08/05/2026
MWENGE WA UHURU
Tumeshiriki katika hafla ya mapokezi na kukimbiza Mwenge wa Uhuru katika Wilaya ya Newala.
Katika tukio hilo, mwanachama wetu, Bi Hawa, ameshikilia Mwenge huo, akiwakilisha wanachama wengine wa klabu ya Newala Jogging & Fitness.
Bonanza season 01,Michezo na utalii🔥