GVC Health Laboratory -Msamvu, Morogoro

GVC Health Laboratory -Msamvu, Morogoro WE DELIVER THE BEST MEDICAL CHECK UP SERVICES IN TOWN

Health tips📌**Shinikizo la damu, mara nyingine huitwa "ugonjwa unao athiri kimya kimya".Ugonjwa huu hufanya watu wengi w...
07/03/2026

Health tips📌
**Shinikizo la damu, mara nyingine huitwa "ugonjwa unao athiri kimya kimya".Ugonjwa huu hufanya watu wengi wenye tatizo la shida ya shinikizo la damu kutokuwa na taarifa kamili au kutojua k**a wana ilo tatizo kutokana na kuwa Kuna Wakati hauoneshi dalili yoyote,
Shinikizo la damu huweza kusababisha matatizo ya Moyo, ubongo, Figo na mambo mengineyo, Muhimu kufanya uchunguzi wa shinikizo la damu mara kwa mara kwa wataalamu wa afya ili kuwa na ufahamu wa afya yako, k**a shinikizo la damu lipo juu fuata ushauri kutoka kwa madaktari hii ndo Kinga na tiba pekee juu ya tatizo hili.

**high blood pressure, is called a “silent killer”. This is because many people who have hypertension may not be aware of the problem as it may not have any symptoms. If left uncontrolled, hypertension can lead to heart, brain, kidney and other diseases. Have your blood pressure checked regularly by a health worker so you know your numbers. If your blood pressure is high, get the advice of a health worker. This is vital in the prevention and control of hypertension.

Credit to World health organization.

HUDUMA BORA.UKARIMU KWA WAGONJWA UFANISI.QUALITY SERVICESHOSPITALIZED SERVICESEFFICIENCY.     (Karibu tukuhudumie)
06/03/2026

HUDUMA BORA.
UKARIMU KWA WAGONJWA
UFANISI.

QUALITY SERVICES
HOSPITALIZED SERVICES
EFFICIENCY.

(Karibu tukuhudumie)

Address

Morogoro

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when GVC Health Laboratory -Msamvu, Morogoro posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share