Afya- ya uzazi wanawake na wanaume

Afya- ya uzazi wanawake na wanaume Mtaalamu wa afya- Kutoka bfsuma Tz

05/03/2026
ZIFAHAMU FAIDA ZA KUTUMIA FEMICARE KWA MWANAMKEJe unajua wanawake wengi wanasumbuka Sana na mgonjwa k**a fungus sugu ,ut...
04/11/2022

ZIFAHAMU FAIDA ZA KUTUMIA FEMICARE KWA MWANAMKE

Je unajua wanawake wengi wanasumbuka Sana na mgonjwa k**a fungus sugu ,uti sugu ,pid sugu sababu wanakosa mlinzi madhubuti wa maeneo ya siri

Suluhisho lako hili hapa

FAIDA ZA KUTUMIA FEMICARE KWA MWANAMKE

-Huweka maeneo ya sehemu za siri Safi na salama

-Huzuia na kukinga malazi mbali mbali katika sehemu za siri

-Huondoa maji machafu na yenye harufu kali sehemu za siri

-Inatibu na kumkinga mwanamke na maradhi yanayosababishwa kwa njiaa ya mkojo UTI sugu

-Inaongeza ute ute wa asili kwa MWANAMKE

-Inakaza misuli ya uke uliolegea

-Hurudisha uke katika ujana na kumfanya mume afurahie tendo

-Inatibu PID sugu ikitumiwa na yunzh product

-Inatibu vijidudu vinavyopatikana kwenye nywele vinavyosababisha upele sehemu za siri

-Inaua bacteria wanaosababisha STDs

-Inasaidia kupunguza joto kali ukeni

Tumia ndani ya siku 5-10 kwa matokeo mazuri

K**a umetumia dawa za hospitali kwa mda mrefu lakini bado una changamoto ya kujirudia rudia kwa UTI,FUNGUS, PID, suluhisho ni Femicare tu wengi wamepona tiba ni ya uhakika

ipate kwa shilingi elfu 35000

Mawasiliano 0719458061

Bofya hapa njoo whatsup moja kwa moja
https://wa.link/10236m

MAMBO YANAYOKUPELEKEA KILA UKITIBU PID HAUPONIMara nyingi wanawake wengi wamekuwa wahanga wa kulalamika kutibu ugonjwa h...
04/09/2022

MAMBO YANAYOKUPELEKEA KILA UKITIBU PID HAUPONI

Mara nyingi wanawake wengi wamekuwa wahanga wa kulalamika kutibu ugonjwa hatari wa PID ( pelvic inflammatory deseases) na hawapati matokeo

Kwanza inatakiwa ujue ugonjwa huu inasababishwa na nini hasa

Chanzo kikuu cha ugonjwa huu unasababishwa na magonjwa ya yanayoambukizwa kwa njia ya kujamiiana( STDS) mfano chlamydia na gonorrhea

Hata hivyo pia kuna njia nyingine mbali na kujamiiana inaweza pia kupelekea ukapata ugonjwa huu kwa Mana hiyo unaweza ukapata kwa njia nyingine mbali na kujamiiana mfano matumiz ya njia za uzazi wa mpango , UTI sugu nk

NINI KINAPELEKEA KUTIBU PID BILA MATOKEO

- Wanawake wengi wanatibiwa ugonjwa huu peke yao wanasahu kuwa ukitibiwa wewe inatakiwa mpenz, mume wako pia na wao watibiwe usipofanya hivi bac utakuwa unatibu ugonjwa utakuwa unarudi tena na tena na tena

- Matumizi ya anti biotics yanakufanya zile dalili zote zinapotea na kukufanya uamin kuwa ugonjwa umepona kitu ambacho kinakuwa sio rahisi kutumia dawa kwa mda mfupi na ugonjwa kuisha mara moja so baada ya mda kupita tu dalili zinaanza tena na ugonjwa unajirudia tena

- Kinga za mwili kushuka kutokana na mazingira tunayoishi, vyakula tunavyokula ukizingatia vina kemikali nyingi miili yetu inashindwa kutengeneza kinga madhubu ya kupambana na magonjwa so ukitibiwa na mwili ukiwa hauna kinga imara ni rahisi kupata maambukizi ya magonjwa mbalimbali

Kwa ushauri au tiba kuhusu PID bofya hapa njoo whatsup

https://wa.link/10236m

Call / text 0719458061

Address

Tabata Kinyerezi
Kinyerezi

Telephone

+255719458061

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya- ya uzazi wanawake na wanaume posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Afya- ya uzazi wanawake na wanaume:

Share