AFYA BORA

AFYA BORA Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from AFYA BORA, Medical and health, Ilala dar es salaam, Ilala.

TIBA NA VIASHIRIA VYA MTU MWENYE TATIZO LA UKOSEFU & UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME & UUME MDOGO & NGIRI FAHAMU KWANINI BAAD...
02/02/2026

TIBA NA VIASHIRIA VYA MTU MWENYE TATIZO LA UKOSEFU & UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME & UUME MDOGO & NGIRI
FAHAMU KWANINI BAADHI YA WANAUME WANAKUA NA MAUMBILE MADOGO NA MAFUPI (Kiba100)
PIA KWANINI WANAUME WENGI WANA UPUNGUFU AU UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME NA TIBA ZAKE KIASILI 100%

Mtu mwenye tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume huwa na dalili zifuatazo
__________________________________________

[1] Kushindwa kabisa kusimamisha uume wake
[2] Uume kusimama ukiwa legelege
[3] Kuwahi kumaliza tendo la ndoa
[4] Mwanaume kutokuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa katika baadhi ya staili ( Mara nyingi mwanaume huyu huwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa staili moja tu ). Hapa mwanaume anakuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa kwa staili ya β€œ missionary” pekee. Ikibadilishwa staili, mwanaume anakuwa hana tena uwezo wa kusimamisha uume wake japo katika hali ya u lege lege
[5] Uume kutokuwa na uwezo wa kusimama wenyewe bila kushikwashikwa ama kutomaswa kwa muda mrefu.
[6] Uume kusinyaa ukiwa ndani ya mwanamke.
[7] Uume kusinyaa, pindi inapotokea activity yoyote ya kiungo ama ogani nyingine ya mwanaume wakati wa tendo la ndoa. Kwa mfano, wakati wa tendo la ndoa, ikitokea mwanaume amekohoa au kupiga chafya, uume nao unasinyaa.
[8] Uume kusinyaa mara tu baada ya kutolewa ndani ya uke ( Kwa mfano k**a unafanya tendo la ndoa, halafu uume ukatoka nje, kitendo cha kuushika kuurudisha ndani, tayari una sinyaa )
[9] Kutokuwa na uwezo wa kurudia tendo la ndoa.
[10] Kupatwa na maumivu wakati wa tendo la ndoa

NINI CHANZO CHA UUME KUWA MDOGO
___________________________________________

[1] Kupiga Punyeto kwa muda mrefu.
[2] Kuugua chango la uzazi.(NGIRI)
[3] Magonjwa ya utotoni
[4] Kutahiriwa vibaya
[5] kutoka kwa wazazi.
[6] unene na kitambi
[7] matatizo ya homoni;
[8] upasuaji wa tezi dume
[9] kuvuta sigara;
[10] Upungufu wa nguvu za kiume
[11] magonjwa mbali mbali sugu Eg KISUKARI
[12] Tatizo la saikolojia (picha la x)

DALILI ZA UGONJWA WA NGIRI CHANGA KWA WANAUME
___________________________________________

[1] Kubana tumbo khasa chini ya kitovu wakati wa baridi au unapokula vitu vitamu.
[2] Kupiga mingurumo tumboni.
[3] Kujaa gesi tumboni.
[4] Kuhisi haja kubwa na ukifika chooni unatoa upepo tu.
[5] Kupata haja ngumu k**a ya mbuzi.
[6] Kukaa siku kadhaa bila kwenda haja kubwa.
[7] Wakati fulani unakwenda haja sana, kila mara.
[8] Unaweza kufanya jimai mara moja tu kisha hamu inakuishia hupati nguvu tena mpaka kesho.
[9] Nuru ya macho hupotea taratibu.
[10] Hutokea wakati mwingine kufanya jimai mwanzo kabisa au katikati ya tendo gari linazimika.
[11] Kuvutwa makende au upande mmoja maumivu.
[12] Kupiga mishale sehemu za haja kubwa na pembeni karibu na tupu.
[13] Maumivu makali ya mgongo au kiuno
[14] Uume kusinyaa na kunywea k**a wa mtoto

DALILI ZA UGONJWA WA NGIRI [HERNIA] SUGU [iliyo vimbaa]
________________________________________

[1] kende(pumbu) moja au mbili kuvimba
[2] kuvimba Juu ya kinena kushoto au kulia
[3] kufanyiwa wa hernia
[4] Kufanyiwa UPASUAJI kisha ika rejea tena
[5] kende( pumbu) kupotea zote au moja
[6] Kende kujaa maji
[7] Kuvimba kwa kitovu au kende uvimbe wenye kujaa k**a nyama
[8] Kuwa na uvimbe unaoteremka kuingia ndani ya korodani
[9] Kuwa na uvimbe unaojitokeza tumboni na kuteremka hadi ndani ya korodani, uvimbe huu hauumi na unaweza kurudishwa kwa urahisi iwapo mgonjwa atalala chali na kusukuma kwa vidole, uvimbe huu
[10] Maumivu/Kusikia kichefuchefu/

Dr kabeya +255712771145
__________________________________________
Call -- text&sms -- whatsap -- telegram
__________________________________________
Bonyeza hii linki itakuleta *INBOX* whatsap
moja kwa moja
__________________________________________
https://call.whatsapp.com/voice/mOiOozzux6BGd8NjR2CdLq
__________________________________________

Je, unasumbuliwa na kiungulia,tumbo kujaa gesi aumaumivu ya juu ya kifua mapigo ya moyo kwenda mbio kelele maskioni kuko...
22/01/2026

Je, unasumbuliwa na kiungulia,
tumbo kujaa gesi au
maumivu ya juu ya kifua mapigo ya moyo kwenda mbio kelele maskioni kukosa usingizi kukosa choo au kupata choo k**a cha mbuzi nk.?

Kuna tiba ya asili
inayosaidia kupunguza dalili za acid reflux.

πŸ‘‰ Pata maelezo zaidi WhatsApp
wa.me/255712771145

13/01/2026

DALILI NA VIASHIRIA VYA MTU ANAYESUMBULIWA NA KUZID KWA ACID TUMBONI (GERD-Acid Reflux)

⚫Zipo dalili nyingi ambazo huashiria mtu kusumbuliwa na tatizo la kuzidi kwa Acid tumboni,dalili hizo ni zifuatazo:‡️‡️

1.πŸ”— Kuwaka moto kifuani(Kiungulia) hasa wakati wa usiku au unapolala,hali hii hutokea pia mara baada ya kula.
2.πŸ”— Mapigo ya moyo kwenda mbio/kushtuka kwa moyo baadhi ya nyakati.Hali hii hupelekea baadhi ya watu kuhisi wana matatizo ya moyo.
3.πŸ”— Kuhisi k**a kichwa kimevurugika na kuhusi kuchanganyikiwa.
4.πŸ”— Kusahau mara kwa mara hata vitu vya kawaida kabisa/Kupungua kwa kumbukumbu.
5.πŸ”— Kujisaidia choo kigumu k**a cha mbuzi.
6.πŸ”— Kuwa na wasiwasi na khofu kubwa na hufikia hatua hata ukipigiwa simu hasa nyakati za usiku moyo huanza kwenda mbio na kujawa na wasiwasi mkubwa.
7.πŸ”— Kukosa usingizi ama kushtuka mara kwa mara kutoka usingizini.
8.πŸ”— Kupumua kwa tabu baadhi ya nyakati.
9.πŸ”— Kupata maumivu ya kichwa ya mara kwa mara kwa baadhi ya watu wenye tatizo hili.
10.πŸ”— Kupata kikokozi kisichoisha
11.πŸ”— Kuvimba Tonsils/mafidofido mara kwa mara.
12.πŸ”— Mdomo kuwa mchachu na huwez kupelekea kutoa harufu mbaya ya kinywa.
13.πŸ”— Kuhisi k**a kuna kitu kimekwama kooni lakin kila unavyojaribu kukitoa hakitoki
14.πŸ”— Kupata fangasi mdomoni(mdomo huanza kutoa ute mweupe ambao una harufu mbaya).
15.πŸ”—Huweza kupelekea ukaanza kuota ndoto za kutisha pindi ulalapo na kuhisi umerogwa.
16.πŸ”— Kupata maumivu ya mgongo hasa sehemu ya mabega,maumivu makali kana kwamba umenyanyua vitu vizito.
17.πŸ”— Mwili kuwa na uchovu usioisha utadhani unafanyakaz ngumu kila siku.
18.πŸ”— Macho kupunguza uwezo wa kuona vizuri.
19.πŸ”— Kupungua uwezo wa kufanya tendo la ndoa.
20.πŸ”— Mwili kupata baridi na wakat mwingine kuhisi homa kabisa.
21.πŸ”— Maumivu ya tumbo kati ya kifua na tumbo.
22.πŸ”—Kichefuchefu na kutapika.
23.πŸ”— Sehemu za mwili kuchezacheza mfano chini ya macho
24.πŸ”— Masikio kuunguruma/kupiga kelele/kuwa mazito
25.πŸ”— Mwili kuwasha na ngozi kufifia rangi yake.
26.πŸ”— Kuhisi ganzi hasa kwenye vidole vya miguu na mikono.
27.πŸ”— Kupata kwikwi mara kwa mara.
28.πŸ”— Presha kupanda (temporary hypertension)
29.πŸ”— Kucheua majimJi machachu yenye rangi ya njano au kijani
30.πŸ”— Kuhisi jamii imekutenga na kukata tamaa ya kuishi.
31.πŸ”— Kuhisi vitu vinatembea mwilini.
32.πŸ”— Kuhisi umerogwa hali inayopelekea wengi kukimbilia kwa waganga wa mizimu.

KWA MSAADA NA USHAURI, WASILIANA NASI:‡️‡️

KABEYA HERBAL PRODUCT

+225712771145

[email protected]

DAR ES SALAAM POSTA MPYA.
__________________________________

Address

Ilala Dar Es Salaam
Ilala

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AFYA BORA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share