Bhoke afya ya uzazi

  • Home
  • Bhoke afya ya uzazi
Call Contact the business

Bhoke  afya  ya uzazi afya

DALILI ZA MVURUGIKO WA HOMONI.Mfumo wa homoni ni muhimu sana kwa afya ya ubongo na mili yetu. Husaidia kuzuia magonjwa y...
12/08/2024

DALILI ZA MVURUGIKO WA HOMONI.

Mfumo wa homoni ni muhimu sana kwa afya ya ubongo na mili yetu. Husaidia kuzuia magonjwa yasiyo ambukizi kadri umri unavyo songa mbele. Baadhi ya dalili zinazoweza kuonekana kwa mtu mwenye changamoto ya mvurugiko wa homoni ni k**a vile:
▪️Ukavu ukeni
▫️Maumivu wakati wa tendo la ndoa
▪️Kutoa jasho usiku
▫️Maumivu chini ya kitovu wakati wa hedhi
▪️Upungufu wa hamu ya tendo la ndoa
▫️Mabadiliko ya siku za hedhi na kupata hedhi kwa muda mrefu unaozidi siku 7. (heavy bleeding, au kujaza pedi moja kwa saa moja)
▪️Kukosa hedhi kwa muda mrefu, na kutoa damu yenye mabonge mabonge wakati wa hedhi
▫️ Uchovu wa mara kwa mara
▪️Hasira za mara kwa mara
▫️ Kukosa usingizi
▪️Homa za usiku na Kizunguzungu cha mara kwa mara
▫️Mzio wa vyakula (Allergie), kuchagua chagua vyakula
▪️ Ongezeko ya tumbo na nyama uzembe
▫️Kuharibika kwa ngozi (chunusi, vipele… n.k)
▪️Maumivu ya viungo
▫️Upungufu wa nywele kichwani.
▪️Kusahau sana (kukosa kumbukumbu)
▫️Kupata hedhi wakati wa ujauzito (progesterone ikiwa imezidi)
▪️Kutokupata hedhi (balehe) adi umri wa miaka 20 na kuendelea
▫️Mwili kutokukua, kuonekana k**a binti mdogo, na kutokukua kwa via vya uzazi
▪️Msongo wa mawazo na kukosa kujiamini
▫️Kusinyaa na kupauka kwa ngozi wakati wa siku za hedhi na wakati wa utumiaji wa njia za uzazi wa mpango
▪️Maumivu ya kichwa mara kwa mara
▫️Kuwa na tabia ya hamaki (kukosa utulivu)
▪️ Kutokupata choo kwa wakati
▫️Misuli hudondoka
0785921805

12/08/2024

KAZI ZA TRE-EN-EN

📌Husaidia kupata choo laini

📌Husaidia kubalance hormone, kubalance mizunguko ya wadada na maumivu ya tumbo wakati wa hedhi

📌Husaidia mizunguko ya damu mwilini na afya ya moyo

📌Huongeza nguvu mwilini

📌Hukuondolea uchovu na kukufanya kuwa mchangamfu siku nzima

📌Husaidia kutoa sumu mwilini

📌Huboresha mbegu za kiume(sperm)

📌Husaidia mfumo wote wa mwili kufanya kazi vizuri

📌Husaidia kwa wale wenye malaria sugu na za mara kwa mara kupotea kanisa

📌Husaidia kuwa na ngozi laini na nzuri

🔖NB:ENDAPO UTAKUNYWA CAPSULE 3 KILA SIKU KWA SIKU 5 UTAANZA KUONA MABADILIKO MAZURI MWILINI
0785921805

11/07/2024

KUKABILI MARADHI SUGU KUANZIA
KWENYE CHANZO
Ni muda wa kubadilisha mwelekeo
Shirika la Afya Duniani linatabiri kwamba ifikapo 2020 na kuendelea
maradhi sugu yatakuwa yakichangia vifo vitatu kati ya
kila vifo vinne ulimwenguni.
Maradhi sugu ni pamoja na:
• Ugonjwa wa moyo
• Saratani
• Kisukari
• Kupooza
• Ugonjwa sugu wa mfumo wa upumuaji
HABARI NJEMA — SULUHISHO LIKO
BAYANA
Mamlaka ya Afya yanayoongoza yamekubaliana
kwamba jambo muhimu katika kuzuia ugonjwa na
kuimarisha afya ni:
★KUDHIBITI UZITO WA MWILI
★MAZOEZI YA MWILI
Na mlo wenye virutubisho vyote vya chakula
unaopatikana katika:
★NAFAKA KAMILI
★MATUNDA & MBOGAMBOGA
★SAMAKI
♥k**a unahitaji Food supplements yaani virutubisho Follow me
0785921805

Body love oil...Hii product ni maalumu kwa changamoto za ngozi, yani ngozi inasaidia sana ngozi kuglow na kuondoa mikunj...
09/07/2024

Body love oil...Hii product ni maalumu kwa changamoto za ngozi, yani ngozi inasaidia sana ngozi kuglow na kuondoa mikunjo pamoja na pumu ya ngozi, unakuta ngozi inatoa mba , vipele yote hayo ni kwasababu ya infections tu lakini ukitumia product yetu hii .. utaenda Kuona mabadiliko kwenye ngozi yako. Karibu TUKUHUDUMIE.0785921805

08/07/2024

Chunusi ni tatizo linaloanzia ndani
Huweza kusababishwa na homrona imbalance
Allergy au athar za vipodozi.Hivyo suluhisho ni kutibu kuanzia ndani
Wasiliana masi kwa 0785921805

K**a una mtoto mwenye changamoto ya allergy au pumu ya ngozi ni muhimu sana kuzingatia Aina ya sabuni unayotumia kumwoge...
08/07/2024

K**a una mtoto mwenye changamoto ya allergy au pumu ya ngozi ni muhimu sana kuzingatia
Aina ya sabuni unayotumia kumwogesha Je haina chemicals za kuharibu NGOZI zaidi??
Aina ya vyakula unavyompa je vina virutubisho muhimu kwa afya ya mtoto??
Kwa changamoto yoyote ya ngozi wasiliana nasi upate suluhisho na ushauri
Piga/WhatsApp 0785921805

Watoto wengi sana husumbiliwa na maradhi ya ngozi hasa wanapoanzishiwa vyakula tofauti na maziwa ya mama, wapo wanaopata...
08/07/2024

Watoto wengi sana husumbiliwa na maradhi ya ngozi hasa wanapoanzishiwa vyakula tofauti na maziwa ya mama, wapo wanaopata dalili hizi hata kabla ya kuanza vyakula lakini wengi wanapanza kula vyakula tofauti ndio hupata dalili za maradhi haya hii ni kutokona na kupata allergy na baadhi ya vyakula hasa vile vya protini

Mara nyingi sana watoto wenye maradhi ya ngozi huwa na ngozi kavu sanaUnapompaka mafuta ya n**i au ya mgando ngozi haiwe...
08/07/2024

Mara nyingi sana watoto wenye maradhi ya ngozi huwa na ngozi kavu sana
Unapompaka mafuta ya n**i au ya mgando ngozi haiwezi kupata ule unyevu unaohitajika kwenye ngozi
Hivyo ni ukavu unabaki pale pale
Sisi afyayangoziyako tunakupa lotion maalum kabisa kwa ajili ya kurudisha unyevu katika ngozi ya mtoto na kumbuka kwamba haina harufu kali wala kemikali ni Salama kabisa kwa ngoz ya mwanao
Wasiliana nasi kwa 078592805

07/07/2024

Je umekua ukisumbiliwa na miwasho ya marakwamara sehem za Siri?
Je umekua ikitokea na uchafu sehem za Siri wenye harufu Kari?
Je umekua ukipata fangasi na UTI za marakwamara?
Usioho Leo nimekultea suruhisho la kudum kutokana na changamoto zote izo kaerbu tukuhudimie #0785921805

Kupunguza tutumbo inawezekana kabisaaa njoo  #0785921805 nikusaidie
07/07/2024

Kupunguza tutumbo inawezekana kabisaaa njoo #0785921805 nikusaidie

Address

Musoma

Telephone

+255785921805

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bhoke afya ya uzazi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Bhoke afya ya uzazi:

Shortcuts

  • Want your business to be the top-listed health & beauty business?

Share