Dr Sophie

Dr Sophie JALI AFYA YAKO

Hatua ya kwanza ni kufanya kipimo ili tuweze kujua tatizo lako na ukubwa wake Baada ya hapo ndo utaandikiwa dawa kutokan...
22/11/2025

Hatua ya kwanza ni kufanya kipimo ili tuweze kujua tatizo lako na ukubwa wake Baada ya hapo ndo utaandikiwa dawa kutokana na ukubwa wa tatizo lako kwahyo Vipimo utalipia elfu 30 badala ya Laki na 50 kwahyo Bei ya dawa siwezi kukadiria kwasababu bdo sijajua ukubwa wa tatizo lako

20/11/2025
25/10/2025

Huduma Ya Vipimo Vya Mwili Mzima

Je,Unajiuliza Wapi,Utapata Huduma Ya Upimaji Wa Mwili Mzima kwa haraka Na gharama Rahisi Zaidi
Kumbuka Afya Yako Ndio Msingi Wa Mambo Yote....

Tumekuandalia OFA Maalumu Ya Upimaji Wa Mwili Mzima Kuelekea mwisho wa mwezi

utalipia TSH 30,000/= tu k**a nawe Utakuwa Miongoni Mwa Watu 20 Wa Mwanzo

Gharama Halisi za Vipimo ni 150,000/= Lakini k**a Utakuwa Miongoni Mwa Watu Hawa Ishirini Utalipia 30,000/= tu na utaokoa Zaidi Ya Tsh 120,000/= Nzima

Natumaini k**a ni Miongoni Mwa Watu wanaopenda Afya Zao Basi Huwezi Kukosa OFA hii

KIPIMO KINAONYESHA;

1.Tatizo husika
2.Chanzo Cha tatizo
3.Viashiria Vya tatizo lingine
Kipimo kinahusika zaidi na magonjwa sugu ambayo hayaambukizi

Tunafanya Vipimo vya Mwili mzima Katika Mifumo ifuatavyo;

1.Mfumo wa Ubongo
2.Mfumo wa Upumuaji
3.Mfumo wa Tumbo
4.Mfumo wa Ngozi
5.Mfumo wa Mifupa na Misuli
6.Mfumo wa Uzazi Kwa wanawake na wanaume
7.Mfumo wa Macho

Pia Tunatoa huduma ya MATIBABU Kwa Magonjwa sugu k**a Ifuatavyo
_Vidonda Vya Tumbo, Presha, Kisukari,
Moyo, Figo, INI, Cholesterol, Bawasili,
_Tezi dume, fangasi , Uzazi Kwa wanawake na wanaume, Figo, Macho, Allergy, Mifupa, Ngozi
Tunatibu Uvimbe Aina zote bila upasuaje, stroke (Kupooza),Miguu, Magoti, Ganzi,Uzito mkubwa na UneneUvimbe kwenye vyia vya Uzazi, Ukuaji mbovu Kwa watoto n.k

Ili OFA Hii Isikupite basi fanya hivi Piga Simu/Tuma Sms au WhatsApp inbox kwenda namba
0622499570

Tunapatikana Tanzania nzima yaani Tanzania bara na visiwani gusa link apo👇https://chat.whatsapp.com/Gv3CSFP75RH8AVlq40M4bk?mode=ems_copy_t

Hormonal imbalance (ukosefu wa uwiano wa homoni) ni moja ya sababu kuu zinazoweza kusababisha mwanamke kubleed kwa muda ...
25/10/2025

Hormonal imbalance (ukosefu wa uwiano wa homoni) ni moja ya sababu kuu zinazoweza kusababisha mwanamke kubleed kwa muda mrefu au kwa kiasi kikubwa. Hapa kuna maelezo kwa ufupi:

1. Homoni zinazohusika

Estrogen – huongeza ukuaji wa kuta za uterasi (endometrium).

Progesterone – husaidia kudumisha kuta za uterasi na kusababisha hedhi ya kawaida.

2. Kadhia ya imbalance

Ukiwa na estrogen nyingi bila progesterone ya kutosha, kuta za uterasi zinakua sana na kuvunjika kwa urahisi → bleeding nyingi.

Hii inaweza kutokea kwa wanawake wachanga baada ya kuanza hedhi, au kabla ya menopause, au kutokana na stress, lishe, au uzito kupita kiasi/ukosefu wa uzito.

3. Dalili nyingine

Hedhi isiyo ya kawaida au kubwa

Kupoteza damu kati ya hedhi

Maumivu ya tumbo

Mabadiliko ya mwendo wa hisia, uchovu

4. Matibabu

Mara nyingi daktari hutumia dawa za homoni (pills, IUD) au changamoto za kudhibiti bleeding.
Kwa maelezo zaid piga sim number 0611508068
Au gusa link iliopo hapa chini 👇👇
https://chat.whatsapp.com/Gv3CSFP75RH8AVlq40M4bk?mode=ems_copy_t

VIPIMO,,, USHAURI NA MATIBABU KWA BEI YA PUNGUZO Shirika la Afya  kutoka CHINA/ GCAT HOSPITAL, IMETOA  OFA KWA WATU WATA...
25/10/2025

VIPIMO,,, USHAURI NA MATIBABU KWA BEI YA PUNGUZO

Shirika la Afya kutoka CHINA/ GCAT HOSPITAL, IMETOA OFA KWA WATU WATAKAO fika katika vituo vyake vyote, KUPATA HUDUMA YA VIPIMO NA MATIBABU,,Ofa hii niya👇👇
▪️ Vipimo vya mwili mzima, Kupimwa magonjwa yote mwilini ni Tshs 30,000/= tu
▪️ Punguzo la bei 20% kwa kila dawa( bidhaa zetu )

Magonjwa tunayo tibu ni;
đźš‘ âś…, âś… Matatizo ya Moyo na INI
âś…Kansa, âś…Vidonda vya Tumbo,
âś…Kisukari âś…Pumu
âś…Stroku. âś…Matatizo ya uzazi kwa kina mama na kina baba
âś…Matatizo ya mifupa, âś…Matatizo ya miguu
âś…Ngozi, âś…Figo, âś…Fangasi sugu
âś…Kupunguza unene, uzito, na matumbo
âś…Kuongeza kinga mwilini(CD4)
âś…U.T.I sugu,Gesi
âś…Bawasiri, âś…Tenzi dume
âś…Heshima ya ndoa kwa kina baba,âś…pumu. n.k

TIBA ZETU NI TIBALISHE NA VIRUTUBISHO.
Ambavyo hufanya kazi kuu nne ( 4 ) mwili
👉 Kuosha
👉 Kulinda/ Kukinga
👉 Kujenga
👉 Kutibu

Karibu sana Upate huduma Zetu imara . Tunapatikana unguja ,pemba na Mikoani pia tunapatikana
Gusa link hapo chin kujiung na group la afya
https://chat.whatsapp.com/Gv3CSFP75RH8AVlq40M4bk?mode=ems_copy_t
Wahi sasa kituon afya ndio kipaumbele chako

Huduma Ya Vipimo Vya Mwili MzimaJe,Unajiuliza Wapi,Utapata Huduma Ya Upimaji Wa Mwili Mzima kwa haraka Na gharama Rahisi...
18/10/2025

Huduma Ya Vipimo Vya Mwili Mzima

Je,Unajiuliza Wapi,Utapata Huduma Ya Upimaji Wa Mwili Mzima kwa haraka Na gharama Rahisi Zaidi
Kumbuka Afya Yako Ndio Msingi Wa Mambo Yote....

Tumekuandalia OFA Maalumu Ya Upimaji Wa Mwili Mzima Kuelekea mwisho wa mwezi

utalipia TSH 30,000/= tu k**a nawe Utakuwa Miongoni Mwa Watu 20 Wa Mwanzo

Gharama Halisi za Vipimo ni 150,000/= Lakini k**a Utakuwa Miongoni Mwa Watu Hawa Ishirini Utalipia 30,000/= tu na utaokoa Zaidi Ya Tsh 120,000/= Nzima

Natumaini k**a ni Miongoni Mwa Watu wanaopenda Afya Zao Basi Huwezi Kukosa OFA hii

KIPIMO KINAONYESHA;

1.Tatizo husika
2.Chanzo Cha tatizo
3.Viashiria Vya tatizo lingine
Kipimo kinahusika zaidi na magonjwa sugu ambayo hayaambukizi

Tunafanya Vipimo vya Mwili mzima Katika Mifumo ifuatavyo;

1.Mfumo wa Ubongo
2.Mfumo wa Upumuaji
3.Mfumo wa Tumbo
4.Mfumo wa Ngozi
5.Mfumo wa Mifupa na Misuli
6.Mfumo wa Uzazi Kwa wanawake na wanaume
7.Mfumo wa Macho

Pia Tunatoa huduma ya MATIBABU Kwa Magonjwa sugu k**a Ifuatavyo
_Vidonda Vya Tumbo, Presha, Kisukari,
Moyo, Figo, INI, Cholesterol, Bawasili,
_Tezi dume, fangasi , Uzazi Kwa wanawake na wanaume, Figo, Macho, Allergy, Mifupa, Ngozi
Tunatibu Uvimbe Aina zote bila upasuaje, stroke (Kupooza),Miguu, Magoti, Ganzi,Uzito mkubwa na UneneUvimbe kwenye vyia vya Uzazi, Ukuaji mbovu Kwa watoto n.k

Ili OFA Hii Isikupite basi fanya hivi Piga Simu/Tuma Sms au WhatsApp inbox kwenda namba
0611508068

Tunapatikana Tanzania nzima yaani Tanzania bara na visiwani

MATATIZO YA UZAZI KWA WANAUMEDALILI: kutokuwa na uwezo wa kutoa manii au shahawa zinazoweza kutunga mimba na kuumba Mtot...
10/10/2025

MATATIZO YA UZAZI KWA WANAUME
DALILI: kutokuwa na uwezo wa kutoa manii au shahawa zinazoweza kutunga mimba na kuumba Mtoto pindi avyokutana na yai la mwanamke hii inapelekea WANAUME wengi kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa
# Uume kusinyaa
VYANZO: vinavyoleta matatizo ni pamoja na joto jingi kwenye korodani,utumiaji wa pombe sana,upungufu wa lishe,kukaa sehemu yenye mionzi au sumu Kali, kuugua kwa muda mrefu ,homa za mara kwa mara,nakuw na ugonjwa wowote wenye virusi kabla tatizo lolote halijatokea
#. Ikiwa mbegu zako au mbgu Yako Iko kamili na zenye afya ,baridi au homa ya mafuta haitakuathiri Kuwa mgumba
#. Lakini idadi ya mbegu za manii zikiwa sio kamili na zenye afya basi kunauwezekano mkubwa wa Kuwa mgumba...
USHAULI NA MATIBABU: wasiliana nasi kwa simu no: 0611508068
Karibu kwenye group letu pia uweze kupata huduma mbali mbali za AFYA YA UZAZI

09/10/2025

Nothing happen without dream

Address

Mwanakwerekwe
Mwana Kwerekwe

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr Sophie posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share