02/09/2026
ZAWADIA FAMILIA YAKO AFYA BORA MWEZI HUU! 🎁🩺
Unajua kwamba gharama za vipimo vya afya mtaani ni kubwa? Mwezi huu tumekurahisishia!
Badala ya Tsh 30,000, sasa unalipia Tsh 10,000 TU kupata Voucher ya Vipimo vya Mwili Mzima (Full Body Checkup) kwenye kituo chetu cha Dodoma.
💡 Mbinu ya Kijanja: Nunua Voucher 3 au 5 leo kwa ajili yako, mwenza wako, na wazazi wako ili wote wakapimwe afya zao kwa gharama nafuu kabla ya Tarehe 13/10/2026!
📩 Jibu status hii au nitumie DM neno "VOUCHER" uchukue za kwako sasa hivi! ✨