20/02/2026
FAHAMU MSULI WA PELVIC FLOOR NA ATHARI ZAKE KATIKA TENDO LA NDOA.
Pelvic floor muscle ni msuli ambao umeshikilia Uume. Wakati uume unasimama, ndio unawezesha mwanaume kusimamisha uume wake kwa muda mrefu. Ikiwa ni dhaifu, uume unasimama kwa muda mfupi, unalegea na hatimaye uume unasiynaa.
Msuli huu umeunganisha uume na tundu la haja kubwa pamoja na sehemu ya mwanzo wa Uti wa Mgongo. Kuna vitu ambavyo hulegeza msuli huu na kuufanya kuwa dhaifu:
1. Bawasili: Kutokwa na vinyama sehemu za haja kubwa.
2. Kuvimbiwa (Constipation): Tumbo linavyojaa gesi baada ya kushindwa kumeng'enya chakula fulani, basi msuli huu hulegea.
3. Kupata Choo kigumu: Yaani ukienda chooni unatumia nguvu nyingi kusukuma haja kubwa.
4. Kujichua (Punyeto): Punyeto husababisha msuli huu kulegea. Dalili yake ni wakati wa kutoa mbegu (shahawa), utakuta hazitoki kwa kasi, haziruki, bali zinadondoka k**a matone ya mvua.
Ikiwa msuli wa pelvic floor ni imara, utakuta shahawa zinatoka kwa kasi na kwa nguvu, zinaruka mbali na kwa presha kubwa. Ukilegea, shahawa zinatoka kwa uvivu na kudondoka chini.
1. Uzito mkubwa/Kitambi: Hali hii pia hulegeza msuli huu kwa kiasi kikubwa.
KWA UPANDE WA WANAWAKE:
Msuli huu ukilegea husababisha uke kupanuka sana na kuwa mlegevu. Kubaini k**a mwanamke ana tatizo hili, ajaribu kuingiza kidole ukeni kisha abane; akishindwa, basi misuli yake ya PC imelegea. Hata wakati wa tendo la ndoa, mwanamke akikaribia kufika kileleni, misuli hii hutanuka na kusinyaa kwa nguvu ikiwa ni imara.
JE, UMECHOKA NA HALI HII? SULUHISHO LIPO!
Usikubali kuendelea kupoteza ujasiri wako na furaha ya ndoa yako. Msuli huu unaweza kuimarishwa tena kwa kutumia mbinu na bidhaa asilia za uhakika.
K**a unahitaji msaada wa kitaalamu, ushauri, na bidhaa bora zaidi za kurudisha imara ya msuli wako wa Pelvic Floor, karibu tuzungumze faragha WhatsApp. Nitakupa muongozo utakaokusaidia kupona haraka na kurudisha heshima yako.
My whatsapp +255 0785 218 875