medicAfvaclinic

medicAfvaclinic Ninatoa elimu afya na ushauri tiba kwa wanawake na watoto wenye changamoto mbalimbali za kiafya ��

09/07/2026

Je,unajua kuhesabu mzunguko wa hedhi Jifunze nitatumia mfano wa mzunguko wa hedhi ya siku 29 kuelewa ya afya

08/07/2026

Ukijua utapamba mda wa kubeba mimba na mda wa kuzuia mimba

08/07/2026

hedhi,👇 soma kwa faida yako👇

30/06/2026

Katika kila HOSPITALI au wodi Yupo MUUGUZI au DAKTARI au mtoa huduma yeyote mwingine wa afya Ambaye Huyo mmoja tu ambaye ulimpenda na jinsi alivyokuhudumia ukatamani wote wawe k**a huyo alikuwa na sifa zipi ? Niambie kwenye comment Nijifunze kutoka kwako hoi itaboresha huduma za afya ♥️🩺

30/06/2026

Sababu za mimba kuharibika soma kila baada ya miezi mitatu sikiliza hadi mwisho 👇

29/06/2026

Watumie watu uwapendao okoa maisha

29/06/2026

🚨 UMEFANYA KOSA? USIPANIKI... BADO KUNA MUDA WA KUJILINDA! ⏰

"Jamani, saa 72 hazikusubiri! 😅"

K**a umewahi kupata tukio la hatari k**a:
🔹 Kujamiiana bila kinga.
🔹 Kondomu kupasuka.
🔹 Kubakwa.
🔹 Kuchomwa na sindano au kifaa chenye damu.
Usikae ukihesabu nyota usiku! 😄 Nenda kituo cha afya haraka ukaanze PEP (Post-Exposure Prophylaxis).

💊 PEP ni dawa za dharura za kuzuia maambukizi ya VVU.
Lakini kuna sharti moja muhimu...
⏳ Lazima uanze ndani ya saa 72 tangu tukio litokee. Na siri kubwa ni hii:
👉 Kadri unavyowahi kuanza, ndivyo nafasi ya kuzuia maambukizi inavyokuwa kubwa zaidi.
🦠 Fikiria VVU k**a mwizi aliyeingia nyumbani kwako. Mwanzoni bado anatafuta pa kujificha. PEP inawahi kufika k**a askari na kumzuia kabla hajajifungia ndani ya nyumba.

🚔Lakini ukichelewa sana... mwizi tayari ameshabadilisha kufuli! 🥲

✅ Tumia PEP kwa siku 28 mfululizo k**a ulivyoelekezwa na mtoa huduma wa afya.
✅ Usikose dozi.
✅ Endelea na vipimo vya ufuatiliaji k**a utakavyoelekezwa.

❤️ Afya yako ni muhimu kuliko aibu. Ukipata tukio la hatari, usiseme "ngoja nione kwanza." Nenda mapema, pata ushauri na anza PEP haraka.
📢 Usisahau FOLLOW ❤️ LIKE 👍 COMMENT 💬 na SHARE 🔄 ili watu wengi zaidi wajifunze. Huenda taarifa hii ikaokoa maisha ya mtu.
medicAfvaclinic@ Medic AfyaClinic Wizara ya Afya Tanzania India HIV / AIDS Alliance

28/06/2026

💪🫶♥️🩺

25/06/2026
25/06/2026

"UCHAFU UNAOTOKA UKENI NA MAANA ZAKE "sikiliza👇👇

Address

Dodoma

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when medicAfvaclinic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share