Neighbor's Pharmacy

Call Contact the business

Neighbor's Pharmacy NEIGHBOR'S pharmacy Ni wauzaji Wa Dawa za Binadamu na vifaa tiba.
ipo Shinyanga mjini mkabala na Benki ya NMB manonga house.
(1)

Karbuni sana Wateja wetu. Feel free to contact us any time any hour

10/09/2026

Tuambie mtazamo wako kwenye maoni. 👇

09/09/2026

Malezi bora si kumfundisha mtoto kutii kila anachoambiwa; ni kumjengea uwezo wa kutambua lililo sahihi, kulinda mipaka yake na kuwa na ujasiri wa kusema “HAPANA” anapohisi kutokuwa salama.
Mtoto anayejua kusema hapana si mtoto asiye na adabu—ni mtoto anayejitambua.
Lakini swali kwetu wazazi, walimu na walezi ni hili:

Je, katika malezi tunayowapa watoto wetu, tunawafundisha kutii tu, au pia tunawafundisha kujilinda?
Tuambie maoni yako. 👇

08/09/2026

Je, katika dunia ya Leo inayokumbwa na matukio ya ukatili wa kimwili, kijinjisia, kingono na hata kisaikolojia dhidi ya watoto tunataka kulea watoto wanaotii kwa sababu wanaelewa, au watoto wanaotii kwa sababu wanaogopa?

Nini maoni yako k**a mzazi/mlezi

10/06/2026

Are you considering these during this holiday season for your children?👇

Early Childhood Education and Development

07/06/2026

Mtoto hapaswi kupimwa kwa mtazamo wa mtu mmoja. Kila anayemtazama huona kile anachokielewa, lakini maendeleo halisi ya mtoto hupimwa kwa kuzingatia ukuaji wake wa kimwili, kiakili, kijamii na kihisia.

06/06/2026

04/06/2026

✍️ Mwalimu Shagembe

04/06/2026

Tunahangaika kuwafundisha watoto kusoma na kuandika mapema, lakini je, tunawafundisha kuhisi kupendwa?

Kumbuka:- Mtoto wa miaka 0–6 hujifunza kwa hisia kabla ya mantiki. Upendo si anasa katika malezi; ni hitaji la msingi la ukuaji wa ubongo na ujifunzaji.

Je, shule na familia zetu zinatoa kipaumbele gani kati ya upendo na ufaulu wa mitihani?

03/06/2026

Tulinde saikolojia za wanafunzi kwa kuwaelekeza zaidi na kupunguza shinikizo linaloweza kuathiri ujifunzaji fanisi.

Address

Mitimirefu Street, Uhuru Road-Near NMB Bank
Shinyanga
P.O.BOX39

Telephone

+255765460577

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Neighbor's Pharmacy posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Neighbor's Pharmacy:

Shortcuts

Share