Jogoo Tiba za miti shamba Tanga Tanzania

Jogoo Tiba za miti shamba Tanga Tanzania TIBA za dawa za miti shamba οΏ½ Tanga Tanzania. +255745998149,call & whatsaap Dr Habibu A Bakari.

08/07/2026

Salamu wafuasi wangu wapya! Nina furaha kuwa nanyi! Najma Mkali, Dalali Mpemba, Kombo Hamis Ismaili

π—§π—œπ—•π—” 𝗬𝗔 π—žπ—¨π——π—¨π— π—¨ 𝗬𝗔 π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—Ÿπ—” 𝗕𝗔π—ͺπ—”π—¦π—œπ—₯π—œ (π—‘π——π—”π—‘π—œ 𝗑𝗔 π—‘π—π—˜) πŸ‘‡π—•π—”π—ͺπ—”π—¦π—œπ—₯π—œ (π—›π—˜π— π—’π—₯π—₯π—›π—’π—œπ——π—¦/π—£π—œπ—Ÿπ—˜)πŸ‘‰ Ni ugonjwa unaotokana na kuvimba kwa m...
06/07/2026

π—§π—œπ—•π—” 𝗬𝗔 π—žπ—¨π——π—¨π— π—¨ 𝗬𝗔 π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—Ÿπ—” 𝗕𝗔π—ͺπ—”π—¦π—œπ—₯π—œ (π—‘π——π—”π—‘π—œ 𝗑𝗔 π—‘π—π—˜) πŸ‘‡

𝗕𝗔π—ͺπ—”π—¦π—œπ—₯π—œ (π—›π—˜π— π—’π—₯π—₯π—›π—’π—œπ——π—¦/π—£π—œπ—Ÿπ—˜)
πŸ‘‰ Ni ugonjwa unaotokana na kuvimba kwa mishipa ya damu katika mfereji wa njia ya haja kubwa na kuoelekea kuota kinyama sehemu ya haja kubwa

𝗖𝗛𝗔𝗑𝗭𝗒 𝗖𝗛𝗔 𝗕𝗔π—ͺπ—”π—¦π—œπ—₯π—œ
(π—›π—˜π— π—’π—₯π—₯π—›π—’π—œπ——π—¦)
βœ“ Tabia ya kukaa sehemu moja kwa muda mrefu mfano (Madereva/Mafundi kushona)
βœ“ Tatizo sugu la kuharisha
βœ“ Ujauzito
βœ“ Uzito wa mwili kupita kiasi
βœ“ Kufanya ngono Kinyume na Maumbile (kulawitiwa)
βœ“ Kupata Choo Kigumu
βœ“ Kua na mgandamizo mkubwa tumboni
βœ“ Kunywa pombe
βœ“ Kula sana nyama nyekundu
βœ“ Vidonda vya tumbo (Ulcers)
βœ“ Ngiri (Chango/Hernia)
βœ“ Kula sana pilipili
βœ“ Kunyanyua vitu vizito

π——π—”π—Ÿπ—œπ—Ÿπ—œ 𝗭𝗔 𝗕𝗔π—ͺπ—”π—¦π—œπ—₯π—œ
(π—›π—˜π— π—’π—₯π—₯π—›π—’π—œπ——π—¦)
✍️ Kupata muwasho mkali katika eneo la juu la haja kubwa
✍️ Kujitokeza kwa kinyama eneo la haja kubwa
✍️ Kutokewa na kiuvimbe katika tundu La Haja kubwa
✍️ Kupata kinyesi chenye damu
✍️ Kupata maumivu makali wakati wa
kujisaidia haja kubwa
✍️ kutokwa na uteute sehemu ya haja kubwa
✍️ Kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia haja kubwa nk.

Tunayo dawa ya miti shamba πŸ’―
Inaitwa " FARAJA " Ina uwezo mkubwa wa kitibu na kuondoa kabisa tatizo la BAWASIRI ndani ya siku 7

GHARAMA YA DAWA YA FARAJA

DOZI KAMILI NI TZSH. 120, 000/-

TUNATUMA DAWA KWA WATEJA WA MIKOANI KWA NJIA YA MABASI.

WATEJA WALIOPO ZANZIBAR TUNATUMA DAWA KWA NJIA YA BOTI/MELI

WATEJA WALIOPO UGHAIBUNI NA ARABUNI NA KWENGINEKO WATATUMIWA DAWA KWA NJIA YA DHL.

NIPIGIE SIMU!-

+255745998149, CALL &. WHATSAP

+255740631662, CALL / SMS ONLY

DR. HABIBU A BAKARI

MAHALI TULIPO;-

CHUMBAGENI AREA

TANGA MJINI

TANZANIA.

TEMBELEA KURASA WETU KUFAHAMU HUDUMA ZETU ZAIDI ZA TIBA ZA DAWA ZA MITI SHAMBA πŸ’―.

πŸ€BAWASIRI/MGOLOπŸ€FAHAMU KUHUSU UGONJWA HATARI WA BAWASIRI, AU KUTOKWA NA KINYAMA SEHEMU YA HAJA KUBWA VYANZO, DALILI, KIN...
06/07/2026

πŸ€BAWASIRI/MGOLOπŸ€

FAHAMU KUHUSU UGONJWA HATARI WA BAWASIRI,
AU KUTOKWA NA KINYAMA SEHEMU YA HAJA KUBWA VYANZO, DALILI, KINGA NA TIBA BILA UPASUAJI KWA DAWA ZA MITI SHAMBA πŸ’―

β˜‡Bawasiri ni ugonjwa unaotokea katika njia ya haja kubwa, hujitokeza k**a uvimbe au kinyama ambacho huweza kuonekana hadi nje.

β˜‡kwa kiingereza hujulikana k**a piles.

β˜‡na kitaalam hujulikana k**a haemorrhoids/piles

πŸ€AINA ZA BAWASILIπŸ€

πŸ‘‰1. BAWASILI YA NJE
Aina hii ya bawasili hutokea katika eneo la mwisho kabisa la mfereji wa haja kubwa na kuambatana na maumivu makali, pamoja na kuwashwa kwa ngozi katika eneo hilo. Mara nyingine mishipa hiyo ya damu (veins)hupasuka na dam kuganda hivyo kusababisha na kusababisha aina hii ya bawasili ambapo kitaalam inafahamika k**a Thrombosed haemorrhoid.

πŸ‘‰2.BAWASILI YA NDANI
Aina hii ya bawasili hutokea ndani ya mfereji wa haja kubwa, na huwa haiambatani na maumivu.
β˜‡Aina hii imeainishwa katika madaraja manne yafuatayo
πŸ‘‰Daraja la 1. Bawasili kutokea katika pahala pake pa kawaida
πŸ‘‰Daraja la 2. Bawasili kutoka wakati wa haja na kurudi yenyewe baada ya haja (kujisaidia)
πŸ‘‰Daraja la 3. Bawasili kutoka wakati haja kubwa na mtu kuweza kuirudisha baada ya haja.
πŸ‘‰ Daraja la 4. Bawasili kutoka wakati wa haja kubwa na vigumu kuirudisha baada ya haja.

🍁BAWASILI HUSABABISHWA NA NINI?
πŸ‘‰Kufunga choo au kukosa choo kwa muda mrefu
πŸ‘‰Ujauzito-wakati wa ujauzito watu wengine wanaweza kupatwa na bawasili kwasababu ya msukumo wa mtoto karibia na sehem ya haja kubwa
πŸ‘‰kushiriki penzi kinyume na maumbile
πŸ‘‰Uzee- kadri miaka inavyosogea ndivyo inavyokuwa rahisi kwako kupatwa ugonjwa huu kwa baadhi ya watu.
πŸ‘‰Sababu za kurithi- baadhi ya watu wanaweza kurithi udhaufu wa ukuta huo wa njia ya haja kubwa ingawa ni kwa asilimia chache.
πŸ‘‰kuharisha sana kwa muda mrefu
πŸ‘‰kutumia vyoo vya kukaa
πŸ‘‰kunyanyua vyuma vizito
πŸ‘‰mfadhaiko stress
πŸ‘‰uzito na unene kupita kiasi

GHARAMA YA DAWA DOZI KAMILI NI TSH.120,000/-

MIKONI TUNATUMA DAWA KWENYE MABASI, PAMOJA NA MIJI YA NAIROBI, MOMBASA, KAMPALA, KIGALI, BUJUMBURA, NA NCHI ZA SUTH AFRICA, ZAMBIA, NA KWINGINEKO YANAPOFIKA MABASI
,

ZANZIBAR TUNATUMA KWA NJIA YA BOTI / MELI

UGHAIBUNI NA MBALI ZAIDI YA TANZANIA TUNATUMA DAWA KWA NJIA YA DHL

TUNATUMA DAWA KWA UAMINIFU MKUBWA SANA

NIPIGIE SIMU,

+255745998149, CALL & WHATSAAP

+255740631662, CALL & SMS

DR. HABIBU A BAKARI

CHUMBAGENI AREA

TANGA MJINI

TANZANIA

πŸ€DALILI ZA BAWASILI πŸ€
πŸ‘‰maumivu wakati wa kujisaidia haja kubwa
πŸ‘‰Damu kutoka wakati wa kujisaidia
πŸ‘‰kupa........Inaendelea Tembelea kurasa wetu huu.

Address

Chumbageni Area
Tanga

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jogoo Tiba za miti shamba Tanga Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Jogoo Tiba za miti shamba Tanga Tanzania:

Shortcuts

Share