Doctor Busia

Website

Doctor Busia Karibu katika ukurasa huu kupata suluhisho la magonjwa yasiyoambukizwa.

*Kwanini Wanawake Wengi Wanaumwa Sana Mgongo?*Sababu ziko nyingi, moja wapo ni hii.. *Wanawake wanainama sana katika shu...
06/08/2025

*Kwanini Wanawake Wengi Wanaumwa Sana Mgongo?*

Sababu ziko nyingi, moja wapo ni hii..

*Wanawake wanainama sana katika shuguli zao*

Iwe kufua, kuosha vyombo, kufagia nk. Wanainama sana na hiyo inaharibu mpangilio wa pingili za mgongo.. wengine pingili inafyatuka na kusababisha shida hiyo ya maumivu makali

Sababu nyingine ni hii

*Viatu virefu*
*Viatu vyenye visigino virefu vinaathiri mkao wa mwili, kwa sababu vinabadilisha usawaziko wa asili wa mwili.*

Vinabana vidole vya miguu, huweza kuharibu mishipa na mifupa ya mguu.

*Husababisha matatizo ya muda mrefu, ikiwa ni pamoja na maumivu ya mgongo, miguu kuvimba, na kushindwa kutembea vizuri.*

Sababu zingine ni ujauzito, uzito mkubwa, vyakula nk.

*🚭 Lung Cancer is Not Just a Smoker's Disease* On this  , We challenge misconceptions and encourage open conversations.L...
06/08/2025

*🚭 Lung Cancer is Not Just a Smoker's Disease*

On this , We challenge misconceptions and encourage open conversations.
Lung cancer made up 12.4% of all cancer cases globally in 2022 and ranks 12th in Tanzania.

*🫁 Share. Speak up. Get screened.*

A recent study reveals that an aqueous dandelion root extract (DRE) can trigger programmed cell death in over 95% of col...
06/08/2025

A recent study reveals that an aqueous dandelion root extract (DRE) can trigger programmed cell death in over 95% of colon cancer cells within just two days—while leaving healthy cells unharmed.

In animal models, oral DRE treatment slowed tumor growth by more than 90%, thanks to its potent mix of bioactive compounds like α-amyrin, lupeol, and taraxasterol that activate multiple cancer-fighting pathways.

Researchers also found that DRE disrupts inflammation-driven cancer triggers—blocking the TLR4/NFκB/ACE2/TMPRSS2 pathway in LPS-stimulated colorectal cells, further hindering tumor cell viability .

While these breakthroughs are promising, they’ve only been tested in lab settings and animal studies so human clinical trials are still needed before any real-world health claims can be made.

Address

Mbeya

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Doctor Busia posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share