08/02/2024
Zijue faida ya sabuni hii katika mazingira yako
✅ Inatumika kufulia nguo,inatakatisha vizuri mno yaan ukitumbukiza tu nguo yako uchafu inavunjwa vunjwa kwa haraka,haichubui wala kuunguza wala kubabua mikono pia haifubazi nguo
✅ Inaosha vyombo kwa ubora zaidi yaan inaondoa mafuta kwa haraka na kukata shombo haraka
✅Ukidekia sasa inasafisha sakafu yako vizuri mno
✅Inasafisha gari vizuri mno,sabuni kidunchu
✅Ukiwa na hii unanawia na mikono vizuri kabisa
Yaan hii ndio maana ikaitwa general purpose inafanya mazingira yako safi na kutumika katika kazi zako za usafi.
Zaidi ya yote unaipata kwa bei nzuri mno.
Karibu sana mteja