HAMIS LWILA digital

HAMIS LWILA digital 🇹🇿 Weight Loss Coach
🥗Nakusaidia kupunguza uzito bila njaa.
🔥 Punguza kilo 5-10 kgs kwa mpango rahisi
📩 DM "COACH" kuanza Leo

31/08/2026
🔥 WEIGHT LOSS CHALLENGE — SEPTEMBERMabadiliko ya mwili hayaanzi na motivation, yanaanza na uamuzi na nidhamu. 💪🏽Kwa siku...
31/08/2026

🔥 WEIGHT LOSS CHALLENGE — SEPTEMBER

Mabadiliko ya mwili hayaanzi na motivation, yanaanza na uamuzi na nidhamu. 💪🏽

Kwa siku hizi, tunajenga tabia zinazokusaidia kupunguza uzito na kuwa na mwili wenye afya—chakula bora, movement, maji, usingizi na consistency.

Usisubiri Jumatatu. Anza sasa. 🔥

👉🏽 Andika “NIPO” kwenye comment k**a uko tayari kuanza challenge.

September si mwezi wa visingizio. 🔥 Ni mwezi wa nidhamu, consistency na kujijenga upya.Anza na maamuzi madogo kila siku—...
31/08/2026

September si mwezi wa visingizio. 🔥 Ni mwezi wa nidhamu, consistency na kujijenga upya.

Anza na maamuzi madogo kila siku—kula vizuri, kusonga zaidi, kulala vizuri na kuacha tabia zinazokurudisha nyuma. 💪🏽

Usisubiri motivation. Jenga discipline.

🔥 Uko tayari kuingia September Challenge? Andika “NIPO” kwenye comment.

Challenge yetu inaanza kesho ✅💯Je upo tayali kwa challenge Let go comment COACH kuja WhatsApp kupata mwongozo link ipo k...
31/08/2026

Challenge yetu inaanza kesho ✅💯

Je upo tayali kwa challenge

Let go comment COACH kuja WhatsApp kupata mwongozo link ipo kwa bio.

K**a una kilo zaidi ya 90kgs  basi jitahidi Sana Kupunguza hivi vyakula itakusaidia Sana mwili wako kuanza kuchoma mafut...
30/08/2026

K**a una kilo zaidi ya 90kgs basi jitahidi Sana Kupunguza hivi vyakula itakusaidia Sana mwili wako kuanza kuchoma mafuta kwa ufanisi mkubwa..

- acha kula wali, ugali ,chips, soda, junk food,pizza, bagga, mafuta ya mbegu , chapati, mikate, Vitumbua, maandazi na keki.

Hivi vyote hupandisha sukari kwa Kasi Sana ... Jaribu kubalance diet plan yako vizuri..

✅ Protein kwa wingi
✅ Mboga za majani nusu sahani
✅Carbs halisi, mihogo, maghimbi, viazi vitamu, ndizi.
✅Maji ya kutosha drink water as you can
✅Fanya mazoezi kila siku

30/08/2026
30/08/2026



30/08/2026

Kitambi hakigomi kwa sababu mwili wako umeshindwa… mara nyingi kuna makosa madogo unayoyarudia kila siku. 👀🔥

❌Kula vizuri lakini portions kubwa?
❌Unakunywa calories bila kujua?
❌Protein kidogo?
❌Usingizi mdogo?
❌Movement haitoshi?

👉 Anza kurekebisha kosa moja baada ya jingine na uwe consistent.

📌 SAVE hii Reel ili urudi kuikumbuka.
📤 SHARE na mtu anayesema “kitambi changu hakiondoki.”
💬 Andika “COACH” k**a unahitaji mpango wa kukusaidia kupunguza uzito kwa usahihi.

30/08/2026

Unataka kuanza kuona tofauti kwenye mwili wako? 🔥

Usianze na diet ngumu. Anza na vyakula sahihi + portions sahihi + consistency.

Kwa siku 7, jaribu kuweka hivi kwenye mlo wako: 🥚🍗🐟🥬🥑🍠💧

👉 Punguza soda na vinywaji vyenye sukari
👉 Punguza vyakula vya kukaanga
👉 Kula protini kila mlo
👉 Ongeza mboga
👉 Kunywa maji ya kutosha
👉 Tembea kila siku

Usisubiri Jumatatu. Anza leo. 💪🔥

Ukitaka mpango wa chakula wa kukusaidia kupunguza uzito, comment “COACH” au nitumie DM. 📩

Address

Kariakoo

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when HAMIS LWILA digital posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share