Mick Telesio

Mick Telesio tunanyoa mitindo mbalimbali anayo itaka ,anayo ipenda mteja (model) tuna mheshimu mteja.

04/03/2022

SALA BAADA YA KUAMKA
Asante Mungu kwa zawadi ya uhai ,Asante Mungu kwa siku mpya katika maisha yangu Asante Mungu Mkono wako ulinishikilia mpaka sasa umeniamsha salama 🙏
Ee Mungu Baba muweza wa yote ninaikabidhi siku hii mikononi mwako ninakukabidhi kazi zangu zote ,ninakukabidhi Watoto wangu, ninakukabidhi Baba yangu na Mama yangu, ninakukabidhi Mume/Mke wangu, ninakukabidhi marafiki zangu ,ninakukabidhi majirani zangu na mimi pia. Ee Mungu naomba uwe mlinzi wao popote watakapokanyaga👣
Asante Mungu Kwa riziki ulizonijalia na siku zote za maisha yangu, Ee Mungu Naomba unisamehe makosa yangu yote niliyoyatenda kwa kujua na kuto kujua, asante Mungu maana utatenda. Ninaomba hayo kwa njia ya Kristo AMINA.
www.radiomaria.co.tz

16/06/2021
03/06/2021

BUSARA ZA PST DANIEL MGOGO
Kuna wakati mwanamke unaweza kuiacha poda, make up, lipshine, massage za miguu, kusafishwa kucha, kusuka kwa gharama, kuvaa kwa gharama na ukaamua kuishi maisha ya kawaida kabisa yenye uhalisia na bado ukapendeza.

Sio lazima uige majirani zako wanafanya nini, sio lazima uingie kwenye mashindano ya mambo niliyoorodhesha hapo juu, kuishi kwenye uhalisia hakumaanishi kwamba umeishiwa pesa na wala hakumaanishi kwamba wewe ni mshamba ila tu ni kujiweka tofauti na wengine na bado ukawa wa kipekee na ukapendwa na kila mtu akutizamae.
USISHI MAISHA YA KUIGA WENGINE

26/04/2021

Wajua kwanini mchakato wa kufunga ndoa unaambatana na msongo wa mawazo?

Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali zilizofanyika hivi karibuni; maisha ya ndoa yametajwa kuwa miongoni mwa vyanzo kumi vinavyosababisha msongo wa mawazo. Msongo huo wa mawazo waweza sababishwa;

- Hofu ya kuingia ndani ya ndoa
- Kutokuridhika na wapenzi wao
- Kutaka kumridhisha kila mtu katika maamuzi yako

Unapaswa kufanya nini hali hii ikikupata? | Soma uchambuzi huu => http://bit.ly/M8Hfb4

Address

NGARA
Ngara

Telephone

+255622223149

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mick Telesio posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share