Check Afya

Check Afya Karibu kwa huduma za matibabu, Ushauri na vipimo

JE KUNA NYAKATI UNAPITIA DALILI HIZI?1️⃣Kutokwa na uchafu ukeni wenye harufu mbaya wakati wa tendo la ndoa.2️⃣.Maumivu M...
27/02/2026

JE KUNA NYAKATI UNAPITIA DALILI HIZI?

1️⃣Kutokwa na uchafu ukeni wenye harufu mbaya wakati wa tendo la ndoa.

2️⃣.Maumivu Makali chini ya kitovu

3️⃣.Kuhisi Homa

4️⃣.Kuvurugika kwa mpangilio wa hedhi

5️⃣.Maumivu wakati wa tendo la ndoa

6️⃣.Mfadhaiko

7️⃣. Kutokwa na damu wakati wa tendo.

8️⃣.Hedhi inayoambatana na uchafu

9️⃣. KUTOKWA NA UCHAFU WA NJANO , kijani au k**a maziwa ya mtindi wakati wa TENDO LA NDOA.

🔟. VIDONDA, vipele pamoja na miwasho ukeni?

K**a unapitia baadhi au Dalili zote , unahitaji tiba Sahihi.

☎️+255766852720 au + 255676967377

🫐🍓Youth Ever Anti-Aging 🍃Kuwa na muonekano mzuri wa ujana na wenye kuvutia🍃Youth Ever ndiyo suluhisho la urembo wako.You...
17/01/2026

🫐🍓Youth Ever Anti-Aging

🍃Kuwa na muonekano mzuri wa ujana na wenye kuvutia
🍃Youth Ever ndiyo suluhisho la urembo wako.

Youth Ever Anti-Aging ni bidhaa Nzuri ya ngozi, iliyotengenezwa kwa viwango vya juu mahususi kwaajili ya UREMBO na muonekano mzuri wa UJANA kwa wale wanaothamini ubora, hadhi na matokeo halisi.

🍂Imeundwa kwa teknolojia ya hali ya juu kwa kutumia viambata maalum kwaajili ya kuijenga, kuimarisha, kung’arisha, kukufanya kuwa na muonekano na ngozi laini k**a ya mtoto

Youth Ever Anti-Aging husaidia:
Kuboresha mwonekano wa ngozi kwa ulaini na uimara wa hali ya juu

🍀Kupunguza dalili zinazoonekana za kuzeeka kwa ngozi.

💐Kurejesha mng’ao wa asili na mvuto wa ngozi changa
Kudumisha ngozi yenye usawa, afya na mwonekano wa kifahari

🌿 Viambato vilivyochaguliwa kwa umakini hufanya kazi kwa upole lakini kwa ufanisi, vikiiwezesha ngozi kujirekebisha na kuonekana bora kila siku.

🥀🌺Huondosha mikunjo ya ngozi na kukufanya uwe na ngozi laini pamoja na urembo halisia

🎋🍄Hulainisha ngozi, na kuifanya nyororo kabisa

🍃☘️Kizuri zaidi , hukukinga dhidi ya mionzi ya jua ( sun screen) na kuondosha madhara ya viambato kemikali

💎 🍇🍒Youth Ever Anti-Aging si bidhaa tu — ni uzoefu wa urembo wa kiwango cha juu.

👉 🍓🍓Kwa wanaochagua ubora. Kwa wanaoheshimu thamani ya ujana.

Kwa mahitaji ya hii bidhaa wasiliana nasi

📶+255766852720 au
☎️📞+ 255676967377

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Check Afya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share