13/06/2020
DONDOOO:
Picha hii umeiyona vizuri ?
Ni picha ya nini ?
Vyema k**a umesema ni Bamia ! Ila unajua kuwa ukipika Bamia zikaondoa ule ujani haya kidogo tayari unakuwa umeziharibu na hivyo zikifika tumboni hazifanyi kazi ipasavyo ndio maana wengine huzitafuna zikiwa mbichi kwa faida ya mwili na afya zao.
Mimi nitakupa siri mhimu kwanini ule Bamia mbichi au zilizopashwa kwenye moto kidogo.
*1/Kwanza ukichukua majani ya Bamia ukayachoma kwenye moto na ukachukua yale majivu unapaka kwenye ngozi au kidonda ni tiba ya vipele vya jasho na allergy ya ngozi ?
*2/ Pili ukichukua Bamia mbichi ukawa unatafuna + mdimu kila siku asubhi k**a alikuwa na kinyama kwenye mlango wa choo (Bwawasiri) kanakauka kenyewe.
*3/ Tatu k**a unaujauzito na unapanga siku ya kujifungua usipate shida ya mtoto kupita kula sana mrenda wa Bamia kila siku.
*4/ Nne k**a wewe ni mwanaume na manii yako ni mepesi mfano wa maji maji hayana nguvu kula Bamia + karanga(korosho) wiki tatu nyingi sana utaona na shudu nzito ambazo zikiingia popote zinatungisha mimba.
*5/ Tano k**a wewe ni mtu mwenye vidonda au hauna vidonda vya tumbo na unataka usije kuvipata kula kwa wingi Bamia ule mrenda wake unazuia hadi saratani ya tumbo.
*6/ Sita K**a wewe ni mwanamke na uke wako ni mkavu sana, hivyo kwenye ndoa unachubuka na kuumia kula Bamia utashanga unavyoburudika changanya na nyanya ntole kwa mbali kula.
*7/ Saba k**a alikuwa hujui Bamia pia inasaidia kuongeza Cd4 na zingine Cd8 k**a alikuwa hujui Cd8 ni kinga za saratani ndio maana ukila kwa wingi Bamia hasa wanawake huwezi kuugua satani ya t**i au uzazi.
*8/ Nane ni kwa magonjwa wa kisukari ambao wao wakila Bamia kwa kufuliza uwapa uwafueni mkubwa kwani hutuliza sukari vyema kwenye mwili kupita maelezo.
*9/ Tisa ni maajabu ya Bamia kuongeza uwezo wa nguvu za tendo la ndoa , kwa wasioelewa Bamia ni jamii ya tunda la kola ambalo jamii hizi zinawingi wa zinc na kumbuka kazi ya zinc ni kuongeza nguvu za stamina kwa tendo la ndoa, maziwa kwa wamama wanaonyonyesha na pia kusafisha njia ya mishipa iliyopooza au kuelegea n.k.
Usisahau like and share