04/05/2026
ποΈ Huduma ya Hospitali Nyumbani kwa Mpendwa Wako
Kumhudumia mgonjwa nyumbani isiwe kazi ngumu. Tuna vitanda vya hospitali (manual na electric) vinavyofanya huduma kuwa rahisi, salama kwa mtumiaji.
β
Kunyanyua kichwa β kula na kukaa vizuri
β
Kunyanyua miguu β kusaidia mzunguko wa damu
β
Rahisi kusogeza na kusafisha
β
Imara na salama
ποΈ Kitanda cha crank 1 β TZS 550,000
π Rahisi, kinanyanyua sehemu moja tu
ποΈ Kitanda cha 2 crank β TZS 650,000
π Kinanyanyua kichwa na miguu
ποΈ Kitanda cha crank 3 (manual) β TZS 900,000
π Kinanyanyua Miguu, kichwa, kiuno na unaweza kuongeza urefu
ποΈ Kitanda cha crank 3 (electric) β TZS 1,900,000
π Unabonyeza tu rimoti β rahisi sana kutumia
ποΈ Kitanda cha function 5 (full electric) β TZS 3,300,000
π Kila kitu kina-control kwa rimoti
π‘ Inafaa kwa: wazee, wagonjwa wa muda mrefu
Wasiliana nasi sasa +255 786 834 815