14/05/2025
DALILI ZA KUVIMBA KWA TEZI DUME:-
■Kukojoa Mara 5-10 wakati wa usiku (kukojoa saana usiku.)
■kubakiza mkojo kwenye kibofu.
■Maumivu wakati wa kukojoa na mkojo usioenda mbali.
■Kupungukiwa nguvu za kiume
■UTI ya Mara kwa mara.
■Mawe kwenye kibofu kutokana na mrundikaniko wa mkojo.
■Figo kujaa maji,hii Ni kwasabab mkojo huo unarudi nyuma kuelekea kwenye figo.
■Damu katika mkojo
■kukojoa mkojo wenye mtiririko dhaifu
■kutokuishiwa hamu ya kukojoa
*MADHARA YA TEZI DUME*
●Kushindwa kabisa kukojoa.
●Kupatwa na maambukizi ya UTI
●Kupatwa na vijiwe kwenye kibofu.
●Uharibifu wa kibofu unaweza kutokea.
●Kibofu cha mkojo kuuma, hivyo kupelekea mkojo kurudi juu na kuharibu figo na Ini
●Njia ya mkojo kuziba kabisa
●Figo kushindwa kufanya kazi (Kidney Failure) ●Kushindwa kumudu tendo la ndoa
●Ugumba (infertility+frigidity for men)
●Kutokea kwa majibu sehemu za tezi dume
*○○bfsuma company tunayo bidhaa pekee ambayo ni prostaterelax ambayo inaenda kuondoa hilo tatizo bila upasuaji wowote�nitafute kwa namba…*
*0747188086*