Zurel Health care

Zurel Health care Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Zurel Health care, Medical and health, Mbulu, Manyara.

Ukurasa wa elimu kuhusu kisukari: dalili, lishe, kinga na maisha bora kwa wagonjwa wa kisukari.”
📌 (Kisukari ni ugonjwa unaosababishwa na sukari nyingi kwenye damu na matatizo ya matumizi ya insulin mwilini)

01/07/2026

Karibu Zurel Health Care! Tunatoa elimu ya afya, lishe bora, kinga ya magonjwa, na ushauri wa maisha yenye afya. Tufuate ili ujifunze mambo muhimu ya afya kila siku.

HATARI KUBWA ANAYOWEZA KUIPATA MWANAUME MWENYE KISUKARI (DIABETS MELLITUS1. Magonjwa ya moyo na mishipa ya damuKisukari ...
31/03/2026

HATARI KUBWA ANAYOWEZA KUIPATA MWANAUME MWENYE KISUKARI (DIABETS MELLITUS

1. Magonjwa ya moyo na mishipa ya damu
Kisukari huongeza hatari ya kupata mshtuko wa moyo na kiharusi
Mishipa inaweza kuziba au kuwa migumu (atherosclerosis)

2. Tatizo la nguvu za kiume (Erectile Dysfunction)
Wanaume wengi wenye kisukari hupata shida ya kusimamisha uume
Hii hutokana na kuharibika kwa mishipa ya damu na neva

3. Uharibifu wa figo (Kidney failure)
Kisukari ni sababu kubwa ya kushindwa kwa figo
Inaweza kuhitaji dialysis au kupandikizwa figo

4. Upofu au matatizo ya macho
Husababisha Diabetic retinopathy
Inaweza kupelekea kupoteza uwezo wa kuona

5. Uharibifu wa neva (Neuropathy)
Husababisha ganzi, maumivu au kuchoma kwenye miguu na mikono
Inaweza kusababisha vidonda visivyopona

6. Kukatwa kwa mguu (Amputation)
Vidonda vya miguu visipotibiwa vinaweza kuambukizwa na kuhitaji kukatwa

7. Maambukizi ya mara kwa mara
Mwili hushindwa kupambana vizuri na bakteria
Maambukizi ya ngozi, njia ya mkojo, na sehemu za siri huwa ya kawaida

⚠️KUMBUKA
Hatari hizi zinaweza kupunguzwa sana kwa
💥Kudhibiti sukari ya damu
💥Kula lishe bora
💥Kufanya mazoezi
💥Kufuatilia afya hospitalini mara kwa mara
+255696192260📞

NAWASAIDIA WANAUME NA WA AWAKE KUTATUA CHANGAMOTO YA KISUKARI BILA MAUMIVA.
23/02/2026

NAWASAIDIA WANAUME NA WA AWAKE KUTATUA CHANGAMOTO YA KISUKARI BILA MAUMIVA.

Dalili za kisukariKukojoa mara kwa maraKiu kupita kiasiNjaa sanaKuchoka harakaKupungua uzito bila sababu.Vidonda kupona ...
23/02/2026

Dalili za kisukari
Kukojoa mara kwa mara
Kiu kupita kiasi
Njaa sana
Kuchoka haraka
Kupungua uzito bila sababu.
Vidonda kupona polepole

23/02/2026

Vyakula vyenye sukari nyingi
Soda na juisi za viwandani
P**i, chokoleti
Keki, biskuti, maandazi
Ice cream
👉 Sukari nyingi huongeza kiwango cha glukosi kwenye damu haraka. Epuka kutumia vyakula hivi mara kwa mara.

Address

Mbulu
Manyara

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Zurel Health care posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share