17/02/2026
🌿 TANGAZO LA HUDUMA ZA AFYA 🌿
Je, unajali afya yako na ungependa kujua hali ya mwili wako kwa ujumla?
👉 Tunatoa VIPIMO VYA MFUMO MZIMA WA MWILI kwa OFÁ MAALUM — Tsh 20,000 tu!
Huduma zetu pia zinajumuisha:
✅ Uchunguzi wa kina wa afya
✅ Ushauri wa kitabibu kutoka kwa wataalamu
✅ Matibabu ya magonjwa yasiyo ambukiza k**a:
- Kisukari
- Presha
- Magonjwa ya moyo
- Unene kupita kiasi
📍 Huduma bora, haraka na kwa gharama nafuu
📞 Wasiliana nasi leo kupanga miadi yako 0758133519
Afya yako ni mtaji wako — usisubiri mpaka uumwe!