05/04/2026
1. Kuwasha na muwasho mkali
Sehemu za siri, mapaja au ngozi huwashwa sana
Hali hii huweza kukufanya ukose raha au usingizi
2. Upele na ngozi kubadilika
Hutokea upele, wekundu au mabaka meupe
Ngozi inaweza kupasuka au kukauka sana
3. Maumivu wakati wa tendo la ndoa
Maumivu au kuwaka wakati wa kushiriki tendo
Hii inaweza kupunguza hamu ya tendo
4. Harufu mbaya sehemu za siri
Fangasi huweza kusababisha harufu isiyo ya kawaida
5. Kutokwa na uchafu usio wa kawaida
Wakati mwingine kuna ute mweupe au mzito kwenye uume
6. Kuambukiza mwenza
Fangasi huambukizwa kirahisi kwa mwenza wakati wa tendo bila kinga
7. Maambukizi kuwa sugu
Usipotibu mapema, fangasi wanaweza kuwa sugu na kurudiarudia
8. Kupungua kwa kujiamini
Muwasho, harufu na dalili nyingine huweza kuathiri hali ya kisaikolojia
*Dr Philimon*
*0755288943*