13/06/2026
0781918586
“Nilidhani ni maumivu ya kawaida ya tumbo…”
Alipuuzia maumivu ya tumbo la chini, uchafu ukeni na maumivu wakati wa tendo la ndoa akidhani yataisha yenyewe.
Baada ya muda, tatizo lilizidi ndipo alipogundua alikuwa na PID (Pelvic Inflammatory Disease).
PID ni maambukizi yanayoathiri viungo vya uzazi vya mwanamke, na yasipotibiwa mapema yanaweza kuleta madhara makubwa.
Madhara ya PID yanaweza kuwa pamoja na ;
❌ Kuziba au kuharibu mirija ya uzazi.
❌ Ugumba / kushindwa kupata ujauzito.
❌ Mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi.
❌ Maumivu ya tumbo la chini ya muda mrefu.
❌ Maumivu wakati wa tendo la ndoa.
❌ Kuongezeka kwa hatari ya maambukizi ya mara kwa mara.
💔 Jambo la kuogopesha ni kwamba wakati mwingine PID huendelea kuharibu mfumo wa uzazi kimya kimya bila dalili kubwa mwanzoni.
Usisubiri hadi tatizo liathiri ndoto yako ya kuitwa mama. Uchunguzi wa mapema unaweza kusaidia kugundua tatizo na kuchukua hatua sahihi.
📞 Kwa ushauri kuhusu PID, afya ya uzazi au dalili unazopitia, WhatsApp/Piga: +255781918586 kwa Faragha yako pekee.
tips video ゚viral ゚viralシfypシ゚viralシalシ