JENGA AFYA BORA

JENGA AFYA BORA NINASAIDIA WANAWAKE WOTE KUONDOKANA NA CHANGAMOTO ZA MFUMO WA UZAZI


https://wa.me/+255784354296

Mambo ya Kuzingatia Baada ya Kumaliza  tendo la ndoa ili kupunguza uwezekano wa maambukizi ya Urinary Tract Infection na...
24/04/2026

Mambo ya Kuzingatia Baada ya Kumaliza tendo la ndoa ili kupunguza uwezekano wa maambukizi ya Urinary Tract Infection na Vaginal Yeast Infection(U.T.I na fangasi)

⚠️ Baada ya tendo kuna jambo moja muhimu wanawake wengi husahau…🤔
Hili linaweza kuwa sababu inayopelekea maambukizi ya UTI au fangasi kwa urahisi zaidi..
Baada ya tendo la ndoa, mwili huhitaji USAFI na TAHADHARI ili kupunguza uwezekano wa bakteria au fangasi kuongezeka.

Mambo Muhimu ya Kuzingatia Baada ya Mapenzi:
1. Kojoa mara tu baada ya tendo. Husaidia kutoa bakteria walioweza kuingia kwenye njia ya mkojo wakati wa tendo

2. Safisha sehemu za siri kwa maji safi. Hakikisha unasafisha hadi sehemu za mapaja kwa maji safi na kujifuta kwa taulo safi kuepuka unyevunyevu.

3. Epuka kutumia sabuni zenye kemikali kali au manukato ambazo zinaweza kuharibu uwiano wa bakteria wazuri ukeni.

4. Kunywa maji mengi. Maji husaidia kukojoa mara kwa mara na kusafisha mfumo wa mkojo.

5. Badili nguo za ndani haraka. Usibaki na nguo zenye unyevunyevu au jasho baada ya kumaliza tendo la ndoa.

6. Epuka kulala bila kujisafisha. Usafi wa mwili baada ya tendo hupunguza hatari ya bakteria kukaa muda mrefu.

7. Hakikisha umetumia kinga endapo unahisi mazingira si salama. Kondomu inaweza kusaidia kupunguza maambukizi yanayoweza kuhamishwa kutoka kwa mwanaume.

8. Epuka bidhaa zenye harufu kali sehemu za siri. Spray, sabuni kali au mafuta yenye kemikali yanaweza kuongeza uwezekano wa fangasi.

JITATHMINI KWA DALILI HIZI
Kuwashwa, harufu isiyo ya kawaida, maumivu wakati wa kukojoa au uchafu tofauti vinaweza kuwa ishara ya maambukizi.
Endapo una dalili mojawapo kati ya hizi, wasiliana nami kwa 0784354296

📌 Kumbuka: Kinga ni bora kuliko tiba.
“Afya ya sehemu za siri inaanza na tabia zako baada ya ukaribu wa kimapenzi na Mume au mpenzi wako.

👉 Usipuuze hatua ndogo zinazoweza kukulinda dhidi ya maambukizi. ya fangasi na UTI.”


Julius Gwandu

*🌹 WEWE MWANAMKE*Huu ni Uhusiano Uliopo Kati Ya Maumivu Ya Kiuno Na Uchafu Sehemu za Siri.....*Uchafu kutoka sehemu za S...
23/04/2026

*🌹 WEWE MWANAMKE*
Huu ni Uhusiano Uliopo Kati Ya Maumivu Ya Kiuno Na Uchafu Sehemu za Siri.....*

Uchafu kutoka sehemu za Siri i hii inamaanisha kuwa ndani ya Kizazi chako unazalishwa mwingi sana*

Kinachosababisha uchafu utokee katika Kizazi chako ni kuwepo kwa uvamizi wa 👇*

🔴Bacteria wabaya🧫
🔴 Fungi
🔴 Virus 🦠 k**a vile HPV

Na kutokwa kwa uchafu Kunaweza kuwa ni ugonjwa flani kutokana na aina ya Uvamizi kwenye mfumo wa Kizazi chako*

Inaweza kuwa ni ugonjwa flani kati ya haya 👇
•PID- pelvic inflammatory disease*
•Fangus
•STDs- Sexual transmitted Dieseas ( Gonorrhea n.k)

Haya magonjwa yanaweza kukusababishia changamoto ya kupata maumivu ya kiuno hata mgongo pamoja na kutokwa na uchafu sehemu za Siri

Hii inatokeaje?

Kumbuka mfumo wako wa Kizazi umezungukwa na nyonga kuelekea juu tumboni na kuzunguka mgongo

Hivyo kuumwa mgongo , nyonga ukiwa na PID na shida nyinginezo za Kutokwa na uchafu ukeni uhusiano upo
ENDAPO wewe ni miongoni mwa wanawake wenye dalili hizi, ni vyema kupata suluhisho haraka kabla tatizo halijawa kubwa...
Kwa ushauri na suluhisho sahihi la tatizo hilo.




USIPUUZE Dalili ndogondogo mama itakupelekea tatizo la Maambukizi kwenye kizazi yaani PID Tuma ujumbe 0784354296JENGA AF...
16/04/2026

USIPUUZE Dalili ndogondogo mama itakupelekea tatizo la Maambukizi kwenye kizazi yaani PID

Tuma ujumbe 0784354296

JENGA AFYA BORA


16/04/2026

Usilolijua kuhusu afya ya uzazi



JENGA AFYA BORA

*🦠IJUE PID KWA KINA🦠* 👉PID (Pelvic Inflammatory Disease) ni maambukizi kwenye mfuko wa uzazi, mirija ya uzazi na ovari. ...
02/01/2026

*🦠IJUE PID KWA KINA🦠*
👉PID (Pelvic Inflammatory Disease) ni maambukizi kwenye mfuko wa uzazi, mirija ya uzazi na ovari. Dalili zake zinaweza kuwa hafifu au kali, na wakati mwingine mwanamke anaweza kuwa na PID bila dalili wazi.
*🚨 Dalili za PID*
👉Maumivu ya tumbo la chini / nyonga (hasa upande mmoja au zote)
👉Uchafu ukeni usio wa kawaida
– rangi ya njano/kijani, harufu mbaya
👉Maumivu wakati wa tendo la ndoa
👉Kutokwa damu isiyo ya kawaida
– damu baada ya tendo au katikati ya mzunguko
👉Maumivu au kuungua wakati wa kukojoa
👉Homa na kutetemeka
👉Kichefuchefu au kutapika
👉Maumivu makali wakati wa siku za hedhi
Kuhisi uchovu mwingi

⚠️ Madhara ya PID isipotibiwa mapema
🙆Ugumba (kutopata mimba)
🙆Mimba nje ya mfuko wa uzazi (ectopic pregnancy)
🙆Maumivu ya kudumu ya nyonga
🙆Maambukizi kujirudia mara kwa mara hata baada ya kutumia dawa

K**a ukigundua una tatizo hilo au una dalili zinazofanana na hizo *"USIOGOPE"* , *LIPO TUMAINI Kwani WALIOKUWA NA TATIZO K**A HILO LEO WANAFURAHIA MAISHA*

Wasiliana nami kwa 0784354296 au bofya
👇👇
https://wa.me/+255784354296
Viral Reels Rafiki Wa Mwanamke

Address

Moshi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when JENGA AFYA BORA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share