19/11/2023
INDIAN HALF CAST FACE & BODY LOTION Zipo aina mbili ipo ya carot na papaya kwa mtu anayehitaji kua soft zaid na kung’aa kidogo na ipo ya vitamin C na glutathione kwa mtu anayehitaji kung’aa zaidi Lotion hi ni the best lotion iliyotengenezwa na vitu quality sijapata ona.INDIAN HALF CAST LOTION 🌼inaSPF 50 viambata vya kuzuia mionzi mikali ya jua isiharibu ngozi, sun protection inside😊👌 🌼inazuia michirizi na chunusi 🌼ni anti aging inazuia mikunjo(makunyanzi)ya uzee kwenye ngozi 🌼inakupa weupe mzuri na kukuacha ukiwa na ngozi mzuri ya kuvutia 🌼Inasoftisha ngozi inakuwa laiiin na nyororo 🌼Inakupa rangi moja mwili mzma yaan karang fulani amazing 👌 🌼Haikuletei sugu 🌼Inafanya ngozi Iglow vizur mno 🌼Inaondoa madoa 🌼 Pia ni ant blemish yani chunusi kwisha Hi kitu imetenegwa na mimea tupu Na vitu natural tunaanza na papaya, carrot, tumeric, vitamin C, Argan seed oil, kojic, glutathione na. Arbutin. inalainisha sanaaa ngozi na kusoftisha • inarepair ngozi zilizofubaa