AFYA NI MTAJI WAKO

  • Home
  • AFYA NI MTAJI WAKO

AFYA NI MTAJI WAKO Kama una changamoto mojawapo kati ya:�

1. Homoni kusumbua.
2. Uvimbe au uchafu kwenye mayai.
3. Mf

30/08/2026

I got over 10 reactions on one of my posts last week! Thanks everyone for your support! 🎉

K**a una changamoto mojawapo kati ya:👇1. Homoni kusumbua.2. Uvimbe au uchafu kwenye mayai. 3. Mfuko wa kizazi kupanuka, ...
30/08/2026

K**a una changamoto mojawapo kati ya:👇

1. Homoni kusumbua.
2. Uvimbe au uchafu kwenye mayai.
3. Mfuko wa kizazi kupanuka, kulegea, kutuna (bulky uterus) au kuvimba (Endometriosis).
4. Uchafu kwenye mirija yaani hydrosalpinx.
5. Kutibu presha ya mimba/kifafa cha mimba kwa mjamzito.🤰
6. Ukikojoa unasikia maumivu (UTI) na kuwashwa ukeni (fangasi).

K**A HUYU 👆 NI WEWE FANYA HIVI:👇

Chukua beetroot moja kubwa au mbili saizi ya kati/kawaida menya kuondoa maganda, tangawizi kipande kimoja na limao moja zima na mbegu zake na maganda yake.

Weka maji nusu lita kisha saga kwa pamoja na uchuje ili kupata juisi nzuri.

Weka asali kijiko kimoja au viwili kuongeza radha na unywe glass moja asubuhi na glass moja jioni kwa siku 30 mfululizo.

NYONGEZA:👇
1. Usiweke sukari.❌
2. Unaweza kuhifadhi kwenye friji kwa ajiri ya baadae.
3. Unaweza kunywa mara kwa mara kadiri unavyohitaji.

27/08/2026
24/08/2026

HONDA VEZEL DELIVERED

Congratulations to the new owner! 🎉

Address


TANZANIA

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AFYA NI MTAJI WAKO posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

  • Want your business to be the top-listed health & beauty business?

Share