chafu, harufu ya jasho la mumewe au kuchuikia kabisa yaani wanaendeshwa na homoni zao wala sio kwa akili zao

Wewe k**a mume, ndugu au jamaa yake wa karibu Ukiona amekupenda shukuru na muoneshe upendo zaidi, ila akikuchukia pia usirudishe muitikio (reaction) mbaya hapo unanazidi kumkera zaidi, We mvumilie tu maana ni hali ya mpito, baada ya muda hukaa sawa na hurudisha upendo k**a awali ikiwa hukuwa na kero zaidi kipindi cha mabadiliko yake ya homoni

Hili ni somo ambalo wanaume wengi bado hawapata uelewa 😌

Ikiwa mnatafuta mtoto kwa muda mrefu bila mafanikio karibu tuwasaidie kwa vipimo, ushauri na matibabu 0755160939

PCOS NA UGUMU WA KUSHIKA MIMBA🌿🌿 PCOS ni sababu kuu ya ukosefu wa ujauzito kwa wanawake kutokana na usawa wa homoni usio...
22/02/2026

PCOS NA UGUMU WA KUSHIKA MIMBA

🌿🌿 PCOS ni sababu kuu ya ukosefu wa ujauzito kwa wanawake kutokana na usawa wa homoni usio thabiti unaosababisha ovulusheni isiyo ya kawaida. Ingawa husababisha hedhi zisizo za kawaida na changamoto za kupata mimba, wanawake wengi wenye PCOS wanaweza kupata mimba kwa mafanikio kupitia mabadiliko ya mtindo wa maisha, dawa zinazochochea ovulusheni (k**a letrozole), au teknolojia za kusaidia uzazi (ART).

Athari za PCOS kwenye Ujauzito

✍️ Ukosefu wa ovulusheni: PCOS husababisha mzunguko wa hedhi usio wa kawaida au kutokuwepo kwa hedhi, ikimaanisha mayai hayatoi kwa wakati wa kawaida.

✍️ Usawa wa homoni: Viwango vya juu vya androjeni (homoni za kiume) vinaweza kuathiri ubora wa yai na kuzuia ovulusheni.

✍️ Upinzani wa insulini: Hali hii ni ya kawaida kwa PCOS, inaweza kuendelea kuathiri ovulusheni na kuongeza hatari za kupata mimba.

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TIBA na Ushauri posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share