GCAT International Hospital

GCAT International Hospital Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from GCAT International Hospital, Medical and health, Mwanza, Nyegezi.

06/07/2026

Tunatibu tezi dume bila operation,tena kwa muda mchache karibu wateja wote tunawapenda afya yako mtaji wako.

04/07/2026
Hàkuna mwenyewe uwezo wa ajabu k**a Mungu happy birthday to me.
16/06/2026

Hàkuna mwenyewe uwezo wa ajabu k**a Mungu happy birthday to me.

Hakuna Mwenye uweza wa ajabu k**a Mungu, happy birthday to me
16/06/2026

Hakuna Mwenye uweza wa ajabu k**a Mungu, happy birthday to me

06/06/2026

Chai hii ni maalum kwa ajili ya kusaidia afya kwa njia ya asili. Inafanya kazi zifuatazo:

1. *Husaidia mzunguko wa damu* – Hasa kwa watu wenye shinikizo la damu (presha) ya kupanda.
2. *Hulaza vizuri* – Inasaidia watu wenye changamoto ya kukosa usingizi au kuchoka mara kwa mara.
3. *Husafisha ini na figo* – Husaidia watu wenye matatizo ya ini, figo au sumu mwilini.
4. *Husaidia ganzi ya miguu au mikono* – Kwa wanaopata ganzi mara kwa mara.
5. *Hutibu mfumo wa mmeng’enyo wa chakula* – Kwa wenye gesi tumboni au choo kigumu (constipation).
6. *Husaidia kwa watu wanaotumia vilevi* – K**a pombe au wanaoishi kwenye mazingira yenye hewa chafu.
7. *Hufanya detoxification ya mwili* – Huviondoa sumu na kuimarisha afya kwa ujumla.
8. *Huongeza kinga ya mwili (Immunity)* – Inafaa hata kwa mtu asiye mgonjwa ili kujikinga.
9. *Inafaa kwa mtu aliyeathirika tayari kiafya* – Husaidia kurejesha mwili kwenye hali nzuri.
10:inapunguza uzito &kitambi
*Namna ya kutumia:*
P**i 1 asubuhi na p**i 1 jioni kwa siku 20 mfululizo.
Tumia na *maji ya uvuguvugu bila kuongeza chochote.*

Mawasiliano 0765381939

Address

Mwanza
Nyegezi
33113

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when GCAT International Hospital posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share