06/07/2026
UCHAWI WA KUTUPIWA MARADHI HATARISHI YA KUTENGENISHWA NA WATU
MAKALA HAYA YAMEANDALIWA NA KUANFIKWA NA MTABIBU ASILI TZ MTAALAM WA DAWA ZA ASILI NA TIBA JITAHIDI KUSOMA MPAKA MWISHO KUNA UFAFANUZI WA MAMBO MUHIMU
UCHAWI ni elimu pana sana ambayo k**a ingewekewa muundo k**a huu tunaosuma shuleni basi mtu mwenye digrii ya uchawi angekuwa ametumia pesa nyingi sana na mudamwingi kusona. Ila uchawi hujengeea mfumo ambao mtu hujifunza na kupanda daraja kila anapotoa kitu fulani. Kitu usichokielewa kwenye uchwi pia kuna maspeshalisti yaan kuna watu wao kazi zao ni kudili na misukule tu hajui kitu kingine chochote. Na kuna wingine kazi zao wao kutengeneza chumaulete tu na huwauzia wachawi wenzao.
Pia wapo watu ambao ni mfaundi kitu kikahatibika wao hutengeneza k**a vyombo vya usafiri vifaa vya kuibiwa pesa nk. Na wapo watu kazi zao ni kutesa watu. Na wapo wachawi ambao wao ni watumwa wa wachawi wenzao na hulipwa uira wao. Hivyo sio kila mchawi anapawa ya kuafanya kila kitu ni lazima aombe msaada kwa mchawi mwenzie mwenye ujuzi wa jambo hilo. Lakini wote husimamiwa na Khadimu wa kichawi. Mchawi akitaka kufanya jambo ili liweni lazima amshirikishe huyo jini wa kichawi ndiye anayepitisha jambo kufanyika na si kila mchawi amefikia levo hiyo.
Nimeyafungua hivyo haya makala ili kukifahanisha kwamba si kila mchawi ana uwezo wa kufanya chochote. Endela kufautilia darasa zinazowwkwa hapa kwwnye page ya mtabibu asili tz utafamu mengi. Leo tutazungumzia kuhusiana na Uchawi wa kupandikiziwa maradhi mwilini mwako ili mambo yako yakwame utengwe kukingana na hayo maradhi utakayopata. Uchawi huu ni tifauti na kufungwa nyota huu wanadili na mwili wako moja kwa moja hivyo watu watakutenga kwa maradhi uliyokuwa nayo na si kushughulika na nyota yako.
Mchawi anaweza kucheza na nyota yako anaweza kucheza na mwili wako pia vyovyotw vile atakavyo k**a utakuwa mwili wako mwepesi. Yapo maradhi mengi unayoweza kuyapatana ikawa sababu yako kutengwa, yapo maradhi unaweza kuyapata ogisi ikakusimamisha kazi kabisa na nafasi yako aakachukua mtu mwingine. Yapo marafhi yanaweza kukufanya ndoa yako kuvunjika kisha mwingine akaingilia ndoa yako hivyo kuna mipango mingi na uadui mwingi mchawi hufanya anapohitaji kutimiza adhama yake.
NAMNA UCHAWI WA MARADHI UNAVYOUNDWA
Hapa sitafundisha uundaji wake nitaeleza juu juu ili isiwe tena madhara mtu akasoma akaenda kufanyia wenzie. Jambo la mwazno kuna vitu lazima vipatikabe ilo uchawi uweze kuundwa vitu k**a mbegu za kiume zikiwa hai hivyo k**a utaota usiku wamuingilia mtu kisha ukashtuka na mbegu zishatoka kuna uwezekano kuwa wameziteka. Na hii mara nyingi utaota unafanya mapenz na mwanaume mwenizo au mwanamke akuoe mlango wa nyuma hasa mabinti na wazee au kuletewa msichana unayemtaka sana kisha akakutkaa au kusuumbua. Mbegu hapa zintumika za mtu aliyekomaa kuanzia miaka 45 chini ya hapo usiwe na hofu ukiota.
Ute wa mwanamke mwali au damu yake ya kwanza ikiwa wewe ni mwari yaan bado msichana mdogo ila mapenzi tayar unayajua ukaota yuwaingiliwa ukahisi raha sana na ukaamka ute umekutoka ama umeachiwa kabisa na mashahawa. Kuna dalili za jambo hilo nilozungumza. Pia wanachukua unga wa mifupa ya maiti mtoto sitaeleza inapopatikana pia huchukua baadhiya vtu kwa msukule aliyekufa sitataja kwa usalama. Wewe unayetaka kupewa maradhi lazima wapate athari yako hasa nywele.
Hivyo ukiota unayolewa ama kunyofolewa nywele sikikizia milio siku za usoni kuna marafhi nitayataja hapa mwisho huwenda yakakumba. Nitaruka kuhusu mafanyo yake ila ni lazima ulishwe huo uchawi ukikamilika hapa sasa mwenye kuota analishwa vitu mithiri ya nyama vyakula nk. Kuwa makini na zingatia magonjwa nitakayotaja mwishoni mwa makala haya.
VIPI UNAWEZA KUATHIRIKA NA UCHAWI HUU
Huo uchawi huunda kiumbe ambacho kitakuwa na makazi yake mwilini mwako sababu umelishwa. Kitazaa maradhi sababu uchawi umewekewa jinsia mbili wakati wa kutengenezwa yaani zile shahawa lakini ute wa mwanamke ama damu yake ya hedhi. Maradhi yatakyozaliwa yatakuwa ni lile kusudio ama dhumuni alilolikusudia mfanyaji na mganga wake ama mchawi wake ama mchawi mwenyewe. Nimeelza hapo juu maradhi haya hela unapata mambo yako yanaenda ila utaacha jambo fulani sababu ni maradhi mazito yasiyoweza kufanya kazi nitataja yale makbwa. Dalili kubwa ni mtu kuwa na maumivu makali ya viungo mpaka kushindwa kufanya kazi zako kwa ufanisi na kadri siku zinavyozd kwwnda ndio maumivu huzidia.
UKIMWI WA KUTENGENEZWA, MARADHI YA KIFUA KIKUU, MARADHI YA STROKE KIHARUSI AMA KUPALALAIZ, MARADHI YA PRESHA NASUKAR KWA WATU WWNYE UMRI MDOGO. MARADHI YA KANSA, NGIRI MAJI NK. HAPA HUPOGWA UHONJWA ILI UKUZUIE KUFANYA JAMBO FULAN AIDHA UMECHUKUA MKE WAMTU UTAPIGWA KITU KWQNZA UACHANE NA YULE MTU KISHA DUNIA UIONE CHINGU. MFANO MAKAZINI UKISHAPOGWA KITU KIKAUPA UZITO HUTAKWWNDA KAZIN MWISHOWE UTAACHISHWA. KIFUNGA BIASHARA MTAANI. KUUMWA ILI KUKUBALI KAULI FULAN AIDHA KUUZA NYUMBA AU MALI AMBAYO WEWE ULIKATAA WAKATI UKIWA NA NGUVU ZAKO.
MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA
MCHAWI ANAWEZA KUJUZOBA MKOJO, ANAWEZA KUKUSABABISHIA BAWASIRI ISIYOSIKIA DAWA MPAKA KUFIKIA HATUA HUWEZ KUKAA TENA UKIINGILIWA YUWAHISI MAUMIVU HAPO NDIPO UTAACHA KAZI UTAACHA NDOA. MARADHI YA MISHIPA YAAN KUVIMBA MAPUMBU KUJAA MAJI IKIKUZIDI SIJUI K**A UTAWEZA KWENDA KAZINI. PIA UNAWEZA KUULIWA MACHO KUULIWA MASIKIO ILI IWE NGUMU KWAKO UWAPISHE WENGINE
SI KILA MARADHI NI YA KICHAWI ILA NMETOA ANGALIZO KUWA UCHAWI UPO NA UNAWEZA KUTENGENEZEWA MAGONJWA NA MGONJWA UKAUMWA UKAENDA HOSPITLAI UKAPIMWA UGONJWA UPO ILA HAUSIKII DAWA. MFANO UKIMWI WENZAKO UNAOTUMIA NAO DAWA MAMBO YANAKAA SAWA WEWE KILA SIKU UNAPUYUKA NA YUWAFUATA MASHARTI NA KILA KITU YATAKIWA UANGALIE VIZUR KITU GANI KIMEKUTOKA ANZA KUCHUKUA HATUA.
MATIBABU YA MAGONJWA HAYA NI MAKIBWA USOJE KIFIKIRIA K**A UNAPIKA UGALI. JITAHIDI UFIKE KWA WATAALAM WAKUANGALIE KIUNDANI AINA YA UCHAEI ULIOTUMIKA LAKINI UKONGWE WAKE MWILINI KUNA MARADHI YANATOKA MPAKA MIEZI SITA MFANO WAKE NI HUO UKINWI NILOTAJA. KIFUA CHA KUTOGEZEWA HUKAA MPAKA MIEZI NANE STROKE KUPONA KWAKE KUANZIA MIEZ MITATU MPAKA MWAKA HUTEGEMEA NA UKONGWE WA UGONJWA MWILINI