Afya yako na Dr. Mroki

Afya yako na Dr. Mroki Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Afya yako na Dr. Mroki, Dodoma.

Je? UNASUMBULIWA NA JINO /MENO KUUMA, KUTOBOKA, FIZI KUTOA DAMU, MADONDA YA MDOMONI,HARUFU MBAYA  soma hii itakufaa sana...
07/06/2018

Je? UNASUMBULIWA NA JINO /MENO KUUMA, KUTOBOKA, FIZI KUTOA DAMU, MADONDA YA MDOMONI,HARUFU MBAYA soma hii itakufaa sana.

Contact : 0625634602
Whatssap: 0672825917

Meno ni muunganiko wa mfupa wa jino, Fizi na Mishipa. Mara nyingi watu wengi huwa pale wanapoumwa na jino wanakimbilia kung’oa jino eti dawa ya jino kuling’oa jambo ambalo si kweli.
Tambua ndugu yangu kuwa unapokwenda kung’oa jino unang’oa Mfupa sio Fizi wala mishipa ambayo hakuna madhara kwa bakteria anaesababisha jino kuuma.
Tambua kuwa kwenye kinywa cha mwanadamu kuna bakteria wanaoishi mdomoni wanaitwa NORMAL FRALER. Bakteria hawa ndio wanaotengeneza ute wenye Acid unaolainisha chakula kwa haraka mdomoni. Na ndio kazi yao. Lakini wanasababisha ugonjwa unaoitwa GINGIVAITES, ugonjwa huu husababisha fizi kutoa damu haswa unapopiga mswaki, lakini ukiachwa ukawa sugu unasababisha ugonjwa wake kuwa sugu na hujulikana k**a MACHODIFECE ugonjwa huu husababisha na hufanya meno kuoza, ama kutoboka kutokana na bakteria AFINOTOBALASAD ndio wanaosababisha na huwa wanaingia ndani kwenye fizi kwa ajili ya kula damu. Hapo ndipo mtu hupatwa na tatizo la kuumwa na jino au meno.
Ili kuondoa tatizo hili, ni lazima uwaue hao bakteria na si kong’oa jino kwani wadudu hao walivyo unapong’oa jino moja wao huwa wanahamia jino jingine.
Meno huanza kuwa na shida pale ambapo mhusika anapokuwa amepata vitu vifatavyo:
Kuumia sehemu ya mdomo kwa kujigonga au kupata ajali
Kupata mashambulizi ya vijidudu k**a bacteria,fungus,virasi na vingine vingi
Kukaa muda mrefu bila kufanyia kinywa usafi k**a kuto kupiga mswaki mara kwa mara
Kubakia kwa masalia au punje ndogo ndogo kwenye meno kwa muda mrefu

Tiba ya Jino/Meno
1.kuuma,
2.kuvimba fizi,
3.meno kutoboka na
4.wengine fizi kutoa damu kwa muda mrefu bila
tiba .
Tiba ya jino linalouma, lililo toboka, fizi kuvimba na kuuma sio kung'oa
Kung'oa ni njia ya kutengeneza mazingira ya jino jingine kung'oa na kujikuta una maliza kung'oa meno yote
Wengine huenda wakabaki wanajiuliza sasa hapa tunafanyeje!! Tuwasiliane niweze kukushauri namna ya utuzaji wa meno na kudhibiti hiyo changamoto ya kung'oa jino bila kujua Call 0625634602 karibu na using'oe jino

BEI YA DAWA NI 19000TSHs

TATIZO LA NGUVU ZA KIUME NA CHANZO CHAKE. Zaid ya asilimia 60 ya wanaume wote duniani wanakubwa na UPUNGUFU WA NGUVU ZA ...
06/06/2018

TATIZO LA NGUVU ZA KIUME NA CHANZO CHAKE.

Zaid ya asilimia 60 ya wanaume wote duniani wanakubwa na UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.
Tatzo limesababisha ndoa nying kuyumba na zingine kuvunjika kabsa.

NINI CHANZO CHAKE??
Wataalam wa afya kupitia tafiti tofaut inaonekana;

1.Kukosa chakula bora asilia kuupatia mwili wa mwanaume uwezo wa kuzalisha manii, hormone na kuimarisha misuli na mishipa limekuwa tatzo.

2.Ongezeko la uzito kwa watu wengi utokanao na ulaji wa wanga, ngano, mafuta n.k kwa wengi.

3.Kujichua/ma********on kwa vijana na baadhi ya watu wazima

4.Msongo wa mawazo {over stress} kutokana na shughuli nyingi za kila siku, ugumu wa maisha, kudharauliwa hasa na wapenzi wao n.k

Dalili za upungufu wa nguvu za kiume;
1.kuwahi kufika kileleni.
2.kukosahamu ya tendo la ndoa.
3.Umme kusimama ukiwa mlegevu.
4.kutoa mbegu chache na hazi afya.
5.kushindwa kurudia tendo kwa mara ya pili

Hi ni bidhaa maalum na teule kurudisha HESHIMA NA UANAUME WAKO NA HESHIMA YA NDOA KWA UJUMLA, iliyothibitishwa kuwa ya asili na kutokuwa na kemikali ya aina yoyote.
Ni bidhaa bora katika tatizo la ndoa kwa kua na uwezo wa kuwasaidia watu wengi.

MACA
Inatokana mzizi wa mmea wa zaman zaid ya miaka 2000 iliopita huko nchini Peru uitwao Maca, uliotumika kuwapa nguvu wanawake na wanaume katika shughul zao za kila siku, inaleta hamu ya tendo la ndoa, nguvu za kufanya tendo kwa kurudia bila kuchoka kirahis, kutoa mbegu nying na nzito na kusaidia mfumo wa uzazi kwa ujumla.
WHATSSAP; 0672825917

Kwa maelezo na order 0625634602
{mikoani pia tunatuma}

JE wajua kwamba Tafiti zinaonesha kua katika kila wanaume 10,wanne wana tatizo la nguvu za kiume.Hizi ni miongoni mwa da...
04/06/2018

JE wajua kwamba
Tafiti zinaonesha kua katika kila wanaume 10,
wanne wana tatizo la nguvu za kiume.
Hizi ni miongoni mwa dalili za upungufu wa nguvu za kuime;

� uume kukosa nguvu
� uume kuwa mlegevu
� kuwafi kufika kileleni haraka
� kokosa hamu kabisa ya tendo la ndoa

Na katika kila wanawake 10,
nane hawafurahii tendo la ndoa..
sababu ya matatizo ya upungufu wa nguvu za kuime kwa wanaume zao

NINI HASA CHANZO CHA TATIZO HILI LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME?
1.Kukosa chakula bora asilia kuupatia mwili wa mwanaume uwezo wa kuzalisha manii, hormone na kuimarisha misuli na mishipa limekuwa tatzo.
2.Ongezeko la uzito kwa watu wengi utokanao na ulaji wa wanga, ngano, mafuta n.k kwa wengi.
3.Kujichua/ma********on kwa vijana na baadhi ya watu wazima
4.Msongo wa mawazo {over stress} kutokana na shughuli nyingi za kila siku, ugumu wa maisha, kudharauliwa hasa na wapenzi wao au kukosa Hamu ya tendon la ndoa kabisa
5. Upungufu wa hormone
6. Mishipa ya damu kujaa mafuta na Moyo kutofanya kazi vizuri
WATU WENGI WANASUMBULIWA SANA NA TATIZO HILI BILA KUJUA TIBA SAHIHI NI IPI

Je ushawahi sikia mmea wa Macca?
Mmea huu unakazi nyingi sana kwenye mwili kwa mwanaume na mwanamke na tiba ya kukabiliana na tatizo hili la nguvu za kiume ambalo linatesa vijana hadi watu wazima

moja ya kazi za mmea huu ni:-
� kurudisha hamu na uwezo wa kushiriki tendo la ndoa kwa wanaume na wanawake # Kupunguza athari za menopause kwa wanawake.
� Kuupa mwili stamina na nguvu.
� Kuondoa msongo wa mawazo.
� Kusaidia kuboresha homoni za tendo la ndoa
� Kusaidia uwezo wa mbegu za kiume kuogelea vizuri..
� Kuongeza uteute kwa kwenye uke wakati wa tendo la ndoa. Hivyo kupunguza msuguano utakaoleta maumivu kwa wanawake.
Njuva ukmya njoo tuzungumze :
WhatssAp; 0672825917
Call/text; 0625634602

JE ,WEWE NI MWANAUME MWENYE CHANGAMOTO KWENYE MFUMO WAKO WA UZAZI?MULTIMACA NI KIRUTUBISHO MUHIMU NA MAALUM KWA WANAUME....
05/02/2018

JE ,
WEWE NI MWANAUME MWENYE CHANGAMOTO KWENYE MFUMO WAKO WA UZAZI?
MULTIMACA NI KIRUTUBISHO MUHIMU NA MAALUM KWA WANAUME.
HUSAIDIA:
1. KUONGEZA HAMU YA TENDO LA NDOA, STAMINA NA NGUVU.
2. KUONGEZA NGUVU ZA KIUME KWA KUBORESHA MZUNGUKO WA DAMU.
3. KUBALANCE HORMONES
4. KUZUIA UKUAJI WA TEZI DUME.
5. KUONGEZA IDADI NA UBORA WA MBEGU.
6. KUPUNGUZA ATHARI ZA MSONGO WA MAWAZO KWENYE MWILI.
KWA MAELEZO ZAIDI NA KWA ORDERS WASILIANA NA
+255672825917
+255766525822

JE ,  WEWE NI MWANAUME MWENYE CHANGAMOTO KWENYE MFUMO WAKO WA UZAZI?MULTIMACA NI KIRUTUBISHO MUHIMU NA MAALUM KWA WANAUM...
05/02/2018

JE ,
WEWE NI MWANAUME MWENYE CHANGAMOTO KWENYE MFUMO WAKO WA UZAZI?
MULTIMACA NI KIRUTUBISHO MUHIMU NA MAALUM KWA WANAUME.
HUSAIDIA:
1. KUONGEZA HAMU YA TENDO LA NDOA, STAMINA NA NGUVU.
2. KUONGEZA NGUVU ZA KIUME KWA KUBORESHA MZUNGUKO WA DAMU.
3. KUBALANCE HORMONES
4. KUZUIA UKUAJI WA TEZI DUME.
5. KUONGEZA IDADI NA UBORA WA MBEGU.
6. KUPUNGUZA ATHARI ZA MSONGO WA MAWAZO KWENYE MWILI.
KWA MAELEZO ZAIDI NA KWA ORDERS WASILIANA NA

+255672825917
+255766525822

KIRUTUBISHO MUHIMU NA MAALUM KWA WANAUME 67000TshsHUSAIDIA:1. KUONGEZA HAMU YA TENDO LA NDOA, STAMINA NA NGUVU.2. KUBORE...
28/01/2018

KIRUTUBISHO MUHIMU NA MAALUM KWA WANAUME
67000Tshs
HUSAIDIA:

1. KUONGEZA HAMU YA TENDO LA NDOA, STAMINA NA NGUVU.
2. KUBORESHA MSUKUMO WA DAMU AMBAYO NI MUHIMU KWENYE NGUVU ZA KIUME.
3. KUZUIA UKUAJI WA TEZI DUME.
4. KUONGEZA IDADI NA UBORA WA MBEGU.
5. KUPUNGUZA ATHARI ZA MSONGO WA MAWAZO KWENYE MWILI.
6. INARUTUBISHA MAYAI.
7.NI BORA ZAIDI KATIKA TATIZO LA MGUVU ZA KIUME 100%
KWA MAELEZO ZAIDI NA KWA ORDERS WASILIANA NA +255 672825917

JE wajua kwamba  Tafiti zinaonesha kua katika kila wanaume 10, wanne wana tatizo la nguvu za kiume.Hizi ni miongoni mwa ...
22/01/2018

JE wajua kwamba
Tafiti zinaonesha kua katika kila wanaume 10,
wanne wana tatizo la nguvu za kiume.
Hizi ni miongoni mwa dalili za upungufu wa nguvu za kuime;

👉 uume kukosa nguvu
👉 uume kuwa mlegevu
👉 kuwafi kufika kileleni haraka
👉 kokosa hamu kabisa ya tendo la ndoa

Na katika kila wanawake 10,
nane hawafurahii tendo la ndoa..
sababu ya matatizo ya upungufu wa nguvu za kuime kwa wanaume zao

NINI HASA CHANZO CHA TATIZO HILI LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME?
1.Kukosa chakula bora asilia kuupatia mwili wa mwanaume uwezo wa kuzalisha manii, hormone na kuimarisha misuli na mishipa limekuwa tatzo.
2.Ongezeko la uzito kwa watu wengi utokanao na ulaji wa wanga, ngano, mafuta n.k kwa wengi.
3.Kujichua/ma********on kwa vijana na baadhi ya watu wazima
4.Msongo wa mawazo {over stress} kutokana na shughuli nyingi za kila siku, ugumu wa maisha, kudharauliwa hasa na wapenzi wao au kukosa Hamu ya tendon la ndoa kabisa
5. Upungufu wa hormone
6. Mishipa ya damu kujaa mafuta na Moyo kutofanya kazi vizuri
WATU WENGI WANASUMBULIWA SANA NA TATIZO HILI BILA KUJUA TIBA SAHIHI NI IPI

Je ushawahi sikia mmea wa Macca?
Mmea huu unakazi nyingi sana kwenye mwili kwa mwanaume na mwanamke na tiba ya kukabiliana na tatizo hili la nguvu za kiume ambalo linatesa vijana hadi watu wazima

moja ya kazi za mmea huu ni:-
👉 kurudisha hamu na uwezo wa kushiriki tendo la ndoa kwa wanaume na wanawake # Kupunguza athari za menopause kwa wanawake.
👉 Kuupa mwili stamina na nguvu.
👉 Kuondoa msongo wa mawazo.
👉 Kusaidia kuboresha homoni za tendo la ndoa
👉 Kusaidia uwezo wa mbegu za kiume kuogelea vizuri..
👉 Kuongeza uteute kwa kwenye uke wakati wa tendo la ndoa. Hivyo kupunguza msuguano utakaoleta maumivu kwa wanawake.
Njuva ukmya njoo tuzungumze :-
+255672825917
+255766525822

K**a mwanaume unajisikiaje kupitia jambo hili?nakumbuka mwanzoni mambo yalikua yanaenda vizuri huko ndani. Mwanamke alin...
19/12/2017

K**a mwanaume unajisikiaje kupitia jambo hili?

nakumbuka mwanzoni mambo yalikua yanaenda vizuri huko ndani. Mwanamke alinifurahia sana na kwa kweli nilijiona mwanaume. Baadae mambo yalibadilika nilianza kukosa hamu ya tendo la ndoa, na hata nilipoipata haikua active sana, uume wangu ulisimama kwa muda kidogo tena ukiwa mregevu sometimes nilikosa tu nguvu za mwili. Nilishangaa sana na wala sikujua tatizo limetokana na nini? Hata mbegu za kiume zilikua zinatoka chache au hazitoki kabisa most of the time niliwahi kufika kileleni.....

Hali hii ilinikosesha furaha hata mwanamke niliona hayuko comfortable tena kushiriki tendo na Mimi, kila nilipojaribu kumpapasa hakuonesha ushirikiano kwasababu mara kadhaa nimefanya hivyo lakini uume hausimami au nawahi kufika kileleni....niliumia sana siku mwanamke alivyo nitamkia "WEWE SIO MWANAUME" imagine umemzalisha watoto watatu halafu Leo anasema hivyo.. nilijisikia aibu sana na nilianza kuogopa hata kulala nae ilifikia hatua hata chakula alichopika niliona aibu kula kwasababu aliwahi kuniambia "unakula hufanyi kazi yoyote huko ndani" Duuuuu hakuna wakati mgumu k**a huu.

Kazini niliomba overtime ili tu niwe nachelewa home nikute amesha lala kuepusha zogo na dharau. Ilifikia hatua hata mshahara wangu sikuona thamani yake k**a naambiwa "mwanaume suruali wewe" means hata mahitaji ninayo gharamia kwa familia ni useless.... Ilibidi tu nianze kwenda kucheck mpira na rafik zangu atlest nirudi home muda umeenda. Au nipate zangu moja baridi then ndio nikalale.

Nilijaribu kua muwazi kwa rafik zangu k**a watatu hivi lakini mambo hayakua mazuri kwasababu hata wao huko nyumbani mambo hayaendi tukajikuta hatuna solution. Kumbe unaweza kufikiri uko peke yako la! Tuko wengi, nilijaribu vitu vingi lakini bado sana tu niliishia kuboost nguvu siku tatu tatizo limerudi yani ndio mwanamke aliniona" kweli dume suruali" ile furaha ya Nyumba ilizidi kuporomoka hata nilipokua nae kwenye gari muda wote amenuna,akawa mkali kitu kidogo anaweza kuniparuza hata makucha....niliamini hamna tena namna ya kumaliza tatizo langu nikabaki kua mnyonge tu sijui alipata kidume huko maana alinisahau kabisa nikawa mwanaume jina tu. Siwezi kumlaumu mwanamke kwasababu alinivumilia sana tatizo lilipoanza alinipa ushirikiano sana baadae akanikatia tamaa....mwanaume mwenye akili nafikir unaelewa hali ikiwa hivi nyumbani na hata k**a hayaja kukuta bora ujue solution mapema unaweza kufa kwa pressure au kujidharau though hujamwambia mtu inakua tu internal conflict....

Nimejaribu kuweka wazi ili kupanua uelewa wetu wanaume juu ya tatizo hili.Ni
Mwaka unakaribia kutimia sasa naanza kuona hali imebadilika mambo yanaenda vizuri. Naona hata mwenzangu amekua na ushirikiano na furaha imerejea natamani uone Nyumba ilivyo na amani zile fujo zote hazipo tena....nadhani hata wewe ungetamani iwe hivyo kwako.

Upungufu wa nguvu za kiume ni jambo nyeti sana ndugu yangu, nimegundua ni muhimu mwanaume kufahamu mapema namna ya ku-mantain nguvu zako kwasababu it's a lifetime huitaji tu kupooza tatizo kwa kufanya shortcut za hapa na pale k**a nilivyokua nafanya ku- boost then napiga mzigo kesho tatizo palepale..unaweza kuitwa majina mabaya nakumbuka nimewahi kulia machozi nikajuta kua mwanaume...see?..

For now,nafuraha sana na nimeanza kuona mabadiliko japo imenichukua muda kidogo lakini kumbe heshima ndani sio pesa tu au huduma za chakula NO" hata uanaume wangu nao ni asset huko ndani. Kwa wakati niliopitia najaribu kuvaa Viatu vya wenzangu huko Sijui mwenzangu unaonaje jambo hili ?

Tufanye mjadala private
+255672825917

Je wafahamu vyakula na vinywaji tunavyotumia sasa vimekuwa na changamoto sana kiafya na kusababisha matatizo mbali mbali...
18/12/2017

Je wafahamu vyakula na vinywaji tunavyotumia sasa vimekuwa na changamoto sana kiafya na kusababisha matatizo mbali mbali katika mwili ikiwemo Organ zetu za uzazi? kuepuka kutumia vyakula hivyo ni kazi Basi twaweza kutumia Maca

Macca ni Superfood/kirutubisho cha asili kilichotengenezwa na mmea wa Maca, kina faida mbalimbali k**a;

1.Huongeza hamu ya mapenzi kwa kina mama na kina baba kwa asilimia zaidi ya 180,stamina na nguvu.

2.Inasaidia kuondoa depression - (msongo wa Mawazo)

3.Inasaidia kuondoa madhara ya kukoma hedhi - menopause(homoni na kusikia joto kali (hot flashes).

4.Inarutubisha mayai.

5.Inaongeza idadi ya mbegu za kiume (s***m count) kwa asilimia 200,na uwezo wa mbegu kuogelea vizuri (mobility)

6.Inabalance kiwango cha chuma Kwenye damu.

7.Inasaidia kupromote matumizi ya glucose Kwenye damu kubadilishwa kuwa nguvu na si kugeuzwa kuwa mafuta.
8. Inazuia ukuaji wa tezidume

VUNJA UKIMYA, KARIBU TUZUNGUMZE.

*Stock zimebaki chache*

Kwa maelezo zaidi tuwasiliane
0625634602
0766525822
Whatsp namba
0672825917

LIFAHAMU TATIZO LA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME NA CHANZO CHAKE.Leo katika zama hizi za sayansi na teknolojia tatizo la kup...
05/12/2017

LIFAHAMU TATIZO LA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME NA CHANZO CHAKE.
Leo katika zama hizi za sayansi na teknolojia tatizo la kupungua nguvu za kiume limekuwa kubwa sana, siyo Tanzania tu, bali duniani kote. Jambo muhimu analopaswa mwanaume yeyote kufahamu ni kwamba, kupungua nguvu za kiume siyo ugonjwa, ni dalili ya ugonjwa. Hii ina maana kuna dosari au udhaifu wa kiutendaji ndani ya mwili wake.

Kuna sababu zaidi ya 200 zinazosababisha mwanaume apungue nguvu za kiume. Mtu aweza kujiuliza kwa nini kuwe na sababu nyingi namna hiyo?

Nguvu za kiume Ni nini?
Nguvu za kiume ni jina la jumla lenye vipengele vingi ndani yake ikiwa ni pamoja na hamu ya mapenzi; kusimama kwa uume barabara; kuchelewa kufika kileleni kiasi cha kufurahia tendo la ndoa; uwezo wa kurudia tendo la ndoa; pumzi, wepesi na uchangamfu wa mwili katika kutenda tendo lenyewe.

Ni viungo gani vinavyohusika na nguvu za kiume?
Nguvu za kiume ni tukio pana sana lenye kuhusisha viungo na vitu vingi ndani ya mwili. Kuna zaidi ya viungo na vitu 50ndani ya mwili wa mwanaume vinavyohusika na nguvu za kiume ambapo viungo hivi pia hufanya kazi zingine za mwili. Baadhi ya viungo hivyo ni ubongo, moyo, mishipa ya neva mishipa ya ateri, mirija iliyo ndani ya uume iitwayo corpora cavernosa.

Viungo vingine ni neva maalumu za parasympathetic, tezidume (prostate gland), ini, figo, homoni ya testestorone, kemikali za acetylcholine, serotonin, na dopamine, uti wa mgongo, eneo la chini ya mgongo (kiuno), eneo la nyonga.

Viungo vingine ni misuli maalumu iitwayo pelvic floor, tezi pituitari (pituitary gland), utando maalumu wa uumeni uitwao tunica albuginea, misuli iitwayopubococcygeus [PC muscles], kemikali ya nitric oxide, kemikali ya prolactin n.k.

Nini maana ya kupungua nguvu za kiume?
Unapopungua nguvu za kiume ina maana ndani ya mwili wako kuna baadhi ya vitu katika vitu nilivyovitaja hapo juu havifanyi kazi vizuri jinsi ipasavyo na inavyotakiwa. Yawezekana ni figo ndilo halifanyi kazi vizuri, au ini, au tezi dume, au neva ya parasympathetic, au moyo una tatizo au mishipa ya ateri, au misuli ya pelvic au homoni fulani iko juu sana au iko chini sana (hormonal imbalance), orodha ni ndefu sana.

Kitendo cha baadhi ya viungo hivyo kutofanya kazi vizuri basi hapo hutokea upungufu katika nguvu za kiume. Upungufu huo unaweza kuwa ni:

1. Kukosa hamu ya mapenzi; au

2. Uume kusimama kwa uregevu; au

3. Kuwahi kufika kileleni; au

4. Kuchelewa sana kufika kileleni (au kushindwa kufika kileleni kabisa); au

5. Kushindwa kurudia tendo la ndoa; au

6. Kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa au baada ya tendo hilo; au

7. Kukosa pumzi na uchangamfu wa mwili katika utendaji; au

8. Kuchoka sana baada ya tendo la ndoa na hata kukinai kabisa au hata kusikia kichefuchefu;

Ndugu msomaji, ili uelewe vizuri zaidi labda niseme kwamba, nguvu za kiume ni kiwanda; na ni zaidi ya kiwanda. Ndani ya kiwanda kuna umeme, maji, madawa, watu (wafanyakazi wa kila taaluma na fani), mashine, mitambo n.k.

Ikitokea kitu kimojawapo kukosekana, mathalani umeme, au wafanyakazi wakagoma, au kukakosekana madawa muhimu au maji na kadhaa wakadha, basi bidhaa inayotarajiwa kupatikana sokoni, kwa hakika haitapatikana.

Vivyo hivyo nguvu za kiume, mathalani, ikitokea tezidume kutofanya kazi vyema, basi hapo mwanaume hatoona nguvu za kiume, zitapungua au zitaisha kabisa!

Kwa hiyo upungufu wa nguvu za kiume ni upungufu au kasoro za kiutendaji wa viungo ndani ya mwili wa mwanaume. Mwanaume yoyote anapaswa kutambua jambo hili.

Lakini nini kinachopelekea viungo hivyo vishindwe kufanya kazi vizuri?
Kuna maradhi kadhaa, vyakula tunavyokula, tabia na mtindo wa maisha vinavyoweza kupelekea viungo hivyo kutofanya kazi vizuri. Baaadhi ya maradhi hayo na tabia hizo ni kujichua/punyeto (ma********on); kisukari; presha ya kupanda; presha ya kushuka; uvutaji wa sigara; unywaji wa pombe; madawa ya kuleva; kufanya kazi kupita kiwango na kukosa muda wa kupumuzika; matatizo ya kukosa usingizi na kuchelewa kulala usiku.

Kwa ushauri zaid piga

Whats'ap;0672825917
texts/call;0625634602/0766525822

TATIZO LA NGUVU ZA KIUME NA CHANZO CHAKE. Zaid ya asilimia 60 ya wanaume wote duniani wanakubwa na UPUNGUFU WA NGUVU ZA ...
24/11/2017

TATIZO LA NGUVU ZA KIUME NA CHANZO CHAKE.
Zaid ya asilimia 60 ya wanaume wote duniani wanakubwa na UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.
Tatzo limesababisha ndoa nying kuyumba na zingine kuvunjika kabsa.

NINI CHANZO CHAKE??
Wataalam wa afya kupitia tafiti tofaut inaonekana;

1.Kukosa chakula bora asilia kuupatia mwili wa mwanaume uwezo wa kuzalisha manii, hormone na kuimarisha misuli na mishipa limekuwa tatzo.

2.Ongezeko la uzito kwa watu wengi utokanao na ulaji wa wanga, ngano, mafuta n.k kwa wengi.

3.Kujichua/ma********on kwa vijana na baadhi ya watu wazima

4.Msongo wa mawazo {over stress} kutokana na shughuli nyingi za kila siku, ugumu wa maisha, kudharauliwa hasa na wapenzi wao n.k

Hi ni bidhaa maalum na teule kurudisha HESHIMA NA UANAUME WAKO NA HESHIMA YA NDOA KWA UJUMLA, iliyothibitishwa kuwa ya asili na kutokuwa na kemikali ya aina yoyote.

MACA
Inatokana mzizi wa mmea wa zaman zaid ya miaka 2000 iliopita huko nchini Peru uitwao Maca, uliotumika kuwapa nguvu wanawake na wanaume katika shughul zao za kila siku, inaleta hamu ya tendo la ndoa, nguvu za kufanya tendo kwa kurudia bila kuchoka kirahis, kutoa mbegu nying na nzito na kusaidia mfumo wa uzazi kwa ujumla.

Kwa maelezo na order 0672825917/0625634602 {mikoani pia tunatuma}

Address

Dodoma

Telephone

+255672825917

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya yako na Dr. Mroki posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Afya yako na Dr. Mroki:

Share