Dr. Lishe

Dr. Lishe Tunawasaidia watu wenye changamoto:-
1️⃣BAWASIRI.
2️⃣KISUKARI. 3️⃣NGUVU ZA KIUME KWA WALIYOOA TU

SABABU KUU 7 ZA KWANINI BAWASIRI KWA WATOTO WADOGO ZIMEKUWA NYINGI SIKU HIZI1️⃣ Kupata choo kigumu⁠-Hii ndio sababu kubw...
12/05/2026

SABABU KUU 7 ZA KWANINI BAWASIRI KWA WATOTO WADOGO ZIMEKUWA NYINGI SIKU HIZI

1️⃣ Kupata choo kigumu
⁠-Hii ndio sababu kubwa zaidi kwa watoto.

-Chakula cha kisasa;
Mfano watoto wengi sasa wanakula chips, biskuti, sambusa, pizza, juisi za pakiti.

Vyakula hivi havina nyuzinyuzi “fiber” kabisa. Bila fiber, kinyesi kinakuwa kigumu k**a jiwe😨🚽…!

2️⃣ Maji kidogo
-Watoto wengi hawanywi maji ya kutosha shuleni au nyumbani. Wanapendelea soda au juisi za kusindikwa viwandani.
Maana kunywa maji kidogo lazima upate choo kigumu.

3️⃣ Kubana choo yaani hawajisaidii kwa wakati
-Mtoto akiwa shuleni anaona aibu kwenda choo, au anacheza na kusahau.

-Akibana na choo kwa muda mrefu maji huvutwa kutoka kwenye kinyesi na kinakuwa kigumu zaidi. Akija kujisaidia, lazima ajikamue sana na hapo mishipa ya haja kubwa inavimba na kutengeneza bawasiri.

4️⃣ Kukaa sana kwenye choo na simu/tablet
-Hii ni tabia mpya kabisa. Mtoto anakaa chooni dakika 15-30 akicheza game au YouTube.

-Kukaa kwa muda mrefu kwenye choo kunazidisha shinikizo kwenye mishipa ya puru. Zamani watoto walimaliza kujisaidia na kutoka lakini sasahivi ni tofauti.

5️⃣ Uzito mkubwa na kutofanya mazoezi
-Watoto wengi sasa ni wanene kutokana na vyakula vya mafuta na sukari.

-Uzito mkubwa huongeza shinikizo tumboni kila siku.
Kukaa sana: Masaa mengi mbele ya TV, tablet, PlayStation. Mwili ukikosa mazoezi, utumbo pia unakuwa “mvivu” na chakula hakisogei haraka. Matokeo? Constipation.

6️⃣Mafunzo mabaya ya utumiaji wa choo
-Wazazi wengi sasa wanawalazimisha watoto kujisaidia “as long as” anataka kusafiri na mtoto sehemu ambayo anajua mtoto kujisaidia kutakuwa ni shida na kujikakamua kutafuta choo kunaathiri mishipa ya puru.

-Pia “Potty training” za mapema sana wakiwa na mwaka 1 au 1.5. Mtoto bado hajaweza kuelewa au kudhibiti misuli yake. Anajikamua kwa nguvu lakini hatoi chochote, na hivyo kuharibu mishipa yake mapema.

7️⃣Magonjwa mengine
Mzio wa maziwa ya ng’ombe: Watoto wengine hupata “constipation” na kuvimbiwa vikali kutokana na maziwa.

-Kikohozi cha muda mrefu: Pumu au mzio unaosababisha kukohoa kila siku huongeza shinikizo tumboni, sawa na kujikamua.

📱WhatsApp: 0763184499

JE, HAUPATI CHOO BILA KUTUMIA DAWA YA KUPATA CHOO NA KULAINISHA CHOO..?_______________________________________________Le...
12/05/2026

JE, HAUPATI CHOO BILA KUTUMIA DAWA YA KUPATA CHOO NA KULAINISHA CHOO..?
_______________________________________________

Leo unaweza kutucheck ukaondokana na changamoto yako hii mapema na kuboresha mfumo wako wa mmengenyo wa chakula na kuimaliza bawasiri yote na dalili zake zote k**a vile constipation, vinyama au viuvimbe, maumivu, damu na choo chenye damu, miwasho, kuwaka moto n.k …✍️

✅ILI KUONDOKANA NA BAWASIRI YAKO NA VINYAMA VYAKO VYOTE, MAUMIVU, CHOO CHENYE DAMU, DAMU, MUWASHO, KUWAKA MOTO, KUTOKWA VIUNYEVUNYEVU NA VIMAJI KWENYE NJIA YA HAJA KUBWA😠 Fanya hivi👇

📲Tuma ujumbe WhatsApp:0763184499.

au

☎️Piga: +255 (0) 763184499

SABABU KUU 4 ZA HALI YA BAWASIRI KUWA HATARI ZAIDI KWA WAGONJWA WA KISUKARI NA MOYO1️⃣Matatizo ya mzunguko wa damua. Mag...
12/05/2026

SABABU KUU 4 ZA HALI YA BAWASIRI KUWA HATARI ZAIDI KWA WAGONJWA WA KISUKARI NA MOYO

1️⃣Matatizo ya mzunguko wa damu
a. Magonjwa ya moyo: Moyo usiposukuma damu vizuri, damu inaweza kukwama kwenye mishipa ya chini ya mwili, ikiwemo mishipa ya haja kubwa. Hii husababisha mishipa hiyo kuvimba zaidi na kuwa bawasiri zenye maumivu.

b. Kisukari: Sukari ya juu huharibu kuta za mishipa midogo midogo ya damu. Mishipa ikidhoofika, huvuja damu kirahisi na kupona kwa jeraha la bawasiri kunakuwa polepole.

2️⃣”Chronic constipation” yaani kupata choo kigumu sana kwa muda mrefu kunatokana na dawa za maginjwa hayabya kisukari na moyo au hali yenyewe.

a. Dawa za magonjwa ya moyo: Dawa nyingi za shinikizo la damu, hasa aina ya “calcium channel blockers” k**a “amlodipine” na dawa za maji “diuretics”, husababisha “constipation” kwa wagonjwa wengi. Sasa si unajua kujikakamua sana chooni ndio chanzo namba moja cha bawasiri?

b. Kisukari: Kisukari kinachoathiri neva za tumbo huitwa “diabetic gastroparesis”.

-Hufanya chakula kisogee polepole tumboni, na kusababisha kupata choo kigumu sana na kuvimbiwa kwa muda mrefu kwa baadhi ya wagonjwa.

-Pia sukari ya juu huvuta maji kutoka kwenye utumbo mpana, na kufanya kinyesi kuwa kigumu.

3️⃣Kuchelewa kupona kwa vidonda
-Kisukari hupunguza uwezo wa mwili kupona.
-Bawasiri ikipasuka au kutoa damu, kwa mgonjwa wa kisukari kidonda hicho kinaweza kuchukua wiki nyingi kupona.
-Wakati huo huo, hatari ya kupata maambukizi kwenye eneo hilo inakuwa kubwa zaidi.

4️⃣Unene na kukaa sana
-Wagonjwa wengi wa kisukari aina ya 2 na magonjwa ya moyo pia wana uzito mkubwa.
-Uzito mkubwa huongeza shinikizo kwenye mishipa ya nyonga na haja kubwa.

🔔HATARI NYINGINE ZA ZIADA:
-Dawa za kupunguza damu kuganda: Wagonjwa wa moyo wengi hutumia aspirin, warfarin, au clopidogrel.

-Dawa hizi zikikutana na bawasiri inayotoa damu, damu inaweza kutoka nyingi zaidi na kutokuacha kirahisi.

-Upasuaji hatari zaidi: Ikiwa bawasiri itahitaji upasuaji, mgonjwa wa moyo au kisukari huwa na hatari kubwa zaidi wakati wa “anesthesia” na kupona kwa jeraha.

✅KUPONA BAWASIRI BILA UPASUAJI FANYA HIVI👇

📱Tuma ujumbe whatsApp/Call: +255 (0) 763184499

SABABU 7 ZA BAWASIRI KUZIDI KUWA HATARI BAADA YA KUFIKIA MIAKA 40+_______________________________________________1️⃣ Kuo...
11/05/2026

SABABU 7 ZA BAWASIRI KUZIDI KUWA HATARI BAADA YA KUFIKIA MIAKA 40+
_______________________________________________

1️⃣ Kuongezeka kwa presha ya damu ya veini na mzunguko wa damu
-Unapofikisha miaka ya 40, mishipa ya damu inaweza kuwa nyembamba na migumu inahitaji moyo kufanya kazi kwa nguvu zaidi ili kusukuma damu kurudi moyo.
-Hali hii inaweza kupelekea kukomaa kwa majeraha ya ndani ya mfumo wa bawasiri (venous cushion) na kupunguza kasi ya uponyaji.

2️⃣ Kuongezeka kwa presha ya ndani ya tumbo (intra-abdominal pressure)
-Uzito wa mwili kupanda au kubanwa kwa misuli ya tumboni kunaweza kuongeza mgandamizo kwenye mfumo wa bawasiri.
-Kutofanya mazoezi ya mara kwa mara au kuepuka kutembea kunaweza kuleta madhara zaidi katika miaka ambayo wengi hupenda kuiita miaka ya heshima na hata kuanza kufuga vitambi😁.

3️⃣ Mabadiliko ya mifumo ya mwili hususani kwenye tumbo(abdomen)
-Mabadiliko ya hormoni na afya ya ukeni mfano kwa wanawake yanaweza kuathiri mzunguko wa damu katika maeneo ya bawasiri.
-Maumbile ya tishu za mwili (elasticity) yanapofikia miaka 40+ huathiri uponyaji wa tishu.

4️⃣Kutanuka kwa misuli ya pelvic na safu ya tishu zake
-Hali hii huweza kupunguza nguvu ya kuzuia msukumo wa damu.
-Upunguzaji wa uimara wa misuli ya pelvic husababisha bawasiri kuendelea au kuongezeka kwa ukubwa.

5️⃣Kutokula vizuri na tabia ya vyakula
-Ulaji wa vyakula vyenye mafuta mengi na vyakula vyenye kemikali za viwandani(vya kusindikwa huongezeka) na vinywaji vilivyotengenezwa kwa kemikali vinaweza kuchochea tatizo.

6️⃣Kutofanya mazoezi ya mara kwa mara katika umri huu huchangia mtiririko mbaya wa damu katika maeneo ya bawasiri na hali ya bawasiri kuzidi kuwa mbaya.

7️⃣Mchanganyiko wa magonjwa ya muda mrefu mfano “chronic constipation” au vidonda sugu vya tumbo, ngiri, n.k maginjwa haya huweza kuongeza hatari ya bawasiri kwa mgonjwa.

USHAURI:
👨‍⚕️Tibu bawasiri yako mapema kabla haijafikia hatua mbaya zaidi na wakati sahihi ni sasa…✍️

📱Tuma ujumbe WhatsApp: +255 (0) 763184499.

au

☎️Piga: +255 (0) 763184499.

Follow us

MAUMIVU YOTE YA BAWASIRI YAMEONDOKA CHAPU NDANI YA MASAA24 TU😍🤗💪✅Ili kuondokana na BAWASIRI YAKO YOTE NA VINYAMA NA VIUV...
11/05/2026

MAUMIVU YOTE YA BAWASIRI YAMEONDOKA CHAPU NDANI YA MASAA24 TU😍🤗💪

✅Ili kuondokana na BAWASIRI YAKO YOTE NA VINYAMA NA VIUVIMBE, MAUMIVU, DAMU, MIWASHO, KUWAKA MOTO NA KUTOA VIMAJIMAJI AU VIUNYEVU KWENYE NJIA YA HAJA KUBWA, BASI HAKIKISHA UNALIPATA SULUHISHO HILI BORA LA BAWASIRI BILA UPASUAJI.

Fanya hivi👇

📱Tuma ujumbe WHATSAPP:0763184499.

au

☎️PIGA:0763184499.






Please SHARE and Tag person




bawasili2019 uzitomkubwa maumivuwakatiwakujisaidia constipation afyayako
hemorrhoid choochenyedamu diarrhea kinyamasehemuyahajakubwa muwashosehemuyahajakubwa digestivehealth

10/05/2026

⏸️🛅How can hemorrhoids be treated effectively?

👨‍⚕️If you’re experiencing symptoms like persistent bleeding, significant pain, or a lump near the a**s, consider consulting us now👇

Healing is 100%

CONTACT US NOW:

WhatsApp/Call:+255 (0) 763184499.

FURAHA YA KUPONA BAWASIRI BILA UPASUAJI_____________________________________Kuipata amani na furaha ya moyo ni pamoja na...
09/05/2026

FURAHA YA KUPONA BAWASIRI BILA UPASUAJI
_____________________________________

Kuipata amani na furaha ya moyo ni pamoja na pale utapokuja kupona vinyama vyako vyote vya bawasiri bila upasuaji kwa wewe ambaye vipo nje muda wote na kwa wewe ambaye vinatoka nje na kurudi ndani baada ya kujisaidia😢

Kiukweli vinakera mno🥺😐

Inakuwa furaha sana kujua hauna bawasiri tena maishani mwako.

Hapa chini nimekuwekea siri chache walizozitumia wagonjwa wenzako wa bawasiri kuimaliza kabisa bawasiri kwa 100%.

Kwanza kabisa watu hao wamesaidiwa na sisi hapa kupona bawasiri.

Ndio!, Tunaimaliza bawasiri kabisa hatuibakizi hata kiduchu🙅‍♂️

Yaani vinyama vyote vinaisha na ville viuvimbe vyote na panakuwa fulati k**a ulivyozaliwa na k**a ulivyokuwa fulati zamani ukiwa mdogo😍🤗💪

Maumivu yanaisha chapu ni ndani ya masaa24, choo kigumu na chenye damu na maumivu, miwasho, kule kuwaka moto na kuhisi kuchomwa na vimiiba kwenye njia ya haja kubwa kunaisha kabisa kwa 100%.

Vinyama siku 7-wiki 2-3

REASONS BEHIND HEALING🎉⬇️⤵️🛅
-Unapotumia suluhisho hili changamoto zote za bawasiri zitaisha kabisa Maana unapata dawa mbili za uhakika yaani dawa ya kunywa na dawa ya kupaka ambazo zinamaliza tatizo lako la bawasiri kabisa ndani ya siku 3 hadi 7.

-Dawa ya kunywa inaua ugonjwa kwa ndani, inaondoa choo chenye maumivu, inaondoa choo chenye damu na maumivu, na inaondoa choo kigumu.

-Dawa ya kupaka inaondosha kinyama na kinaisha kabisa panabaki fulati hata k**a vinyama ni vingi, inamaliza na miwasho, dalili za kuwaka moto, na unyevu unaojitokeza kwenye njia ya haja kubwa.

-Na ukishamaliza dozi na kupona kabisa nakupatia mwongozo ambao utakusaidia kufahamu namna ya kuepukana na vyanzo vyote vya tatizo hili la bawasiri(diet therapy program)kwasababu kitaalam tatizo la bawasiri linatokana na mtindo mzima wa maisha mfano choo kigumu hivyo ukishapona kwa suluhisho hili basi bawasiri hautokurudia tena maana kupitia program utakayoipata baada ya kumaliza changamoto hii ya bawasiri basi ugonjwa haujirudii tena.

Hapa kupona kabisa ni 100%

👋Ili kutokomeza bawasiri yako sasa tumia mawasiliano haya chini.

MAWASILIANO:
Tuma ujumbe WhatsApp:0763184499
au
PIGA: 0763184499.

MADHARA 10 YA “CONSTIPATION”_______________________________________________1. Kusababisha kupata bawasiri kwa zaidi ya 7...
08/05/2026

MADHARA 10 YA “CONSTIPATION”
_______________________________________________

1. Kusababisha kupata bawasiri kwa zaidi ya 75%

2. ⁠Kusababisha kupata “anal fissure” yaani mpasuko kwenye njia ya haja kubwa au kwenye mfereji.

3. ⁠Maumivu ya tumbo na tumbo kuvimba nakujaa gesi.

4. Kusababisha kupata choo chenye damu.

5. ⁠Upungufu wa maji mwilini (dehydration) kutokana na kwamba mwili utahitaji kufanya “ selective reabsorption” kwa kufyonza maji mwilini ili kulainisha choo kwenye utumbo “before defecation”.

6. ⁠Kuathiri usingizi (sleep disruption).

7. ⁠Nguvu za mwili kupungua;
Kujikaza kila mara kunaweza kuchosha mwili, mwili kukosa nguvu.

8. Mabadiliko ya hamu ya chakula na hata uzito wa mwili kushuka.

9. Msongo wa akili na hisia za kukasirika kila mara.

10. Hatari ya kushindwa kwa madawa mengine kufanya kazi katika kutibu maradhi mengine unayoweza kuwa nayo kwasababu ya utumbo kuwa na uchafu usiyotakiwa kuwepo kwa muda huo(constipation).

👨‍⚕️Ondokana na bawasiri yako mapema leo kupitia suluhisho hili bora linalomaliza na changamoto ya CONSTIPATION ndani ya masaa24.

Kupitia suhuhisho hili linalojumuisha dawa ya KUNYWA ambayo inaua ugonjwa huu kwa ndani ya kuua ugonjwa huu kuanzia kwa ndani na pia unapata dawa ya KUPAKA ambayo inaua ugonjwa huu kwa nje.

Fanya hivi👇kulipata suluhisho hili.

📱Tuma ujumbe WhatsApp:0763184499.

au

☎️Piga: +255 (0) 763184499.

FAHAMU UHUSIANO WA BAWASIRI vs MIMBA_______________________________________________Bawasiri haizuhii kubeba mimba wala h...
08/05/2026

FAHAMU UHUSIANO WA BAWASIRI vs MIMBA
_______________________________________________

Bawasiri haizuhii kubeba mimba wala haihatarishi mtoto wako aliyetumboni ingawa kuwa nayo kunaweza kuleta maumivu na changamoto wakati wa kujifungua na hata kipindi cha mimba.

Bawasiri kwa kawaida huwa si shida kwa mama mjamzito, isipokuwa mishipa ya damu iliyo eneo la bawasiri inapopata shinikizo la uzito wa mtoto tumboni huweza kuifanya hali ya bawasiri kuwa mbaya zaidi na kubanwa (kunyongwa) nje na bawasiri yako kuvimba zaidi na kukupa maumivu na hata kutoa damu hali ambayo sasa ndo hatari zaidi kwa mama mjamzito n.k

Bawasiri iliyokatwa inaweza kuwa na shida sana hususani kipindi cha ujauzito kutokana na eneo lililokatwa bawasiri kuwa dhaifu na kupelekea kuwa na uwezekano wa bawasiri kukurudia tena hususani kipindi cha ujauzito.

NB: Pia wakati wa ujauzito ni kipindi ambacho wewe mwanamke unaweza kupata bawasiri kwasababu ni kipindi ambacho hormones za uzazi huzalishwa kwa wingi bila mpangilio mzuri kwa baadhi ya wanawake na kusababisha kuathri mfumo wa chakula(bowel movement) na kusababisha kupata choo kigumu(constipation) ambacho hupelekea kupata bawasiri.

Pia ongezeko la shinikizo kwenye misuli ya puru(rectum), eneo la tundu la haja kubwa, na misuli ya eneo la nyonga(pelvic muscles) husababushwa na ongezeko la uzito wa mimba kipindi cha ujauzito na kupelekea kupata hali ya kupata bawasiri.

Na hata baadhi ya hormones zinazozalishwa kwa kasi hususani kipindi cha ujauzito mfano “Progesterone hormone” huchangia kulainika kwa mishipa ambayo huweza kuwa rahisi kutanuka na kutengeneza bawasiri.

JE, UNATAKA KUONDOKANA NA BAWASIRI KIPINDI CHAKO CHA MIMBA BILA UPASUAJI…?

📢ONDOA SHAKA SASA FANYA HIVI👇

Tuma ujumbe WHATSAPP:0763184499.

au

PIGA:0763184499.

07/05/2026

BAWASIRI HAIANZI KWA VINYAMA TU NJE, BALI HUANZA DALILI K**A VILE⤵️

➡️Maumivu makali wakati wa kujisaidia.

➡️Miwasho mikali kwenye njia ya haja kubwa.

➡️Choo kigumu na chenye damu au choo chenye kuambatana na damu.

➡️Kuwaka moto kwenye njia ya haja kubwa.

➡️Kutoa vimajimaji k**a viunyevunyevu kwenye njia ya haja kubwa.

➡️Kuhisi k**a vile kuchomwachomwa na vimiiba kwenye njia yako ya haja kubwa.

HIvyo basi, bawasiri kufikia hatua ya kuonyesha vinyama inakuwa tayari imefikia hatua kubwa baada ya wewe kuzivumilia au kuzipotezea dalili za awali zisizo husisha vinyama na viuvimbe kabla havijatokea🥺…

✅Kupitia suluhisho letu hili bora la BAWASIRI utaweza kuondokana na vinyama vyote vya bawasiri na viuvimbe na dalili zote za bawasiri k**a damu, maumivi, miwasho, kuwaka moto, viunyevunyevu, n.k

Tibu bawasiri bila upasuaji👋

👨‍⚕️Tuma ujumbe hapa👇

📱WhatsApp:0763184499

au

☎️Piga:+255 (0) 763184499

06/05/2026

WHEN YOU HAVE FLATULANCE or BLOATING

Don’t eat cabbage…✍️

Because it will amaze you as you can see man🤗….

For hemorrhoids treatment without surgery contact us:

📱WhatsApp/Call: +255 (0) 763184499

Address

Dodoma

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr. Lishe posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Dr. Lishe:

Share