Shekha LifeCare

  • Home
  • Shekha LifeCare

Shekha LifeCare Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Shekha LifeCare, Medical and health, .

01/08/2025

🧠 Maamuzi sahihi ujenga Utu na nidhamu, kujiepusha na punyeto ni hatua ya hekima, kuelekea afya bora ya mwili na akili ゚

22/07/2025

K**a nguvu zimepungua,.
usinyamaze,
Rejesha afya ya mwanaume kwa njia salama na asili

22/07/2025

K**a nguvu zimepungua, usinyamaze.
Rejesha afya yako ya kiume kwa njia salama na asili

11/07/2025

"Uimara wa mwanaume huanza na Afya yake.💼💪"

08/07/2025

Shekha LifeCare tunajali afya yako

Imetengenezwa kwa asili💯bila kemikali🍯Asali ya mwitu_Huzuia uzee uipa ngozi unyevunyevu🌿Green tea _Hupambana na simu kwe...
16/06/2025

Imetengenezwa kwa asili💯bila kemikali
🍯Asali ya mwitu_Huzuia uzee uipa ngozi unyevunyevu
🌿Green tea _Hupambana na simu kwenye ngozi
🪵Liwa_, Huondoa mafuta na kuipa ngozi mafuta ya asil
🍇Mbegu za zabibu_Hupumguza mikunjo huondoa madoa

Hupambana na uzee
✨Huondoa mikunjo
💧Huweka ngozi yenye unyevu unyevu
🌱Inamuonekano nadhifu
🌺Huondoa mapunye na chunusi
👐Huondoa mafuta na kuipa ngozi harufu y asili

Matokeo
✔️Ngozi laini na nyorori
✔️Huondoa mapunye chunusi na mafuta sugu
✔️Huifanya ngozi kuwa na mvuto Wa asili siku zote

📞Agiza sasa kwa namba 0794910201
📦Tunatuma mzigo popote ulipo
🌿Afya ya ngozi uanza na asili

07/05/2025

*ANATIC HERBAL ESSENCE SOAP (DAKTARI WA NGOZI)*
{PRODUCT FROM U.S.A}
*0% chemical*

Ni sabuni ya mitishamba iliyotengenezwa kwa viambata asilia k**a vifuatavyo:-

*INGREDIENTS (VIAMBATA)*
1. Wild honey (Asali mwitu)
2. Olive Oil (Mafuta ya Mzeituni)
3. Palm Oil (Mafuta ya mawese)
4. ⁠Grapefruits
5. ⁠Green tea

*FAIDA ZA SABUNI YA ANATIC*

1️⃣ Hupambana na Uzee na kuondoa makunyanzi

2️⃣ Hufanya ngozi kuwa na unyevu unyevu na muonekano nadhifu

3️⃣ Huondoa mapunye, chunusi, na mafuta yaliyozidi kwenye ngozi.

4️⃣ Inavuta uchafu uliopo ndani ya ngozi pamoja na uchafu unaosababisha chunusi na mapele.

5️⃣ Inaondoa madoa doa kwenye ngozi

6️⃣ Inaondoa seli za ngozi zilizokufa hivyo kufanya ngozi iwe laini na nyororo.

7️⃣ Inazibua (inafungua) njia za jasho kwenye vinyweleo hivyo kudhibiti tatizo la harufu mbaya ya mwili.

8️⃣ Inaua vijidudu (bacteria) wa kinywa, fangasi upele na mapunye

9️⃣ Inatumza ngozi ya mtoto mchanga na kumkinga na magonjwa ya ngozi.

1️⃣0️⃣ Inaondoa weusi Miguuni,Kwapani, Mikononi,Shingoni,Magotini.

*N.B: HAINA KEMIKALI HIVYO NI SALAMA KWA RIKA ZOTE.

💰Inapatikana Kwa TSH 10,000/=

☎️ MAWASILIANO/WHATSAPP: 0794 910 201

FEMICARE & ANATIC SOAP Suluhisho Bora Kwa afya ya Mwanamke!Jitunze kwakutumia bidhaa zenye viwango vya kimataifa✔️Femica...
04/05/2025

FEMICARE & ANATIC SOAP
Suluhisho Bora Kwa afya ya Mwanamke!

Jitunze kwakutumia bidhaa zenye viwango vya kimataifa

✔️Femicare _Huondoa Maambukizi ya ndani,harufu mbaya na kuweka mazingira ya uke salama

✔️ ANATIC SOAP_Ni sabuni ya asili Kwa usafi na afya ya Kinga ya ngozi

Matokeo ya haraka na salama Kwa matumiz ya Kila siku

_Tuchukue hatua leo!
_pata bidhaa yako sasa,Afya yako ni muhimu!
_Huduma Bora bei nafuu,wasiliana nasi leo!
_Afya yako kipaumbele chetu usisubir hadi uchelewe!
_shekha lifecare kwaajir yako!


Pata bidhaa yako sasa Kwa bei nafuu!na ushauri Bure kabisa!
Tunapatikana popote ulipo!

Wasiliana nasi sasa:
☎️O794910201

Shekha lifecare
Afya yako kipaumbele chetu

Femicare Cleanser❌Hutibu na kuondoa U.T.I sugu❌Huondoa harufu mbaya ukeni ❌Huondoa na kukinga utokwaji wa maji machafu u...
03/05/2025

Femicare Cleanser
❌Hutibu na kuondoa U.T.I sugu
❌Huondoa harufu mbaya ukeni
❌Huondoa na kukinga utokwaji wa maji machafu ukeni
❌Huondoa na kukinga kupata miwasho ukeni
❌Huzuia na uuha bacteria wabaya ukeni wanaosababisha matatizo Kwa Akina mama k**a staphylococcus aureus, ascherichia coli,pseudomonas aerginosa ma candida albicans
❌Huufanya uke kuwa msafi na mkavu wakati wote

Inapatkana Kwa sh 45000 tu,
Mikoa yote tunatuma

Namba zetu za simu ni 0623910201

# afya kwanza #

30/04/2025

HII NI MAALUM KWA WANAWAKE WOTE WANAOJALI USAFI UKENI.

FEMICARE CLEANSER:Ni Dawa au TIBA Asilia Iliyotengenezwa Maalum kwaajili ya kuwasaidia Wanawake wote wanaopata changamoto za Magonjwa mbalimbali Ukeni.

➡️Dawa hii anaweza Kutumia Mwanamke yeyoye mwenye changamoto au asiyekuwa na changamoto Kwa ajili ya usafi pamoja na kujikinga na Magonjwa mbalimbali Ukeni.

➡️Ndani ya Dawa hii Kuna Viambata Vifuatayo
1️⃣ Natural essential oil from plant.
2️⃣Amino acid.
3️⃣Rejuvenating minerals 4️⃣ Vegetable anti-Oxidant...

➡️Kwahiyo Kupitia viambata hivi FEMICARE CLEANSER itakusaidia katika mambo yafuatayo:-

1⃣Kuondoa harufu mbaya ukeni, uchafu na kuongeza bacteria walinzi, ni nzuri kwa wanaoshare vyoo

2⃣Kutibu Fangasi sugu ukeni, na U.T.I sugu

3⃣Ni nzuri sana kwa wenye P.I.D akitumia na yunzi.

4⃣Kuondoa maumivu wakati wa tendo la ndoa na kurudisha ute ute unaohitajika

5⃣Inafanya uke kuwa msafi na mkavu muda wote.

6⃣Inazibua Mirija ya Uzazi iliyoziba.

7⃣Inakaza misuli ya uke uliolegea na kuwa tight.

8⃣Inaondoa maumivu ya tumbo chini ya kitovu. (chango)

9⃣ Inaondoa michubuko ukeni.

1️⃣0️⃣Inarejesha Ute Ute UKENI na kumaliza changamoto ya uke mkavu.

💰 Utaipata Kwetu Kwa Tsh 45,000/=

📍Tunapatikana Mikoa Yote Tanzania

☎️ Wasiliana Nasi Kwa Namba 0794 910 201

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Shekha LifeCare posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

  • Want your business to be the top-listed Health & Beauty Business?

Share