Mr Afya

Mr Afya Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mr Afya, Medical and health, Dodoma.

💊 VIRUTUBISHO LISHE KWA CHANGAMOTO ZA UZAZI MKE/MME,UZITO MKUBWA,KUONGEZA KINGA YA MWILI NA LISHE.

👉TUNASAIDIA KUPITIA VIRUTUBISHO LISHE,VISIVYO NA MADHARA KIMWILI.

🩺KWA USHAURI NA KUPATA MATOKEO.

📍🇹🇿+255 781 918 586(WhatsApp Au Piga)

13/06/2026

0781918586
“Nilidhani ni maumivu ya kawaida ya tumbo…”

Alipuuzia maumivu ya tumbo la chini, uchafu ukeni na maumivu wakati wa tendo la ndoa akidhani yataisha yenyewe.

Baada ya muda, tatizo lilizidi ndipo alipogundua alikuwa na PID (Pelvic Inflammatory Disease).

PID ni maambukizi yanayoathiri viungo vya uzazi vya mwanamke, na yasipotibiwa mapema yanaweza kuleta madhara makubwa.

Madhara ya PID yanaweza kuwa pamoja na ;
❌ Kuziba au kuharibu mirija ya uzazi.
❌ Ugumba / kushindwa kupata ujauzito.
❌ Mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi.
❌ Maumivu ya tumbo la chini ya muda mrefu.
❌ Maumivu wakati wa tendo la ndoa.
❌ Kuongezeka kwa hatari ya maambukizi ya mara kwa mara.

💔 Jambo la kuogopesha ni kwamba wakati mwingine PID huendelea kuharibu mfumo wa uzazi kimya kimya bila dalili kubwa mwanzoni.

Usisubiri hadi tatizo liathiri ndoto yako ya kuitwa mama. Uchunguzi wa mapema unaweza kusaidia kugundua tatizo na kuchukua hatua sahihi.

📞 Kwa ushauri kuhusu PID, afya ya uzazi au dalili unazopitia, WhatsApp/Piga: +255781918586 kwa Faragha yako pekee.

tips video ゚viral ゚viralシfypシ゚viralシalシ

02/06/2026

Kabla Hujaanza Kutafuta Mimba Tena, Soma Hili Kwanza

K**a wewe :

✓Unapata maumivu ya tumbo au mgongo bila sababu

✓Tumbo linakuvuta mara kwa mara

✓Hedhi inakuja ovyo au ina damu chache sana au damu haitoki k**a zamani

✓Unajaribu kushika ujauzito bila mafanikio

✓Unahisi uzito au hali ya kushuka chini tumboni

👉 Huu ni ujumbe wa kizazi kilichochoka.

Kizazi kuchoka maana yake nini?

Ni hali ambayo kizazi kimelemewa na mambo ya muda mrefu k**a:

❌Maambukizi ya (PID, Fangas) ya mara kwa mara

❌Dawa kali au uzazi wa mpango wa muda mrefu

❌Stress, homoni kuvurugika

❌Uchafu/ sumu kujikusanya kwenye mfumo wa uzazi

Kizazi kinakuwa hakifanyi kazi kwa nguvu zake zote.

Dalili zinazokupa tahadhari mapema.

✓❕ Hedhi isiyoeleweka (nyeusi, chache, au zinauma sana)

✓❕ Kutopata ute wa uzazi

✓❕ Kuhisi baridi au maumivu wakati wa tendo

✓❕ Kuharibika mimba mara kwa mara au kutoshika kabisa

Nini kifanyike mapema?

✔️ Safisha na rekebisha mfumo wa uzazi mapema

✔️ Rudisha usawa wa homoni

✔️ Kupitia mpango wa mwezi tumeandaa programm inayolenga kuamsha na kuimarisha kizazi tena, sio kuficha dalili baada ya kugundua chanzo cha Tatizo.

Ujumbe mfupi wa maelezo/ushauri kupitia WhatsApp namba+255781918586

゚viralシfypシ゚viralシalシ

02/06/2026

⚠️ PID (Pelvic Inflammatory Disease) inaweza kuwa adui wa ndoto yako ya kuwa mama!

Wanawake wengi hupuuza maumivu ya tumbo la chini, maumivu wakati wa tendo la ndoa, au kutokwa na uchafu usio wa kawaida ukeni bila kujua kuwa huenda ni dalili za PID.

PID isipotibiwa mapema inaweza kusababisha.
❌ Kuziba kwa mirija ya uzazi .
❌ Ugumba na kushindwa kupata ujauzito.
❌ Mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi .
❌ Maumivu ya tumbo ya muda mrefu .
❌ Kuongezeka kwa hatari ya mimba kuharibika.

Usisubiri hadi tatizo liwe kubwa. Pata ushauri na uchunguzi mapema ili kulinda afya yako ya uzazi na ndoto yako ya kuitwa mama.

📞 WhatsApp/Piga: +255781918586

゚viralシfypシ゚viralシalシ

02/06/2026

Umewahi kujiuliza kwa nini tangu uugue P.I.D hata mzunguko wako wa hedhi umevurugika au imekuwa vigumu kuweza kupata ujauzito...🫄

Jibu ni jepesi sana, labda cha kufahamu ni kwamba mwanamke una vifuko viwili vya mayai (ovary)..✌️

O***y ni tezi ambapo mayai yako yanapatikana na ni sehemu pekee ambapo homoni ya oestrojeni na projestesteroni huzalishwa

Na kwa ufupi tu kuwa Oestrogen ni homoni ambayo kazi yake kuchochea uzalishwaji na ukomavu wa mayai ya mwanamke.

Huchochea hisia (genye) za mwanamke, ute wakati wa tendo na ute wa uzazi siku za hatari n.k ...

Na Projesteroni ni homoni ambayo huandaa ukuta wa kizazi na ukuaji wa mtoto baada ya yai lako kuwa limerutubishwa na yai la mwanamke na ikiwa hujakutana na mwanaume au yai halijarutubishwa basi ukuta unaokuwa umeandaliwa baada ya siku 14 huanza kubomoka na ndio hedhi unayoipata kila mwezi

Kuhusu P.I.D jibu lake ni kwamba bakteria wanaposhambulia vifuko vyako vya mayai....

Hata process nyingine nazo huathiriwa k**a ✓kuzalishwa kwa mayai yenye ubora, ✓homoni huzalishwa bila mpangilio hivyo kupelekea hata hedhi yako kusuasua,✓ kusimama kwa muda na wengine huanza kuwa na shida ya kuwa na ✓uke mkavu, ✓hedhi kutoka mabonge n.k kwa maana bakteria huleta tatizo jingine la mvurugiko wa homoni na kupata mtoto huwa ishu.

Amua Kuchukua Hatua, Magonjwa Ya Uzazi yanatatulika.
Niandikie ujumbe mfupi kuhusu changamoto yako kwenda WhatsApp namba/piga +255781918586.

゚viralシfypシ゚viralシalシ

31/05/2026

⚠️ Je, Unapata Maumivu ya Tumbo la Chini Mara kwa Mara?

Maumivu ya tumbo la chini kwa mwanamke si jambo la kupuuza, hasa k**a yanajirudia mara kwa mara.

Wakati mwingine yanaweza kuwa ishara ya changamoto zinazohusiana na afya ya uzazi ambazo zinaweza kuathiri uwezo wa kupata ujauzito endapo hazitatibiwa mapema.

Baadhi ya matatizo ya uzazi yanayoweza kusababisha maumivu ya tumbo la chini ni:
✅ PID (Pelvic Inflammatory Disease) .
✅ Uvimbe kwenye kizazi (Fibroids) .
✅ Cysts kwenye mayai ya uzazi .
✅ Endometriosis .
✅ Mimba ya nje ya mfuko wa uzazi.
✅ Maambukizi kwenye mfumo wa uzazi .
✅ Kuziba kwa mirija ya uzazi kutokana na maambukizi ya muda mrefu.

Mbali na maumivu ya tumbo, unaweza pia kuona dalili k**a ✓maumivu wakati wa tendo la ndoa✓hedhi zenye maumivu makali✓kutokwa na uchafu usio wa kawaida ukeni✓au kushindwa kupata ujauzito kwa muda mrefu.

Usikimbilie kutumia dawa bila kujua chanzo halisi cha tatizo. Uchunguzi na vipimo ndiyo njia sahihi ya kubaini tatizo na kupata matibabu yanayofaa.

📞 Kwa ushauri zaidi kuhusu afya ya uzazi au msaada wa kuelewa dalili unazopitia ikiwa umewahi kupata vipimo, WhatsApp/Piga: +255781918586.

Afya ya uzazi ni uwekezaji wa maisha yako ya baadaye, chukua hatua mapema.

゚viralシfypシ゚viralシalシ

29/05/2026

Je unapitia changamoto za PID, miwasho ya mara kwa mara, maumivu ya tumbo la chini au kutokwa na uchafu ukeni wenye harufu au rangi tofauti?

Usikate tamaa… bado kuna matumaini ya kurejea katika afya nzuri 💙.

Wanawake wengi wamekuwa wakiteseka kimya kimya huku wakipoteza kujiamini, amani na furaha ya maisha kutokana na changamoto hizi.

Lakini kupitia elimu sahihi ya afya, mwongozo na hatua stahiki, wanawake waliosaidika wameanza kuona mabadiliko chanya katika maisha yao.

Mara baada ya kupata Muongozo sahihi wanawake wengi;
✔️ Hujisikia huru na wenye kujiamini tena.

✔️ Kupungua kwa miwasho na usumbufu wa mara kwa mara.

✔️ Wameondokana na harufu mbaya,uchafu sehemu za siri na kulifurahia tendo na wenzi wao.

✔️ Kuimarika kwa afya ya uzazi na mwili kwa ujumla.

✔️ Kuishi maisha yenye amani bila hofu wala aibu.

Afya yako ni muhimu. Usinyamaze na kuendelea kuumia kimya kimya.

📩 Tuma ujumbe sasa upate maelezo zaidi na mwongozo wa karibu kupitia WhatsApp namba+255781918586.

Au bofya link hii itakuleta moja kwa moja kupitia ukurasa wetu wa WhatsApp

👉 https://rebrand.ly/5xcorzp

Ni mimi mwenye kujali Afya yako.
Godson(MHA)

24/05/2026

Je unapitia changamoto za PID, miwasho ya mara kwa mara, maumivu ya tumbo la chini au kutokwa na uchafu ukeni wenye harufu au rangi tofauti?

Usikate tamaa… bado kuna matumaini ya kurejea katika afya nzuri 💙.

Wanawake wengi wamekuwa wakiteseka kimya kimya huku wakipoteza kujiamini, amani na furaha ya maisha kutokana na changamoto hizi.

Lakini kupitia elimu sahihi ya afya, mwongozo na hatua stahiki, wengi wa wanawake 200+ tuliowasaidia wameanza kuona mabadiliko chanya katika maisha yao.

Mara baada ya kupata Muongozo sahihi wanawake wengi;
✔️ Hujisikia huru na wenye kujiamini tena.

✔️ Kupungua kwa miwasho na usumbufu wa mara kwa mara.

✔️ Wameondokana na harufu mbaya,uchafu sehemu za siri na kulifurahia tendo na wenzi wao.

✔️ Kuimarika kwa afya ya uzazi na mwili kwa ujumla.

✔️ Kuishi maisha yenye amani bila hofu wala aibu.

Afya yako ni muhimu. Usinyamaze na kuendelea kuumia kimya kimya.

📩 Tuma ujumbe sasa upate maelezo zaidi na mwongozo wa karibu kupitia WhatsApp namba+255781918586.

Au bofya link hii itakuleta moja kwa moja kupitia ukurasa wetu wa WhatsApp

👉 https://rebrand.ly/5xcorzp

Ni mimi mwenye kujali Afya yako.
Godson(MHA)

22/05/2026

KITUNGUU SWAUMU NI NINI NA HUFANYAJE KAZI MWILINI?

Kitunguu Swaumu ni mmea wa jamii ya vitunguu unaotumika k**a chakula na kiungo cha asili. Kina virutubisho na kemikali asilia zinazochangia faida mbalimbali za kiafya mwilini.

Moja ya viambata muhimu ndani ya swaumu ni allicin. Kiambata hiki hutengenezwa pale swaumu linapokatwa au kusagwa. Allicin huchunguzwa kwa uwezo wake wa kusaidia mwili kupambana na baadhi ya bakteria, fangasi na oxidative stress mwilini.

🧬 Viambata muhimu vilivyopo kwenye swaumu

✓Allicin – husaidia shughuli za kupambana na baadhi ya vijidudu

✓Antioxidants – husaidia kulinda seli za mwili dhidi ya uharibifu

✓Sulfur compounds – huchangia afya ya moyo na mishipa ya damu

✓Vitamin C & B6 – husaidia kinga ya mwili na metabolism

✓Manganese & Selenium – madini muhimu kwa utendaji wa mwili

Faida zake kiafya na namna zinavyofanya kazi

1️⃣ Husaidia kuimarisha kinga ya mwili.

Swaumu lina antioxidants na sulfur compounds zinazosaidia mwili kujilinda dhidi ya mashambulizi ya vijidudu na kusaidia mfumo wa kinga kufanya kazi vizuri.

2️⃣ Husaidia afya ya moyo.

Baadhi ya tafiti zinaonyesha kuwa swaumu linaweza kusaidia mzunguko mzuri wa damu na kusaidia kupunguza baadhi ya vihatarishi vya magonjwa ya moyo kwa watu wengine.

3️⃣ Husaidia mwili kupambana na baadhi ya vijidudu.

Allicin imekuwa ikichunguzwa kwa uwezo wake dhidi ya baadhi ya bakteria na fangasi, ndiyo maana watu wengi hutumia swaumu k**a sehemu ya lishe yenye msaada kwa afya.

4️⃣ Husaidia kupunguza oxidative stress.

Antioxidants zilizopo ndani yake husaidia kulinda seli za mwili dhidi ya uharibifu unaoweza kuchangiwa na uchovu wa seli au mazingira yasiyo rafiki.

5️⃣ Husaidia mfumo wa mmeng’enyo wa chakula.

Kwa baadhi ya watu, matumizi ya swaumu kwa kiasi yanaweza kusaidia mmeng’enyo wa chakula na kuongeza hamu ya kula.

👉Meza Punje mbili mpaka tatu sukumiza kwa maji.

⚠️ Ingawa swaumu lina faida mbalimbali, si mbadala wa matibabu ya hospitali. Pia kutumia kupita kiasi kunaweza kusababisha kiungulia, harufu kali ya mdomo au kuudhi tumbo kwa baadhi ya watu.

゚viralシfypシ゚viralシalシ

22/05/2026

*Wanaume zingatieni lifestyle katika milo, vinywaji na mazoezi pia maana kadri muda unavyosogea ndivyo mwili unapungua nguvu*

Tezi dume likizidi kukua hali ya kwamba mwili wako haujiwezi tena ndo ile unaanza kupata shida katika kukojoa, ukitaka kushiriki tendo jogoo akisimama wewe unahisi maumivu makali chini ya kitovu n.k

Vyema ujifunze namna ya kukabili haya matatizo ukiwa bado kijana

Punguza au acha matumizi ya vilevi, sigara na sukari nyingi ili kuimaintain kiwango cha homoni zako za kiume zinazothibiti ukuaji wa tezi dume...

Homoni ya k**e ikiwa nyingi kwa mwanaume hupelekea kutanuka kwa tezi dume na ndio maana wengi hupata tezi uzeeni kwa sababu ya homoni kuvurugika

Baadhi ya mambo ya kusaidia tezi lako kuwa imara, ni kuachana na vilevi, sukari nyingi na vilevi na ujitahidi kupata muda wa mazoezi iwe nyumbani, gym au k**a una club ya mazoezi ni sawa, mazoezi kwa mwanaume ni muhimu hususani mazoezi ya yoga au Kegels haya nawaelekeza kila mara jitahidi kuwa mzingativu utapata matokeo

21/05/2026

SABABU ZA KUTOKWA NA UCHAFU UKENI UNAOWEZA KUASHIRIA UGONJWA

Sio kila uchafu ukeni ni wa kawaida. Kuna aina ya uchafu ambao unaweza kuwa ishara ya maambukizi au changamoto kwenye mfumo wa uzazi, hasa unapokuwa na harufu kali, rangi tofauti au kuambatana na maumivu.

Baadhi ya sababu zake ni pamoja na ;

✓• Maambukizi ya fangasi – mara nyingi huleta muwasho na uchafu mzito mweupe k**a maziwa yaliyoganda.

✓• Maambukizi ya bakteria – huweza kutoa uchafu wa kijivu au njano wenye harufu kali.

✓• Magonjwa ya zinaa – baadhi huleta uchafu wa njano au kijani, maumivu ya chini ya tumbo na kuwashwa.

✓• Usafi usio sahihi wa sehemu za siri – unaweza kuongeza hatari ya maambukizi.

✓• Mabadiliko ya homoni au matumizi ya baadhi ya dawa – nayo yanaweza kuathiri afya ya uke.

Ukiona uchafu umebadilika rangi, una harufu, unasababisha muwasho au maumivu, usipuuze.

Kupima mapema ni muhimu ili kujua chanzo halisi na kupata ushauri sahihi wa kiafya.

📞 K**a unahitaji ushauri binafsi kuhusu changamoto hii na umekusumbua kwa muda mrefu wasiliana nami kupitia namba yangu kwa maelezo zaidi.+255781918586

゚viralシfypシ゚viralシalシ

Address

Dodoma

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mr Afya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share