felista.danda

  • Home
  • felista.danda

felista.danda Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from felista.danda, Medical and health, .

23/09/2022

JE HUYU NI WEWE !??

• Unatamani Kumiliki Biashara lakini hujui UANZIE WAPI ??
• Umeajiriwa lakini MSHAHARA ni MDOGO, na Haukidhi Mahitaji Kabisa ??
• Ni MJASIRIAMALI/MFANYA BIASHARA unataka kukuza biashara yako ??
• Umemaliza shule HUJAPATA AJIRA, Miaka inakatika na ungependa kupata njia ya kukuleta kipato binafsi ??
• UKO MTAANI na hauna Shughuri yeyote ya kukuingizia kipato ??
• Wewe ni mama wa nyumbani, unatamani ufanye kitu KIKUONGEZEE KIPATO CHAKO ??

K**a jibu NDIO basi huu ujumbe ni Muhimu kwako...

Nafahamu changamoto unayopitia.
Hata mimi nilipitia changamoto k**a hiyo.
Ila nilichogundua kuna mfumo mzuri sana wa biashara KWA kutumia mtaji mdogo tuu na utaweza kumiliki biashara yako na kubadilisha Maisha yako moja kwa Moja.

UNGEPENDA KUPATA MWONGOZO KUHUSU MFUMO HUU !??
📍GUSA LINK HII KUPATA MWONGOZO ZAIDI.

https://wa.me/255758004845?text=Nahitaji%20Mwongozo%20Zaidi%20Kuhusu%20Biashara%20hii

NB: UTAANZA KUFANYIA KAZI BIASHARA UKIIELEWA NA UKIONA NI SAHIHI KWAKO.

*KIBOKO YA NGOZI WALIO ATHIRIKA NA CREAM MUWASHO,MAKOVU SUGU*🥇🙍🏽🙍🏽🙍🏽MATATIZO YA NGOZI KWA WANAWAKE👩🏽‍🦰👩🏽‍🦰👩🏽‍🦰 Wanawake ...
16/05/2022

*KIBOKO YA NGOZI WALIO ATHIRIKA NA CREAM MUWASHO,MAKOVU SUGU*🥇
🙍🏽🙍🏽🙍🏽MATATIZO YA NGOZI KWA WANAWAKE

👩🏽‍🦰👩🏽‍🦰👩🏽‍🦰 Wanawake wengi wamekua wakihangaika na matatizo mbalimbali ya ngozi,k**a vile; .
➡Chunusi sugu usoni na mgongoni.
➡Mabaka,makovu upele na harara
➡ngozi kuwa kavu na inayotoa jasho sana.
➡ngozi iliyoungua kutokana na matumizi ya vipodozi .
➡Kukosa unyevu katika ngozi .
➡Madoa meusi yasiyoisha(black heads)
➡Makunyanzi na ngozi iliyozeeka

Kwa kawaida ngozi ya mwanamke tofauti na mwanaume,inatakiwa kuwa laini, nyororo na isiyo na madoa wala ukavu...hii ni kutokana na uwepo wa hormone ya oestrogen inayozalisha vichocheo kwa ajili ya ngozi nzuri

Tatizo la ngozi hutokea pale tunapokutana na changamoto za kawaida katika maisha ya kila siku k**a vile vyakula,matumizi ya vipodozi na mtindo wa maisha kwa ujumla...tatizo huwa haliishi kwa sababu hutibiwa nje tuu sehemu inayoonekana,na sio chanzo cha tatizo yaani ndani, .
🍇🍇SULUHISHO LIPO NJOO INBOX🍇🍇

*Kuna tofauti kubwa sana kati ya U.T.I  & P.I.D*  *sasa iko hivi*  *U.T.I ni maambukizi kwa njia ya mkojo na huathiri mf...
13/05/2022

*Kuna tofauti kubwa sana kati ya U.T.I & P.I.D* *sasa iko hivi* *U.T.I ni maambukizi kwa njia ya mkojo na huathiri mfumo wa mkojo na mfumo wa uzazi, wadudu huathiri sana kibofu na urethra.* *Dalili za UTI ni hizi hapa 👇* *👉Kujihisi mchovu na kutokujisikia vizuri* *👉Kukojoa kwa shida na kujilazimisha* *👉Maumivu wakati wa kukojoa* *👉Kukojoa kiasi kidogo na mara kwa mara* *👉Mkojo kutoa harufu kali* *👉Mkojo kuwa na rangi tofauti zisizo za kawaida kwa mfano wekundu kiasi* *👉Kichefuchefu au kutapika* *👉Maumivu ya tumbo, au pande za mwili karibu na tumbo mpaka sehemu za misuli* *👉Joto laweza kuongezeka* *Lakini P.I.D* *ni maambukizi katika via vya uzazi vya mwanamke* *Dalili zake za P.I.D ni hizi 👇* *👉▪️ maumivu ya tumbo hasa chini ya kitovu Mara kwa Mara.* *👉▪️Kupata maumivu ya mgongo,kiuno na nyonga* *👉▪️Uchafu sehemu za siri k**a maziwa ya mtindi,mweupe,njano,kahawia,Kijani* *👉▪️harufu mbaya sehemu za siri* *👉▪️Miwasho ukeni* *👉▪️Kupata maumivu wakati wa tendo la ndoa* *

*ANATIC HERBAL ESSENCE SOAP(DAKTARI WA NGOZI)*{PRODUCT FROM U.S.A}*0% chemical*Ni sabuni ya mitishamba iliyotengenezwa k...
05/05/2022

*ANATIC HERBAL ESSENCE SOAP(DAKTARI WA NGOZI)*
{PRODUCT FROM U.S.A}
*0% chemical*

Ni sabuni ya mitishamba iliyotengenezwa kwa viambata asilia k**a vifuatavyo

*INGREDIENTS (VIAMBATA)*
1. Wild honey (asali mwitu)
2. Green Tea (mchai çhai)
3. Grape fruit (mbegu za zabibu)
4. Mafuta ya mzaituni.

*KAZI MUHIMU*
1. Hupambana na mzee na kuondoa makunyanzi

2. Hufanya ngozi kuwa na unyevu unyevu na muinekano nadhifu

3. Huondoa mapunye,chunusi,na mafuta yaliyozidi kwenye ngozi.

4. Inavuta uchafu uliopo ndani ya ngozi,pamoja na uchafu unaosababisha chunusi na mapele.

4. Inaomdoa *madoa/makovu* kwenye ngozi

5. Inaondoa seli za ngozi zilizokufa hivyo kufanya ngozi iwe laini na nyororo

6. Inazibua(inafungua) njia za jasho kwenye vinyweleo hivyo kudhibiti tatizo la harufu mbaya ya mwili

7. Inatibu vidonda vya kuungua, jeraha, na vidonda vya kisukari

8. Inaua vijidudu (bacteria) wa kinywa,fangasi,upele na mapunye

9. Inatumika k**a mafuta ya kupaka pia.

10. Inatunza ngozi

Kupata hii bidhaa wasiliana nami Sasa

Dr. Felista 0758004845

DR COW SMART GUMMIES from BFSUMA Ni kirutubisho kilichotengenezwa katika mfumo wa p**i ndani yake kina mafuta ya SAMAKI,...
05/05/2022

DR COW SMART GUMMIES from BFSUMA

Ni kirutubisho kilichotengenezwa katika mfumo wa p**i ndani yake kina mafuta ya SAMAKI, MAZIWA, MATUNDA YENYE MCHANGANYIKO WA VITAMINI C, kwa matumizi ya watoto na watuwazima.

KAZI ZAKE:
1).INAONGEZA HAMU YA KULA.

2). INASAIDIA KATIKA UKUAJI WA MIFUPA NA UBONGO.

3). INASAIDIA WATU WENYE MATATIZO YA MACHO KUTOKANA NA VITAMIN C KWA WINGI ILIYO NDANI YAKE.

4).INAONGEZA MADINI YA CHUMA.

5).INASAIDIA UKUAJI WA MIFUPA NA KUONDOA CHANGAMOTO ZA ULEMAVU KWA MTOTO.

6). INAMSAIDIA MAMA MJAMZITO KUKUZA VIZURI KIUMBE TUMBONI KUTOKANA NA WINGI WA MADINI YA CHUMA.

7).INASAIDIA KUSHIKIRIA MJI WA MIMBA MAMA ASIWEZE KUJIFUNGUA KABLA YA WAKATI( MISCARRIAGE)

8).HUSAIDIA watoto ambao viungo vyao VEMEKAKAMAA au KULEGEA sana isivyo kawaida

9).Husaidia Kuimarisha KINGA YA MWILI ya MTOTO na kufanya asishambuliwe na MARADHI ya Mara kwa mara

10).Husaidia watoto ambao UKUAJI WAO sio Mzuri,HAWAONGEZEKI UZITO kulingana na Umri wao

Kupata bidhaa hii wasiliana nami Sasa
Dr. Felista @ 0621608081/0758004845

*Kuna tofauti kubwa sana kati ya U.T.I & P.I.D**sasa iko hivi**U.T.I ni maambukizi kwa njia ya mkojo na huathiri mfumo w...
05/05/2022

*Kuna tofauti kubwa sana kati ya U.T.I & P.I.D*

*sasa iko hivi*

*U.T.I ni maambukizi kwa njia ya mkojo na huathiri mfumo wa mkojo na mfumo wa uzazi, wadudu huathiri sana kibofu na urethra. *

*Dalili za UTI ni hizi hapa 👇*
*👉Kujihisi mchovu na kutokujisikia vizuri*
*👉Kukojoa kwa shida na kujilazimisha*
*👉Maumivu wakati wa kukojoa*
*👉Kukojoa kiasi kidogo na mara kwa mara*
*👉Mkojo kutoa harufu kali*
*👉Mkojo kuwa na rangi tofauti zisizo za kawaida kwa mfano wekundu kiasi*
*👉Kichefuchefu au kutapika*
*👉Maumivu ya tumbo, au pande za mwili karibu na tumbo mpaka sehemu za misuli*
*👉Joto laweza kuongezeka*

*Lakini P.I.D*
*ni maambukizi katika via vya uzazi vya mwanamke*

*Dalili zake za P.I.D ni hizi 👇*

*👉▪️ maumivu ya tumbo hasa chini ya kitovu Mara kwa Mara.*
*👉▪️Kupata maumivu ya mgongo,kiuno na nyonga*
*👉▪️Uchafu sehemu za siri k**a maziwa ya mtindi,mweupe,njano,kahawia,Kijani*
*👉▪️harufu mbaya sehemu za siri*
*👉▪️Miwasho ukeni*
*👉▪️Kupata maumivu wakati wa tendo la ndoa*
*👉▪️Kutoka damu bila mpangilio wakati wa hedhi*
*👉▪️kutoka Damu baada ya s*x*
*👉👉uke mkavu kutokana na asidi iliyopo (P.I.D)*
*👉👉 kuwa na michumbuko ukeni*
*👉👉 kuwa na viupelee ukeni*

*Wengi wetu tukienda kwenye vipimo huwa tunafichwa juu ya tatizo la P.I.D badala yake tunaambiwa kuwa tuna U.T.I sugu*

*⛔️⛔️ Chukua hatua usiendelee kukaa na tatizo madhara yake ni makubwa mnoo*

*Kwa matibabu wasiliana nasi kupitia **
*Popote ulipo nitakusaidia*.

*Kuna tofauti kubwa sana kati ya U.T.I  & P.I.D**sasa iko hivi**U.T.I ni maambukizi kwa njia ya mkojo na huathiri mfumo ...
05/05/2022

*Kuna tofauti kubwa sana kati ya U.T.I & P.I.D*

*sasa iko hivi*

*U.T.I ni maambukizi kwa njia ya mkojo na huathiri mfumo wa mkojo na mfumo wa uzazi, wadudu huathiri sana kibofu na urethra. *

*Dalili za UTI ni hizi hapa 👇*
*👉Kujihisi mchovu na kutokujisikia vizuri*
*👉Kukojoa kwa shida na kujilazimisha*
*👉Maumivu wakati wa kukojoa*
*👉Kukojoa kiasi kidogo na mara kwa mara*
*👉Mkojo kutoa harufu kali*
*👉Mkojo kuwa na rangi tofauti zisizo za kawaida kwa mfano wekundu kiasi*
*👉Kichefuchefu au kutapika*
*👉Maumivu ya tumbo, au pande za mwili karibu na tumbo mpaka sehemu za misuli*
*👉Joto laweza kuongezeka*

*Lakini P.I.D*
*ni maambukizi katika via vya uzazi vya mwanamke*

*Dalili zake za P.I.D ni hizi 👇*

*👉▪️ maumivu ya tumbo hasa chini ya kitovu Mara kwa Mara.*
*👉▪️Kupata maumivu ya mgongo,kiuno na nyonga*
*👉▪️Uchafu sehemu za siri k**a maziwa ya mtindi,mweupe,njano,kahawia,Kijani*
*👉▪️harufu mbaya sehemu za siri*
*👉▪️Miwasho ukeni*
*👉▪️Kupata maumivu wakati wa tendo la ndoa*
*👉▪️Kutoka damu bila mpangilio wakati wa hedhi*
*👉▪️kutoka Damu baada ya s*x*
*👉👉uke mkavu kutokana na asidi iliyopo (P.I.D)*
*👉👉 kuwa na michumbuko ukeni*
*👉👉 kuwa na viupelee ukeni*

*Wengi wetu tukienda kwenye vipimo huwa tunafichwa juu ya tatizo la P.I.D badala yake tunaambiwa kuwa tuna U.T.I sugu*

*⛔️⛔️ Chukua hatua usiendelee kukaa na tatizo madhara yake ni makubwa mnoo*

*Kwa matibabu wasiliana nasi kupitia **
*Popote ulipo nitakusaidia*.

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when felista.danda posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your business to be the top-listed Health & Beauty Business?

Share